Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kujiua kwa namna tofautitofauti kutokana na changamoto za kimaisha, ndoa, kiuchumi nk.
Wengi tumekuwa tukisema "Ongeeni na watu" kuhusu matatizo ili pengine yatatuliwe, wanaamini kwamba wahanga hawawashirikishi watu wakati sivyo.
Watu wengi wanafanya maamuzi...
1. Nunua pikipiki ya dhamana ukaanza biashara ya boda boda.
2. Fungua saluni.
3. Mradi wa tofali za kuchoma.
3. Fuga kuku.
4. Somea ujuzi wowote.
5. Mradi wa kushona nguo.
6. kijiwe cha kuchomelea.
7. Kijiwe cha milango na madirisha ya aluminum.
8. Mgahawa mdogo.
9. Kijjwe cha kahawa.
10...
Habari wanjf,
kutokana na tatizo la ajira linaloendelea hapa nchini, ujuzi wa ufundi ndo suluhisho pekee la kuondokana na changamoto hii.
Hivyo natafuta vijana ambao wako tayari kujikwamua kimaisha ila wamekwama kwa namna moja au nyingine waje tuunganishe nguvu mawazo ili tupambane na...
Najua hii ni mada maarufu na nyeti kwa baadhi ya watu. Sababu ni kwamba Forex ni biashara ya kimtandao
Na nahitaji ushauri kama yupo mtu ambaye alishawahi kufanya kufanikiwa hii biashara ya mtandao ya Forex Trading.
Niambieni je ni kweli inaweza kumtoa mtu kwenye umaskini?
Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani.
Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri lakini hayampendezi Mungu.
Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana...
Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha.
Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF...
Waliooa hapa duniani ni wachache sana, wengi tunaishi na watu wakusindikiza nao maisha, ndiyo maana tunakimbilia kwenye tabia, bila kuangalia shepu na sura nzuri.
Waliooa ni wale wanaoishi na warembo wakali, wenye shepu nzuri na sura nzuri, hawa ndio waliofanikiwa kuoa.
Sisi wengine...
Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana.
Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi?
Turudi kwenye mada.
Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
Habari, Kwa Majina Naitwa Theophilus Gugaguga. Mbele ya macho yako ni Nakala Fupi tu Ambayo inalenga kubadilisha Maisha Yako kuelekea katika ukuu. Kaa Chonjo, ukifuatilia kila Neno la Mawazo haya.
Maisha ya Binadamu yamejawa na simulizi Nyingi Sana za Kuchekesha, Kufurahisha, kuhuzunisha, na za...
Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho wako mbali sana kimaisha kuliko wewe?
Kwa Upande wangu hii imenikuta wakati natoka...
Kuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri.
Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?
"Miaka ya sitini, miaka ya sabini na miaka ya themanini vijana walikuwa wanahudumia wazee na watoto. Hali haiko hivyo sasa. Kwa sasa, wazee ndio wanahudumia vijana na watoto wao" - @mwigulunchemba1
Chanzo: EastAfricaRadio
Nijuavyo ni kwamba hakuna Kijana ambaye anapenda Kutowajali Wazazi au...
Imeelezwa kuwa tatizo la kubwa la baadhi ya vijana toka familia zenye mazingira magumu kutojikita kuanzisha miradi ya kiuchumi ni kutokana na kujinyanyapaa wenyewe na kuwa na fikra mgando za kukata taamaa kama hawawezi kufanikiwa kiuchumi hata kama wakiwezeshwa .
Akizungumza katika Ukumbi wa...
Mungu si Athumani, maana amekuwa akishusha thawabu zake kwa muda wa takribani miaka mitano sasa tangu nilipoanza kupataa namna ya kujiingizia kipato changu na kumudu gharama za kuishi. Kwakweli niwe muwazi kuwa maisha siyo mteremko sana na wala sipati pesa nyingi sana lakini pesa nazopata...
Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata.
Naitwa...
Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita kiuchumi nk.tupe mtazamo wako ulivyo hapo ulipo.
Huwa nikikaa na kufikiri ni namna gani binadamu aliweza kubuni ndege, meli kubwa hasa za mizigo, gari na vitu vinginevyo na badae kuja kuwa msaada mkubwa katika dunia yetu ya siku leo hata kurahisisha maisha katika eneo fulani lililokuwa na ugumu kwetu, basi nauona uwezo wa Mungu aliouweka ndani...
Habarini za uzima. Mimi sijambo pia. Kama afya yako haiko katika utimilifu basi Mwenyezi Mungu akujaalie nafuu ya mapema ujisikie kupona.
Moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya maisha yangu kuchukua sura mpya kwa Mwaka mmoja sasa, jana nimepata nafasi ya kujitathmini kujua iwapo niko sawasawa na...
Wakuu habari zenu mimi sio mwandishi mzuri sana ila nitajitaidi kidogo kuandika kwa ufupi ili niweze ku share nanyi jambo lililonikumba mwaka jana 2020.
Katika haya maisha kuna mambo tunapitia yanatuachia makovu,na hayatuachi salama baadhi yetu,mwaka jana 2020-2021 mwanzoni nilipitia anguko...
Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako
Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.