kilimo

  1. G-Mdadisi

    Wizara ya Kilimo Zanzibar yaridhishwa Utekelezaji wa AGRI-CONNECT kuwainua Wakulima

    WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar imepongeza hatua zinazochukuliwa na wadau wa maendeleo katika kukuza na kuimarisha thamani ya kilimo cha Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar kupitia miradi inayotekelezwa nchini. Hayo yamebainika kufuatia ziara ya kutembelea wakulima...
  2. BARD AI

    Asilimia 96 ya vijana walioomba Mafunzo ya Kilimo (BBT) wakosa nafasi, waliochaguliwa watangazwa

    Miongoni mwa vijana 20,227 waliojitokeza kuomba nafasi ya mafunzo ya Kujenga Kesho Mpya kupitia kilimo biashara (Building Better Tomorrow-BBT), ni vijana 812 tu ndio waliopata nafasi sawa na asilimia 4. Dirisha hilo lilifunguliwa Januari 10, 2023 na Wizara ya kilimo ikiwa ni maelekezo ya Rais...
  3. Stephano Mgendanyi

    Ridhiwani Kikwete: Tujikite kwenye kilimo cha Pamba

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete amewataka wananchi kujikita kwenye kilimo cha Pamba ambacho kitawakwamua kiuchumi. Ridhiwani ametoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Vijiji vya Kilemela, Hondogo na Rupungwi katika Kata ya Mandera ambapo alisema ni wakati sasa wananchi...
  4. L

    China kujenga nchi yenye nguvu zaidi ya kilimo kunufaisha dunia nzima

    Hivi karibuni China ilitoa Waraka Namba 1 kuhusu suala la kilimo, ikiagiza kwa mara ya kwanza kuharakisha ujenzi wa nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo. Hatua hii ina umuhimu mkubwa wa kimataifa na itanufaisha dunia nzima. China kuharakisha kujenga nchi yenye nguvu zaidi ya kilimo kutatoa mchango...
  5. Roving Journalist

    Prof. Mkenda akitaka Chuo cha MJNUAT kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake

    Na WyEST, BUTIAMA - MARA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake ambao ndio msingi halisi wa...
  6. Mzee wa Malengo

    Nini dira ya Watanzania kwenye Kilimo na Ufugaji?

    Leo nimekaa na kutafakari sana kuhusiana na suala hili hasa ikichangiwa na baadhi ya video na clip nilizowahi kuona huko nyuma 1. Misri wameanzisha miradi ya kilimo cha umwagiliaji kwenye majangwa yao hivyo wanatarajia mwaka 2025 kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa ngano duniani 2...
  7. Debby the FEMINIST

    Lindi: Afisa kilimo kata ala fedha za mahindi ya ruzuku milioni tano

    Afisa Kilimo kutoka kata ya Milola halmashauri ya manispaa ya Lindi ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kula fedha kiasi cha shilingi Milioni 5 za mahindi ya ruzuku kwa wananchi wa kijiji cha Milola B. Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga amekiri juu ya kutiwa mbaroni kwa afisa kilimo huyo akisema...
  8. L

    Waraka No. 1 wa China wasisitiza kujenga nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo

    Hivi karibuni serikali kuu ya China ilitoa waraka No. 1 wa mwaka huu kuhusu suala la kilimo. Huu ni mwaka wa 20 mfululizo, ambapo China imetoa waraka No.1 kuhusu kilimo, na jambo ambalo linaonesha kuwa suala hili limepewa kipaumbele zaidi nchini China. Mwaka huu, kwa mara ya kwanza waraka huo...
  9. L

    Serikali ya Rais Samia imekiheshimisha kilimo na wakulima

    Ndugu zangu watanzania, Rais Samia Ambaye kwa Sasa anatajwa Kama kiongozi aliyeituliza Jumuiya ya Afrika mashariki,Na ambaye wananchi wa Jumuiya na ukanda huu wanatamani nchi zote za Jumuiya ziungane na kumchangua mama Samia kuwa Rais wa shirikisho, Ni Rais ambaye amekuwa wa kuigwa na viongozi...
  10. J

    Kilimo cha korosho mkoani Manyara

    Wadau, Naomba kuuliza kuna mtu ameniambia kuwa kama mtu anataka kufanya kilimo cha mikorosho Mkoa wa Manyara ni sahihi. Je, kuna ukweli juu ya hili jambo?
  11. Kelvin de bruyne

    Zao la karafuu soko lake likoje?

