Vibali hivyo kwa wakulima vinawapa ruhusa kisheria kulima na kuandaa mazazo ya Bangi viwandani na kuuza nje kwa mara ya kwanza. Wakulima kutoka maeneo ya Al-Hoceima, Chefchaouen na Taounate wataruhusiwa kuzalisha na kuuza bangi kwa matumizi ya matibabu na viwandani, kwa mujibu wa sheria...
Wana JF
Nimekusanya taarifa za kiuchunguzi katika mikoa mbali mbali hasa inayolima ndizi.
Baada ya ujio wa upandaji miti ya mbao aina ya patula pine (pinus patula) nimegundua vitu vingi vimeanza kupotea kutokana na watu wakidhani wameyakabili maisha kwa kupanda miti hii baadae wauze mbao...
Rais Ruto ameidhinisha uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO), na hivyo kuondoa zuio la mazao hayo lililowekwa Novemba 8, 2012.
Uamuzi huo umefanywa ikiwa ni njia ya kusaidia kuongeza mavuno wakati ambao nchi inakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40 na kuacha...
Mtazamo wangu;
Kama tukichukua matajiri wakubwa 1000 wanaotokana na umiliki wa viwanda; viwe vya kati au vikubwa.
Pamoja na matajiri 1000 wanaotokana na kilimo; wakapewa sera nzuri ya kodi, sera nzuri kwa masoko ya nje, sera nzuri katika kuagiza vipuli, na wakawezeshwa kwenye mitaji ya...
Utangulizi:
Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko Amerika ya Kusini. Mmea huu ulianza kuzalishwa kama zao katika nchi ya Mexico na baadaye kusambaa...
Katika siku za hivi karibuni baada ya ongezeko kubwa la uhitaji wa zao la parachichi ndani na nje ya nchi ya Tanzania kutokana na ongezeko la matumizi ya bidhaa mbalimbali zitokanazo na zao la parachichi,bei ya zao hili imezidi kupanda mara dufu na hadi kufikia hatua wakulima wa zao hilo kuanza...
Moja ya kilio kikubwa mashambani ni mavuno, pamoja na nguvu nyingi zilizowekezwa na watanzania wengi lakini mavuno yameendelea kuwa hafifu ama kukosekana kabisa.
Yote hii inasababishwa na matumizi ya njia duni za kilimo pamoja na kukosekana kwa ardhi yenye rutuba. Sehemu kubwa ya ardhi hiyo...
SEKTA YA KILiMO TANZANI KATIKA KUKUZA UCHUMI.
Kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi, pia biashara ambayo ilihusisha mabadilishano ya bidhaa kwa bidhaa ambapo asilimia kubwa ya bidhaa hizo zilihusiana na kilimo mfano majembe na mapanga, ambayo...
Kutokana na ukuaji wa shughuli za binadamu za uzalishaji kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira Hali inayopelekea kubadilika kwa tabia ya nchi. Aidha shughuli za kibinadamu Kama vile ukataji miti, viwanda, kilimo na usafirishaji vimepelekea mabadiliko hayo kwa wingi.
Baadhi ya madhara...
Habari Wakuu,
Mimi ni mkulima wa Miwa katika bonde la Kilombero, katika bonde hili huwa tunalima Miwa na kuuza kwa kampuni ya sukari Kilombero. Kwetu huku hili ni zao kuu la kibiashara Kama ilivyo korosho Mtwara.
Sasa Basi nimekuja hapa kueleza changamoto tuzipatazo sisi wakulima hivyo kuweza...
Katika jamii yeyote ili watu waweze kuwa na uhakika wa kuishi na kufanya shughuli zao za kila siku basi lazima kuwepo na uhakika wa usalama wa chakula,kwani chakula ni hitaji la lazima katika maisha ya binadamu. Uhakika wa upatikanaji wa chakula katika eneo fulani unachangiwa na uwepo wa sera...
Kilimo ni uzalishaji wa mazao ya chakula na yasiyo ya chakula kwenye mashamba na ufugaji wa wanyama wanaofugwa. Lakini pia kilimo kinahusisha ufugaji wa nyuki na ufugaji wa samaki.
Aidha kilimo ni moja ya sekta kuu ya maendeleo kwa nchi na hivyo basi inatakiwa kuangaliwa na kufatiliwa kwa...
Kwanza natoa shukurani zangu nyingi sana kwa kupata nafursa ya kutoa mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania.
Wakulima wamelima kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuuza mazao yao na kupata chakula na ziada kidogo ya mazao inayopatikana huuzwa kwa kupata fedha za matumizi ya kilasiku. Uhalisia ni...
KILIMO FURSA KUBWA.
Chanzo cha binadamu ni uumbaji wa Mungu. ‘’Mungu akasema , Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi...Mwanzo 1:26. Na pia, Biblia...
Kilimo nchini Tanzania huleta tija kwa wanajamii waliopo pembezoni na wao wakifaidika.
Kilimo ni moja ya shughuli za kila siku kwenye maisha ya binadamu na hutegemeana na maeneo husika Kikilimo ili mkulima aweze kulima na kuvuna mazao yake huku akipata faida. Nchini kwetu Tanzania wakulima...
Sekta ya kilimo katika bara la Afrika ni muhimu sana na inapaswa kupewa kipaumbile zaidi kwani kwa hivi sasa imekuwa ikiendelea kukua na kuleta mabadiliko mengi ya kiuchumi. Sekta hii ndio inashikilia ufunguo wa siri za mafanikio ya kuondoa uhaba wa chakula, kuleta usalama wa chakula na...
Ili kuongeza wigo wa mapato yatupasa kama taifa kuthamini na kuzalisha vya kwetu. Tusiwe mabingwa wa kukopi na kupesti tu.
Mfano Usafiri wa bodaboda ulianzishwa miaka mingi nchini Nigeria kabla yetu. Kwa Afrika mashariki nchi ya kwanza kuruhusu bodaboda kuwa chombo cha kubeba abiria ni...
Mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala,uchumi, afya,kilimo sayansi na teknolojia yanaweza kuchochewa na sababu zifuatazo.
Uzalendo. Uzalendo ni miongoni mwa sababu kubwa sana inayoweza kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali.
Mfano, katika nyanja ya elimu kama walimu na baadhi ya...
Kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na kinachangia 80% ya pato la Taifa, ni vyema Serikali ikalifanya somo hilo kuwa la lazima ngazi zote za shule.
Pia kwa upande wa TEHAMA tunaona jinsi ambavyo dunia inakimbia kwenda kwenye mapinduzi ya Kiteknolojia na ndio msingi wa maendeleo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.