kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. Makonde plateu

    Kusema za ukweli naichukia Arusha na Kilimanjaro pamoja na Mbeya

    Wakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila najikuta naichukia hiyo mikoa mpaka najishangaa shida nini? Yaani nikisikia mtu mbele yangu...
  2. Bushmamy

    DOKEZO Kilimanjaro; Walimu wadai kudhalilishwa na Afisa elimu kwa kuambiwa kuwa hata Mahari hawajawahi kumaliza. Kisa kudai haki yao

    Baadhi ya walimu wa shule ya msingi waliohamishwa katika shule mbali mbali katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamesikitishwa na kauli iliyotolewa na Afisa elimu wa wilaya hiyo kuwa hata mahari yenyewe hawajamalizaga kulipa kwa hiyo hata malipo yao watalipwa kidogo kidogo. Walimu hao...
  3. chiembe

    Nimefatilia wote waliofariki Kariakoo wanatoka Kilimanjaro na Iringa, mikoa mingine haijaona umuhimu wa Kariakoo?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu, mwenye jibu anipe
  4. Waufukweni

    LGE2024 Kilimanjaro: Naibu Waziri Ummy Nderiananga apiga kura Kiriche katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mbunge wa Viti Maalum ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ameungana na wananchi wa Kitongoji cha Kiriche kupiga kura mapema leo Novemba 27, 2024 kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Makuyuni, Kitongoji cha Kiriche...
  5. Waufukweni

    LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Kilimanjaro, Gervas Mgonja azungumza tuhuma zilizofanya akamatwe na Jeshi la Polisi

    Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kumshikilia Gervas Eliewaha Mgonja, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoa wa Kilimanjaro kwa kosa la kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 wa mkoa huo...
  6. Waufukweni

    LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, akamatwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, kwa madai ya kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kwa mujibu...
  7. Organic Live Food

    Barafu imeshamiri Mlima Kilimanjaro kwa siku ya pili leo

    KILI YANG'ARA
  8. The Watchman

    LGE2024 Kilimanjaro: Mgombea wa CCM akana kumuwekea pingamizi mgombea wa CHADEMA, msimamizi wa uchaguzi anaduwaa

    Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X "Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea...
  9. Mkalukungone mwamba

    Kilimanjaro: TAKUKURU yazuia milioni 329 ya kununua jenereta zisizo na ubora

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imezuia Sh329 milioni zilizopangwa kutumika kununua jenereta mbili kwa ajili ya iliyokuwa Mamlaka ya Uendeshaji na Uendelezaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), baada ya kugundua kuwa hazina ubora...
  10. Pfizer

    Kilimanjaro: Maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini

    Huduma ya maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Maji Mwaa Mwaa Mwaaaaaa Huu ni mwendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900, Hii ni Leo Jumapili Nov 10, 2024 na huu ni mtambo wa kuchimba kisima kirefu kwenye Kata ya Mabogini...
  11. A

    CCM Kilimanjaro inayumba, Viongozi hawaelewani

    Kuambiwa ukweli kunauma sana, lakini ndio dawa pekee inayofaa kutatua changamoto iliyopo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro. Nakumbuka watu walifurahi hususani Wana CCM waliposikia Katibu wa Chama wakati huo Komredi Jonathan Mabhiya akiondoka baada ya kuongoza miaka takribani...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Kilimanjaro: Inadaiwa Polisi wakitumia gari ya Mwenyekiti wa Halmashauri wameenda kubandika orodha wagombea nje ya muda kinyume na sheria

    Wakuu, Hilda Newton wa CHADEMA aandika haya kupitia ukurasa wake wa X "Askari Polisi wenye silaha za moto, wakitumia gari la Mkit wa Halmashauri, wamefika Kata ya Machame Narumu, saa 11:20 jioni na kubandika orodha ya wagombea nje ya muda wa kisheria. "Wagombea wote wa CHADEMA wameenguliwa...
  13. Waufukweni

    LGE2024 Wiki moja baada ya agizo la RC Kilimanjaro: Wizi wa Vitabu vya Majina ya Wakazi, Polisi mmefikia wapi?

    Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
  14. Huihui2

    Baada ya Maji ya Kilimanjaro Kuchakachuliwa, Je Maji Yako Bora ni Yapi?

    Wahuni wanachakachua sana maji ya chupa ya Kilimanjaro. Mimi nina zaidi ya mwaka mzima sinywi maji ya Kilimanjaro. Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop. Je wewe unakunywa maji gani?
  15. BigTall

    LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA (Siha - Kilimanjaro) adai kuna Watu 200 wameandikishwa ambao sio wakazi wa kitongoji chake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya 375 ambao Watu 200 sio wa Kitongoji cha Ekunywa Kata ya Makiwaru.
  16. JanguKamaJangu

    LGE2024 Kilimanjaro: Wasiojulikana waiba madaftari ya kujiandikishia, wengine wachoma moto Ofisi ya Mtendaji

    Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeongeza muda wa kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa wakazi wa Kijiji cha Kikelelwa Kata ya Tarakea Motamburu wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro hadi Oktoba 28,2024. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa...
  17. Roving Journalist

    Pre GE2025 Kilimanjaro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    HISTORIA YA MKOA WA KILIMANJARO Mkoa wa Kilimanjaro ulianzishwa rasmi mwaka 1963 kwa Tangazo la serikali Na.450 la mwaka huo ukiwa na wilaya za Kilimanjaro na Pare. Kabla ya Uhuru Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ni sehemu ya Jimbo la kaskazini (Nothern Province) lililokuwa linaundwa na wilaya za...
  18. Waufukweni

    LGE2024 Kilimanjaro: Mzozo mkali wazuka kituo Bubu Vunjo, Watu wakiandikishwa kiholela

    Mzozo mkubwa umeibuka katika kituo bubu cha uandikishaji wapiga kura huko Vunjo, Kilimanjaro ambapo madai ya uandikishaji holela wapiga kura yameibua hasira na maswali mengi miongoni mwa wananchi wema. Pia, Soma: Mwanza: Karani abanwa baada ya kuongeza majina hewa 200 kwenye daftari la Wapiga...
  19. Suley2019

    KWELI Hii ni theluji iliyopo karibu na kilele cha Kibo cha Mlima Kilimanjaro

    Habari Wakuu, Nimekutana na video hii TikTok inayodai hii pande kubwa la theluji lipo Mlima Kilimanjaro na lilikuja kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Kuna ukweli hapa? Naombeni mtusaidie ---
  20. Roving Journalist

    Waziri Kikwete azindua zoezi la kupandisha Mwenge wa uhuru mlima Kilimanjaro kama ilivyoelekezwa na rais Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
Back
Top Bottom