Wasalamu wana JF,
Wakati vijana wengine wako busy na ku-bet, Bashe ni kijana anayetaka kuleta mapinduzi ya kweli ya kilimo na uchumi
Kilimo ni biashara kama biashara nyingine, na kwa bahati nzuri sehemu kubwa ya raia wetu wanajishughulisha nayo.
Sasa basi, ukiongeza thamani ya mazao, yaani...
Leo waziri wa kilimo Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari amewasihi vijana wanaofikilia kulima kilimo kwenye mitanzandao ya kijamii waache mara moja
"Tunatoa uelewa acheni kulima kwa Twitter na WhatsApp, hakuna mtu anayeweza kukuambia lete milioni 10 na baada ya mwezi utapata 15...
Mkoa wa Morogoro umepatiwa bilioni 16 kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya umwagiliaji na ya kuhifadhi mazao. Hii itasaidia kukuza shughuli za kilimo mkoani humo na kuongeza uhakika wa upatikanaji wa chakula. Lengo la Serikali ni kuhakikisha upatikanaji wa chakula cha kutosha katika kipindi...
Huu ndio uongozi
========
"Sensa ya hivi karibuni inaonesha vijana ni takribani asilimia 34 ya watu wote milioni 61 na hali hii inaleta changamoto nyingi, kama ukosefu wa ajira na nyinginezo. Kwahiyo tumefikiri wanaweza kuingizwa kwenye uzalishaji kwenye sekta ya kilimo na tumeanza kutengeneza...
Akizungumza na Vyombo vya Habari, Msemaji Mkuu wa Serikali amesema Tanzania ina hekta Milioni 44 za ardhi inayofaa kwa kilimo na kati yake ni hekta Milioni 10.8 ndizo zinalimwa na kuongeza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita kwa kutambua kuwa kilimo ndicho kinaajiri zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania...
President Samia Suluhu Hassan has said Tanzania expects it's agriculture sector to grow at an annual rate of 10% by 2030 compared to the current growth of around 3.6% as part of the country's ambitious agriculture transformation vision.
The President said Tanzania has developed a national...
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa ketu ambapo kilimo pekee kimeweza kutoa ajira kwa 70%. Kilimo ni biashara kwa sababu mkulima anaweza kuuza mazao anayolima kibiashara na kumtengenezea kipato. Na zaidi kilimo kinachangia 27% katika Pato la taifa.
Kwa kipindi kirefu kilimo kimeshindwa kwa namna...
Rais Samia Suluhu anaandika historia ya kuwa mmoja kati ya viongozi nchini waliopeleka miradi mikubwa ya kimaendeleo Kigoma na kuubadilisha mkoa wa kigoma kutoka mkoa uliokuwa nyuma kimiundombinu na kuwa mkoa wa kisasa.
Hiyo inatokana na Rais Samia Suluhu kupeleka miradi mikubwa ya barabara...
Ni wazi Sasa kwamba,utajiri uko shambani, kupaa kwa bei ya mazao iwe alama ya kijani ya kutuelekeza turudi shambani, na tuwekeze katika kilimo.
Mtu amekaa mjini anasubiri mwenzake wa shamba aingie gharama kulima, halafu aje amuuzie mazao kwa bei nafuu!
Huko huko mjini, wa Kijijini wakija...
Sijawahi kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok.
Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! Ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
Ndugu mheshimiwa Waziri wa Kilomo Hussein Bashe,Kumekua na utata mkubwa juu ya ushonaji wa gunia za Lumbesa hasa kwa mazao ya vitunguu.
Wakati wa mavuno.Mheshimiwa ulitoa tamko Mkoani Mbeya msimu wa nanenane ukiwa na mheshimiwa number one,juu ya katazo la ushonaji wa magunia makubwa (Lumbesa)...
SERIKALI YARIDHIA KUFUFUA MRADI MKUBWA WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI BONDE LA BUGWEMA
*Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikusudia kuanzisha kilimo kikubwa cha umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema. Hii ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 70.
*Bonde la Bugwena ni kubwa mno. Eneo...
Wakuu salamu,
Ninakifahamu kijiji kipo mbeya. Eneo linajoto maana ni karibu na kyela.
Ardhi nzuri Kwa kila zao unalo lijua kama ufuta, Karanga, mpunga , mahindi, ndizi na kila zao unalo lijua.
Changamoto:
Kijiji kinabarabara mbovu ajabu! Kiasi kwamba kimeachwa kama kisiwa na kina changamoto...
Mara oooh mazao yanaenda nje serikali Ipo tuu. Sasa wakuu twendeni tukalime ili tuwe pamoja na ndugu zetu wakulima watapoanza kuuza mazao Yao nje siye tujilie tu. Tuacheni mazoea tukalime. Wanangu twendeni mvomero, Usangu, Kahama na maeneo mengine tukalime mpunga tujipatie chakula Cha Bure.
Wakenya wanaongoza kwa kununua bidhaa za Tanzania, lakini ni bidhaa ambazo hazijaongezwa uthamani, malighafi (raw material) na Kenya wanaongoza kwa kuziongeza uthamani bidhaa hizo na kwenda kuziuza Dubai, Ulaya, Marekani na zinazobaki wanazileta tena kutuuzia Watanzania, nafurahi kuwa tumekwenda...
1. Videos
Kuona ni Kuamini!, Shuhudia kwa Kuona kwa Macho yako, Sikia kwa Masikio yako!
2. News Story
Watanzania, wamehimizwa kutumia zana bora na za kisasa za kilimo kwa kuchangamkia fursa za kilimo biashara, ili kuzalisha bidhaa nyingi za kilimo zitakazo tumika kama malighafi ya viwanda...
Binafsi naungana na Huyu jamaa.
1. Mbegu za asili zimepotea.
2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu.
3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo.
4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu.
5. GMO zinashambuliwa sana na...
Rais Samia Suluhu amemaliza Ziara yake leo mkoani Manyara kwa kukagua Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. Baada ya ukaguzi huo alikutana na kuzungumza na wananchi. Kabla ya Rais Samia kuzungumza. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alipata nafasi ya kuzungumza na kuongelea jinsi Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.