    Wakuu habari zenu Samahanini poleni na kazi naomba mnijulishe kuhusu soko la zao la karafuu Soko lake la uhakika ni wapi na huwa wanatengenezea Nini in common 🙏🙏🙏🙏 karibuni
  12. comte

    Kilimo ndiyo kazi pekee Mungu alituagiza tufanye ili tuishi

    Kilimo ni agizo la mwenyezi Mungu hakika nawambia kilimo ndiyo njia pekee ya kujipatia chakula hatupaswi kukikimbia Asiyejua kupanda atakula kwa tabu sana na zikizidi atakimbia. Kama hulimi ujue unamkaidi Mungu kweli nawambia
  13. saidoo25

    Bashe alitupia lawama Bunge kuharibu Kilimo

    Waziri Bashe jioni hii akichangia bungeni ameutupia lawama Mhimili wa Bunge kuwa ndio umesababisha kuharibu kilimo na kusisitiza kuwa kamwe Serikali ya Rais Samia haiwezi kufanya kosa hilo. Pamoja na lawama hizo nzito kwa watunga sheria..Kiti hakijaweza kutoa mwongozo wowote kuhusiana na jambo...
  14. P

    Kilimo cha umwagiliaji kwa maji ya maziwa

    Tanzania imezungukwa na maziwa makubwa yenye maji mengi kama vile ziwa Victoria , ziwa Tanganyika, Ziwa nyasa nk. Mara kwa mara viongozi wetu wamesikika wakisema tutumie maziwa haya kwa kilimo cha umwagiliaji, na wakati mwingine watu hujishangaa kwa nini maji haya hayatumiki kwa umwagiliaji...
  15. T

    Nakubaliana na ndugu Bashe kuruhusu wakulima kuuza mazao popote wanapotaka

    Nimeona humu watu wengi sana wakiishambulia serikali Kwa kutozuia mazao kuuzwa nje ili kupunguza mfumuko wa bei. Ukweli ni kwamba serikali inaweza kuzuia mazao kuuzwa nje. Jambo hilo ni hatari sana Kwa mustakabali wa kilimo na wakulima wa Tanzania. Gharama za uzalishaji zimepanda sana, kila...
  16. rutajwah

    uzi maalumu wa kupeana updates kwa tulioomba fursa za mafunzo ya kilimo bihawana

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, huu uzi ni maalum kwa wale walio omba mafunzo ya kilimo kwa vijana, yatakayofanyika Bihawana Dodoma. Mpaka dirisha linafungwa vijana 16 elfu walikuwa washatuma maombi source, Kituo cha bihawana kina uwezo wa kuchukua vijana 74 source, mwenye updates...
  17. SankaraBoukaka

    Kilimo bila katiba mpya ni ndoto

    Ajira mpya zimeshindikana kutengenezwa wakati Population ya watu inaongezeka kama utitiri. Serikali imefeli kubuni na kuendeleza mifumo iliyopo ya kiuchumi ili izalishe ajira. Kwa nchi yetu hii, Kiwanda pekee kinachoweza kutoa ajira kwa idadi kubwa ya watu ni KILIMO.. Tumeshindwa kufanya...
  18. Z

    Juhudi za kukuza kilimo lazima ziendane na soko huria

    Sera za kuendeleza na kukikuza kilimo ni lazima ziwe sera za kitaifa (zisizobadilika) na si sera za chama au hisia za Rais aliyeko madarakani. Kilimo ni biashara na ili ifanye vizuri na kuvutia watanzania wengi ni lazima iwe wazi kuwa itakuwa kwenye soko HURIA, bei ijipange yenyewe kutokana na...
  19. nyemenowa tindamanyile

    Mkoa gani Tanzania linalimwa zao la Almonds?

    Habari. Mkoa gani Tz linalimwa zao la Almonds? Mie ni mtumiaji sana wazo kama dawa ila natatizwa na uaghali(bei) kwa hapa Dsm.
  20. Logikos

    Majukumu ya Waziri wa Kilimo ni yapi?

    Imetokea kasumba mbovu ambayo mwisho wa siku ninaiita cheap politics na divide and rule..., Waziri amekuwa akijinasibu mtetezi wa wakulima kwamba hawapangii Bei na kuonyesha kana kwamba walaji ni wanyonyaji ambao wanataka kunyonya jasho la mkulima. Lakini ukiangalia kwa marefu na mapana hawa...
Back
Top Bottom