Mtaalamu wa wa Uchumi na Fedha, CPA Issa Masoud, ametaja sekta tatu zinazoipaisha nchi kiuchumi, chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Masoud alizitaja sekta hizo kuwa ni kilimo, usafirishaji na sekta ya huduma, ambazo zimeboreshwa kupitia uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali...