Nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Kama kichwa kinavyoeleza. Nani humu ni mkali wa nyuzi zilizokusaidia kimaisha Kati ya hawa?
1. Mshana Jr
2. Pascal Mayalla
3. Robert Heriel Mtibeli
4. Deeppond
5. GENTAMYCINE
Unaweza kuelezea Uzi au Jambo ambalo amekujenga.
Miaka ya nyuma kidogo tulikuwa tunasikia shuhuda za watu waliofanikiwa kimaisha kuna matajiri walianza kufanya biashara za ajabu ukimuona sasa huwezi kuamin
Wapo walioanza biashara kuuza karanga kutembeza mitaani hadi kuja kumiliki magorofa
Wapo walikuwa machinga mitaani wanatembeza ungo na...
Habari za asubuhi!
Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake.
Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu.
Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo
na...
Nazungumza na wale wenye miaka 35+
Jaribu leo utoke peke yako, na uende kwenye mazingira tulivu, kama yanaruhusu kupata kinywaji au kula matunda yoyote fanya hivyo.
Jitafakari ulipotoka, mpaka hapo ulipo sasa.
Jiulize haya maswali; leo hii nikifungwa gerezani ni nani atakuwa karibu na mimi...
Ndugu wanajamvi,
Kwenye jamii inayotuzunguka kuna msemo ya wahenga na busara au elimu ambayo ili kusaidia au kukunufaisha na kutuwezesha either Iwe positively au negatively kuwa na nidhamu au kanuni za kimaisha.
Naomba tushare baadhi ya hivo Vitu either umesoma, kusikia, kuona au namna...
Ukiweza jaribu kufanya tafiti wewe mwenyewe alafu uchague njia ya kwenda.
Dunia kwa sasa imekua kijiji, hasa kwa hii technology ya mawasiliano.
Katika mitandao ya kijamii kwa sasa utakutana na watu wanafundisha kuroga kabisa, kutumia majini na mafundisho ya ibada za kimiungu.
Mchaguzi wewe...
Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha kupitia biashara ndogo ndogo ikiwemo kuuza vitafunwa katika migahawa minne karibu na shuleni kwangu hapa jijini Dodoma
1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri...
Kama binadaamu kuna wakati mtu unapitia magumu mpaka hujui nani wa kukusaidia hata kimawazo.
Leo nimeanzisha thread hii ili tushare mambo au changamoto mbalimbali ambazo tunapitia sisi viumbe wa Mungu.
Orodhesha changamoto na jinsi ulivofanikiwa kutatua ili umsaidie mtu mwingine huko aliko...
Kila mtu katika ardhi ana uwezo wake wa kutoa msaada. Msaada unatofautiana kulingana na mtu hadi mtu na uwezo wa kutoa msaada huo. Kuna mafanikio makubwa sana yaliyojificha katika kutoa msaada. Unaweza kujiuliza kwa nini walio wengi hutoa msaada? Kwa nini imeandikwa katika maandiko matakatifu...
Ndugu zangu, kuna ukweli hapa kuwa ukiwa na roho nzuri sana, ni nadra sana kufanikiwa kimaisha?
Binafsi kwangu naona ili ufanikiwe kimaisha pale unapopata nafasi, kazi/ biashara inayokupa kipato unapaswa kuwa katili sana.
Ukatili huu ni kuwa na roho mbaya kwenye pesa, yaani siyo kila mtu...
Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea.
Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
Licha ya Tanzania kuwa na hali ya hewa inayoruhusu uzalishaji wa zao la michikichi, uzalishaji wake uko chini ukilinganishwa na nchi zianzozalisha kwa wingi kama vile Malaysia na Indonesia.
Ni kwa sababu hii Tanzania hujikuta ikiagiza karibu tani 400,000 za mafuta ya mawese ili kukidhi mahitaji...
Kama title inavyojieleza hapo naomba kujua fursa, changamoto na hali ya ujumla ya wilaya ya handeni mkoani tanga, uwe mwenyeji, mzeofu au uliewahi kuishi au kufika Handeni karibu na msaada tafadhali
Habarini wadau wangu,
Natumai mko vyema na mnaendelea na majukumu yenu ya kutafuta ugali wa kila siku.
Ni bora leo tukaongelea jambo hususani lenye kuleta tija katika mstakabari wa maisha yetu. Je, kwanini unasema maisha yamekuwa magumu, vitu vimepanda kama ndege angani ilahali bado uko...
Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma.
Karibuni.
Sio wenye dini wala wasio na dini wote dhahama hii inakanyaga pote. Cha msingi hofu ya mungu ndo inabidi itawale kwenye ubongo wetu la sivo tunaenda kuwa na wanawake wengi wenye jinsia ya kiume nawambia.
TAMAA
vijana wengi tamaa zinawaponza kutaka UTAJIRI wa haraka au kutaka kazi yenye mshahara...
Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...
Sio lazima utaje kazi au shughuli yako. Ila mimi binafsi nawashukuru wakazi wa jiji la mbeya maana ndipo nilipotokea kimaisha baada ya kupuyanga na kuchochola saaaaaaana. Salute kwà mbeya na Wana mbeya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.