kilimo

  1. Superfly

    Kilimo cha Choya (Rosella)

    Wakuu habari za mida hii? I hope ni wazima.. Ningependa kufahamu namna ya kushughulika na zao tajwa hapo juu.. mahitaji yake, utunzaji mpaka hatua za uvunaji. Kwa anaefahamu naomba ashushe ujuzi wake, ahsanteni!!
  2. peno hasegawa

    Bajeti ya wizara ya kilimo awamu ya tano ilikuwa 250 bilion awamu ya sita 950 bilion. (Mkulima yupi amefaidika?)

    Kuna clip ya Kibajaji nimekutana nayo mtandaoni ,eti bajeti ya wizara ya kilimo sasa ni bilioni 950. Nimejiuliza Kibajaji amechukua figure za maandishi kwenye bajeti ya kilimo au fedha hizo zimeonekana wapi na zimefanya kazi gani? Kibajaji hajui kuwa fedha zinazosomwa bungeni ni maandishi tu...
  3. N

    Rais Samia Suluhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo

    Rais Samia Suuhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo kwa kutoa ruzuku ya mbolea inayowapelekea wakulima kununua mbolea kwa nusu bei Ahueni 4 kwa wakulima toka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu: 1. Kaondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mbolea ya ndani 2. Kaweka ruzuku kwenye...
  4. Idugunde

    CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

    Maana wanatambua kuwa uongozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini Hiki sio kilimo cha selfie
  5. kabanga

    Napenda kujua zaidi kuhusu Kilimo cha minazi (coconut tree)

    Habari wa ndugu, Napenda kupata maarifa zaidi kwenye ulimaji wa minazi, hasa kibiashara. 1. Wapi napata mbegu nzuri za kisasa 2. Utayarishaji shamba? 3. Muda gani wa kupanda, na namna gani nzuri. 4. Kwa ekari moja inaapendekezwa miti mingapi? Na habari nyingine muhimu. karibuni
  6. Z

    Serikali kupitia waziri wake wa kilimo imesema acha soko liamue ,sawa. lakini isiwe kilimo tu acha soko liamue kwenye huduma zote

    Waziri wa kilimo amesema kuwa acha solo liamue kuhusu Bei ya mazao.Ni sawa kwa maana ya kutaka wakulima wajikwamue.ndiyo maana Leo hii hata vijijini debe moja ya mahindi imefikia 25000 shilling ya kitanzania. Lakini mh waziri unasahau madhara tamko lako.unasahau kuwa Kuna sehemu nyengine...
  7. Intelligence Justice

    Bonde la Msimbazi na Jangwani Kilimo na Vibanda Vyarejea Kwa Kasi - Uchafuzi Mazingira Hatarini Tena!

    Wakuu wa Jukwaa Kama mada ilivyo hapo juu, miaka kadhaa iliyopita kwenye awamu ya tano wavamizi wote wa bonde la Msimbazi na Jangwani waliondolewa, nyumba kuvunjwa ikielezwa walikiuka sheria hivyo kusababisha uchafuzi wa mazingira uliokithiri. Baada ya muda zoezi hilo kufanyika uoto wa asili...
  8. L

    Watoto wa shule ya chekechea waenda mashambani na kujifunza ujuzi wa kilimo mkoani Zhejiang, China

    Shule ya chekechea mjini Huzhou mkoani Zhejiang, mashariki mwa China Novemba mosi ilifanya shughuli ya “Darasa la mashambani”, ambako watoto walikwenda mashambani kujifunza ujuzi wa kilimo kupitia njia ya kuchora picha za mavuno, kutambua mimea ya mpunga na kutengeneza sanamu ya kuwinga ndege.
  9. tpaul

    Tozo ya mifugo, kilimo na mali itaanza hivi karibuni

    Ndugu zangu naandika hii taarifa nikiwa mnyonge kama kinda la ndege lililonyeshewa na mvua ya mawe baada ya kutelekezwa na mama yake. Sitaki kuwachosha na maneno mengi ngoja niende kwenye mada moja kwa moja kwa kuwa wengi wetu tumechoshwa na tozo hizi za mchongo zinazotukamua na kutuacha bila...
  10. peno hasegawa

    Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)

    Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT). Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake wanahaha mitaani hawana ajira na wameshindwa kujiajiri, wengine wameamua kutengeneza mapanya ya...
  11. Idugunde

    Ally Hapi: Nachapa kilimo cha nyanya kwenda mbele

    "Niko shambani nalima.Tunamshukuru Mama (Mhe. Rais) na serikali ya CCM kuipa msukumo sekta ya kilimo. Mbolea ya ruzuku na mazingira rafiki ya kilimo vimetupa nguvu zaidi ya kupambana. Kazi inaendelea."__ Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi
  12. JanguKamaJangu

    Malawi: Rais amfuta kazi Waziri wa Kilimo na Naibu wake

    Rais Lazarus Chakwera amefanya maamuzi hayo kwa Lobin Lowe na Naibu Waziri Madalitso Kambauwa Wirima sababu ikiwa ni usimamizi mbovu na uzembe. Wizaŕa hiyo inashutumiwa kwa kuchelewesha utekelezaji wa mpango ambapo wakulima wa vijijini wanapatiwa mbolea ya ruzuku na pembejeo za kilimo. Lowe...
  13. Bwana Mpanzi

    Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  14. C

    Vyuo Vikuu vya Kilimo Afrika Mashariki ni wakati wa kutolala usingizi kwa kutupa tafiti za Mbegu za GMO

    Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika. 1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology 2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
  15. Drat

    Mwongozo Kilimo Cha Kisasa: Greenhouse

    Habari wadau? Naomba kufahamishwa wapi vinapatikana vifaa vya kujenga banda la greenhouse kwa bei nafuu. Pia nina hitaji la kuandaa project ya ukubwa wa robo acre. Ninaomba kama naweza kusaidiwa kujua gharama za kuanzisha na kuendesha mradi. Lengo ni kufanya shughuli hii katika maeneo jirani...
  16. Mwl Athumani Ramadhani

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe zuieni uuzwaji wa chakula nje ya nchi, mfumuko wa bei unatisha!

    Mkuu Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje! Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/=...
  17. Shujaa Nduna

    Huku mambo kero, Waziri wa Kilimo pitia hapa

    Mheshimiwa waziri wa kilimo salam, Mimi ni mkulima wa hali ya chini tu lakini kwakweli kumekuwa na kero kubwa ktk maeneo kadha kwenye vituo vya kupata mbolea kwa bei ya ruzuku. Mtu unaenda leo kutwa inaisha kwajili ya kuandikisha details halafu siku inayofuata unasimama foleni toka asubuhi...
  18. M

    Tuambie unahisi ni jambo gani limesaidia kufanikiwa kwenye kilimo

    kipi kilimo kinalipa, mtazamo na ukweli ninaojua ni kilimo cha mazao ya kudumu, kahawa, korosho, parachichi, ndizi nk ni mazao machache sana yasiyo ya kudumu yanayolipa mfano viazi mviringo, mpunga, tumbaku, mahindi(huku tunapiga pesa kutegemea msimu nimetaja mazao yanayolimwa nyanda za juu...
  19. P

    Fursa: Business plan sekta ya kilimo

    Wasaalam ndugu zangu, ninahitaji kupata huduma ya mtaalamu mwenye uzoefu wa kuandika business plan za sekta ya kilimo.
  20. Tanzaniampyawa

    Uboreshaji wa Sekta ya Kilimo

    Kwa ajili ya WATOTO wao wenye nguvu na wachawi sana kuelewa SEKTA YA KUPAMBANA (UJAMAA VS JAMAA)… Taasisi za UMOJA WA MATAIFA UN {ILO, UNHCR, FAO} ina mpango wa kuleta matrekta 70,000 na utengenezaji wa matrekta zaidi ya 10,000 NCHINI TANZANIA kwa ajili ya kusaidia shughuli za kilimo. Tunaomba...
Back
Top Bottom