Nimefanikiwa kupata ardhi yenye ukubwa wa ekari 200. Ni eneo ambalo bado ni pori. Huenda halijawahi kulimwa tokea liwepo, pengine.
Kwa kuwa ni eneo kubwa, ninakusudia kulifanyia kazi taratibu, kwa kadiri nitakavyokuwa nikipata nguvu (kifedha).
Kwa kuwa eneo lina miti mingi, nitafanya utaratibu...