Wote tunajua shughuli kuu za kiuchumi Kama Kanda ya Ziwa ni Uvuvi, kilimo, ufugaji, madini.
Kanda ya Kaskazini Kuna Kahawa, Mahindi, Migomba
Kanda ya Kati Wanalima Zaidi Alizeti, Karanga, Zabibu na Mahindi pia
Mbeya Wanalima Zaidi mpunga, Mahindi pia nk.
Wakuu Case Study ya Mada Hii ni Mkoa...