kimaisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Love kwa wale wote ambao hamchoki kuwapa tafu waliokwama kimaisha

    Niwe mkweli kabisa saa sita hii usiku nimekuwa inspired na uzi wa Robidinyo ambaye ameeleza changamoto ya kutokuwa na kazi au biashara jinsi maisha yanavyokuwa magumu. Nikajikuta nataka kuwapa respect wale wote ambao hamchoki kutoa msaada kwa ndugu na jamaa zenu waliopata changamoto za hapa na...
  2. Mgawanyo wa Majukumu kwa Wanandoa Husaidia Kukua Kimaisha

    Bila kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, Jamii imekuwa stuck katika swala la mwanaume kufanya hivi mwanaume kufanya vile, Sipingi upande wowote ule ila ningependa Tujifunze kitu kidogo pamoja Tuangalie namna gani tunaweza Move fast kimaisha Tuangalie aina Kuu Mbili za Mahusiano na maisha ya...
  3. Kwanini Wanaume wengi hawapendi kuongelea Changamoto za Kimaisha wanazopitia?

    Wanaumeeeeeeee! Huu ni mwezi maalumu kwaajili ya AFYA YA AKILI YA WANAUME NA MASUALA YA AFYA kiujumla. Sasa leo hebu tujuzaje kwanini wengi wetu hatuongei au kushirikisha watu wengine tunapopitia changamoto na ikitokea tumesema basi inakuwa katika hatua mbaya sana ambazo urekebishaji wa tatizo...
  4. Kijana unayepambana kimaisha using'ang'anie kuishi uswahilini

    Kijana unaepambana kimaisha ukipata auheni kidogo hama huko uswahilini, hasa hasa jiji la Dar es Salaam, uswahilini ya Dar es salam ni milango ya kuzimu ..watu wamechoka, watu wamekata tamaa, Jana yao ni Bora sana kuliko Leo. Mwanyamala kwa kopa, Manzese, Tandika, Mbagala sehemu sehemu...
  5. Watanzania mnaojiua kila siku nani aliyewaambieni kuwa sisi wengine hatukupitia changamoto kubwa za kimaisha kuwazidi?

    Nyie Watanzania wenzangu ambao kutwa napata taarifa za kujiua kwenu kwa kukata Tamaa ya Maisha au mnataka sasa na sisi (hasa mimi GENTAMYCINE) niwapeni Historia yangu kubwa ya mapito makubwa niliyoyapitia ya miaka saba mfululizo lakini nilijikaza na kuvumilia yote halafu hata wazo la kujiua...
  6. Upo chuo au hauna ajira ila unamiliki simu ya laki tatu na kuendelea? Tumia mbinu hii kupata pesa ya kujikimu kimaisha (nunua camera)

    Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni. Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
  7. Fahamu jinsi ya kuanza biashara kwa mtaji mdogo (Mfano: Milioni 1)

    Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na kuandika tu,Hauna ujuzi wowote ule ambao unaweza kuufanya na unaisha katika eneo ambalo lina watu...
  8. Zipi ni alama za kuwa umefanikiwa kimaisha?

    Miaka miwili iliyopita huko Kigamboni, Nilikuwa natoka kwangu na kwenda dukani kufuata mahitaji, wakati nipo njiani kuna vijana watano walikuwa kwenye mjadala juu ya kufanikiwa. Ulikuwa mjadala wenye mabishano pia. Walitajwa watu maarufu wengi kama mfano wa watu wenye mafanikio. Walitajwa ...
  9. Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

    Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊
  10. Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  11. Je, unaweza kutoboa kimaisha (biashara) nje ya miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma?

