Nimeona vijana wakipambana kusoma course mbali mbali, believe me hapa Tanzania hakuna course yoyote utasoma ujiajiri, hakuna na ukifanikiwa kujiajiri inabidi ukaze hasa.
Sio mbaya lakini Data science and artifical intelligence, mining engineer, course za art zote (uwezi kujiajiri hata mmoja)...