kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. milele amina

    KERO Kukithiri kwa uchafu,maji taka na takataka kwenye Stand Kuu ya Mabasi, Moshi Mjini, Kilimanjaro

    Utangulizi Moshi mjini, maarufu kwa mandhari yake ya kuvutia na utamaduni wa kipekee, sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya usafi. Kituo cha mabasi kilichoko katikati ya mji kimekuwa kielelezo cha hali ya uchafuzi inayohitaji jitihada za haraka na za ziada ili kurejesha heshima ya mji huu...
  2. milele amina

    Pepo Mkali Yavunja Nyumba na Kujeruhi Watu katika Kijiji cha Lekurumuni, Wilaya ya Siha,Mkoa wa Kilimanjaro

    Jana, kijiji cha Lekurumuni kilikumbwa na upepo mkali ulioleta uharibifu mkubwa, ukiwaacha wananchi wakiwa katika hali ya hofu na wasiwasi. Upepo huo, ambao ulikumba wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, ulisababisha kuanguka kwa shule, makanisa, na nyumba za wananchi, huku watu kadhaa wakijeruhiwa...
  3. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025

    Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025 https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe ni ukombozi kwa wananchi katika Wilaya za...
  4. Determinantor

    Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

    Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
  5. T

    Pre GE2025 Mwananchi mmoja huko Hai amesema akifa kabla ya uchaguzi mkuu 2025, kaburi lake lipige kura kisha apewe mbunge wa Hai wa sasa

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Levina Rajabu mkazi wa kata ya Bondeni katika mji mdogo wa Bomang’ombe wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro amesema endapo atafariki dunia kabla ya uchaguzi Mkuu wa hapo mwezi Oktoba basi kaburi lake lipige kura na hiyo kura apewe Saashisha Mafuwe mbunge wa...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 UVCCM wapiga simu kwa Rais Samia kumkaribisha Kilimanjaro

    Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa umoja huo, Rehema Sombi wamempigia simu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakimkaribisha mkoani humo ambapo anategemewa kuwasili Machi 9 mwaka huu. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  7. Pfizer

    Pre GE2025 Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na MUWSA

    Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi MUWSA Mradi huo unaogharimu Tshs; Milioni 787 unalenga kuhudumia wananchi zaidi ya 10,500 walioko kwenye Kata ya Marangu Mashariki...
  8. The Watchman

    Kilimanjaro: Wajumbe wa kamati ya siasa wataka kuongezwa kasi ya ukarabati wa skimu ya umwagiliaji

    WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro wamewataka wakandarasi wa ukarabati wa skimu ya umwagiliaji ya Ndungu na Kihurio kuongeza kasi ili wananchi waweze kunufaika na fedha zilizowekezwa na serikali. Kauli hiyo imekuja mara baada ya Kamati hiyo kufika katika...
  9. nzalendo

    Sababu moja wapo MANGI kuwakubali Wamisionari Kilimanjaro

    Walifika kwa kupitia bandari ya Mombasa.Kisha wapagazi waliwasaidia kubeba mizigo yao na safari kuendelea, wakati huo kulikuwa hakuna namna yeyote ya usafiri kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. KUna kisa kimoja cha Mchingaji Gutman wa Ujerumani alipokuwa njiani kutokea MOmbasa walikutana na Nyumbu...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili...
  11. chiembe

    Kumbe Mchungaji aliyefukuzwa uanachama wa CCM Kilimanjaro, alikuwa mgombea urais wa chama cha CCK

    Kumbe tulikuwa tunahangaishwa na majitu ya hovyo hovyo tu, nilidhani ni mwana CCM makini.
  12. Prof_Adventure_guide

    Ifahamu Hali ya hewa ya mlima Kilimanjaro na zones zake kwa ujumla

    Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu zaidi barani Afrika na unajulikana kwa utofauti mkubwa wa mimea na viumbe hai. Kuna maeneo tofauti ya uoto wa asili yanayopatikana katika mlima huu, ambayo yanaweza kugawanywa katika maeneo saba (zones): 1. Lower Forest Zone: Hapa ndipo panapokuwepo na miti ya...
  13. The Watchman

    Serikali kuanza ujenzi wa kituo kipya cha Afya Vunta Same Kilimanjaro, hii miradi inaanzishwa kimkakati kuelekea uchaguzi mkuu

    Wakuu sasahivi kumekuwa na miradi mingi inayoanzishwa na serikali, ni kama mkakati wa kuwavuta wananchi kuelekea uchaguzi mkuu, zipo kero na miradi mingi huko nyuma hakuna aliyekuwa akiitazama ila kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi ndio wanaamka kutoka kwenye usingizi mzito sana. Je, CCM wanatufaa...
  14. Waufukweni

    Ajali ya basi la Ester, Rav4 yaua watatu Kilimanjaro

    Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Toyota Rav4 waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria la Kampuni ya Ester Kuxury, mkoani Kilimanjaro leo Jumamosi Februari mosi, 2025. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji mkoani Kilimanjaro, Jeremiah...
  15. Bushmamy

    DOKEZO Arusha, Kilimanjaro kuna ongezeko kubwa la viwanda bubu vya pombe

    Pombe kali za makopo ambazo hazina viwango, na nyingne kali za kupima kwenye vikombe ama glasi(sio gongo) ambazo hazijulikani zimetengenezwa wap na kwa kutumia nini. Wanywaji wa Pombe hizo wamekuwa wakisema zinawapotezea kumbukumbu pindi wanywapo. Na wengine hupoteza fahamu hadi siku mbili ...
  16. U

    Zipi Sababu baada ya kuweka pamoja kwa friji chupa 3 za maji kampuni uhai, hill na kilimanjaro, nimekuta chupa 1 tu ndiyo imeganda kabisa?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda Mazingira...
  17. milele amina

    Pre GE2025 Tetesi: Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025

    Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025. Kauli zao zinaonyesha kushangazwa na sababu za kutekelezwa kwa mchakato huu kwa haraka na bila tahadhari ya kutosha. Hali hii imepelekea hisia za wasiwasi miongoni...
  18. milele amina

    Michango isiyo ya hiari Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro

    Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro Mkurugenzi wa Manispaa, Mwajuma Nasombe, kwa mamlaka aliyonayo, anawataka watumishi wote kuchangia fedha kwa ajili ya "Get Together" ya Watumishi Wote wa Moshi Manispaa, ikiwa ni sherehe...
  19. milele amina

    Mwenye CV ya Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Mwl J. K Nyerere , Mkoa wa Kilimanjaro!

    Ukiiweka hapa! Mungu atakuwa amekubariki sana!
  20. milele amina

    2025: Ombi kwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Mkoa wa Kilimanjaro

    Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kutoka wilaya ya Hai, Kilimanjaro, tunakuomba kwa dhati unapotembelea Dodoma kwa ajili ya mkutano huo, tafadhali usitoe kitamu chako kwa wanaume. Kila mwaka unaposhiriki kwenye mkutano huu, umeonekana ukigawa bure, jambo ambalo linaweza kuwa na athari kubwa...
Back
Top Bottom