    Tokea nizaliwe sijawai kusikia mtu anatoka mjini anaenda kutafuta maisha kigoma, sumbawanga, Gairo, Mara, Ruvuma, Mtwara, Singida n.k. Simaanishi kwamba hakuna watu wenye pesa lakini naona kama huko mikoa ya pembezoni nguvu ya kuweza kuinua mtaji wa Kwa Kasi na kukua sio jambo jepesi ni...
  12. Masai tuliofanikiwa kimaisha Zanzibar

    1. Nimekuja Zanzibar mwaka 1999 kutafuta maisha, 2. Nikaanza kama Mlinzi hotelini, baadae msusi, kisha 3. Sasa, namiliki kampuni ya kuongoza watalii. Nimeajiri watu 9. Nimejenga nyumba ya block Longido. NB: Muungano udumu milele.
  13. Ndugu yangu kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha hapa namanisha kiuchumi basi fanya hivi

    Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi. Acha Kuendekeza wanawake Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo; 1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa. 2. Kuwa na mwanamke mpambanaji...
  14. Wapi tunaelekea kimaisha

    Habari ndugu mwanajamvi wa JF,..matumaini tu wazima na tunaendelea kuhangaika katika kutafuta mkate wetu wa kila siku (japo tuliomba atupe ila kumbe sio kupewa ni kuutafuta kwa nguvu nyingi jasho na hata damu) Back to the topic, (Tatizo ni wananchi au wenye nchi???) Na je ni nani mwenye nchi...
  15. Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze

    Wakuu nimekua nikipambana bila mafanikio. Nimejaribu fursa mbalimbali lakini mambo bado bilabila. Nimejaribu kufanya kilimo changamoto yake ipo kwenye umwangiliaji na soko, nimejaribu kutoa boda za mkataba lakini bado napigwa ngumi za pua. Najua JF pana wengi na hapakosi kuwa na mengi ya...
  16. Wangapi tunajutia Kuyakwepa Masomo tuliyoyadharau O na A levels ambapo kama tungeyasoma leo tusingekuwa tunapigika hivi Kimaisha?

    Yaani GENTAMYCINE nisingekuwa namkwepa Mwalimu wa Somo la Useremala ( Wood Work ) Shuleni nilipokuwa Form One hadi Form Four ( tena akinibembeleza kama Mwanafunzi ) leo hii ningekuwa bonge la Fundi Samani Keko na Tajiri mno tu. Sasa Kumi ni pale aliyekuwa Kocha wangu wa Mpira ( sasa Marehemu )...
  17. Je, tukishafanikiwa kimaisha huwa tunawakumbuka kwa Shukrani Kauli, Pesa na Mali wale waliotusaidia Shidani?

    Labda tu GENTAMYCINE nisipate Kipato au Utajiri au Mafanikio ila nje ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake na Kunifanikisha nina List ya Watu wangu 35 na Watu Watano ( 5) wako hapa JamiiForums na hii ID yangu Wanaijua na kunijua ndani nje na hao 20 ni wa Kwingineko (Ndugu, Jamaa na...
  18. Watumishi wengi wa Umma tumeachwa Kimaisha na Wajasiriamali wadogo

    Hi! Si Wajasiriamali wote kwamba wana maisha mazuri kuliko Watumishi wa Umma ila nataka kusema kuwa wapo Wajasiriamali wengi tu ambao hata leseni ya biashara hawana, Kodi hawalipi kabisa na Serikali haiwatambui lakini wana pesa kuliko wenye maduka ambao hulipa Kodi kwa VAT. Kuna Jamaa anauza...
  19. Nikipataga seat kwenye mwendokasi huwaga najiona kama nimefanikiwa kimaisha vile wakuu

    Siwafichi wakuu, mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini kwenye maisha. Najiona kama mimi nna gari langu kwahiyo hawa waliosimama huwaga nawaona kama maskini hivi, muda mwingine nawaonea huruma kabisa huku nimefungua...
  20. Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

    Safari yetu ya utafutaji katika dunia hii imejaa misukosuko mingi sana either ya kifamilia, ndoa, kazi na kipato. Wapo watu chungu nzima dunia hii inawasulubu na hawajui wafanye nini kila wanalofanya linakwama iwe ajira, mahusiano na kipato. Wapo watu ambao mambo yao yamewanyokea kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…