kimaisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nani mkali wa nyuzi zinazokujenga kimaisha humu jF?

    Nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania? Kama kichwa kinavyoeleza. Nani humu ni mkali wa nyuzi zilizokusaidia kimaisha Kati ya hawa? 1. Mshana Jr 2. Pascal Mayalla 3. Robert Heriel Mtibeli 4. Deeppond 5. GENTAMYCINE Unaweza kuelezea Uzi au Jambo ambalo amekujenga.
  2. Tupeane uzoefu wale walioanzia chini na kutoka kimaisha

    Miaka ya nyuma kidogo tulikuwa tunasikia shuhuda za watu waliofanikiwa kimaisha kuna matajiri walianza kufanya biashara za ajabu ukimuona sasa huwezi kuamin Wapo walioanza biashara kuuza karanga kutembeza mitaani hadi kuja kumiliki magorofa Wapo walikuwa machinga mitaani wanatembeza ungo na...
  3. Shetani anawaambia wasanii wanaotaka kutoka kimaisha wamsujudie, wakikubali anawapa pesa na umaarufu

    Habari za asubuhi! Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake. Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na...
  4. Naombeni msaada wa connection ya kazi, hali yangu kimaisha imekua ngumu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu. Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo na...
  5. Tafakuri ya kimaisha

    Nazungumza na wale wenye miaka 35+ Jaribu leo utoke peke yako, na uende kwenye mazingira tulivu, kama yanaruhusu kupata kinywaji au kula matunda yoyote fanya hivyo. Jitafakari ulipotoka, mpaka hapo ulipo sasa. Jiulize haya maswali; leo hii nikifungwa gerezani ni nani atakuwa karibu na mimi...
  6. C

    Uliwezaje kufanikiwa kimaisha kwa kutumia mbinu au kanuni uliyosoma kwenye kitabu au ushauri?

    Ndugu wanajamvi, Kwenye jamii inayotuzunguka kuna msemo ya wahenga na busara au elimu ambayo ili kusaidia au kukunufaisha na kutuwezesha either Iwe positively au negatively kuwa na nidhamu au kanuni za kimaisha. Naomba tushare baadhi ya hivo Vitu either umesoma, kusikia, kuona au namna...
  7. Shuhuda au Mikasa ya kimaisha katika kumtumikia shetani

    Ukiweza jaribu kufanya tafiti wewe mwenyewe alafu uchague njia ya kwenda. Dunia kwa sasa imekua kijiji, hasa kwa hii technology ya mawasiliano. Katika mitandao ya kijamii kwa sasa utakutana na watu wanafundisha kuroga kabisa, kutumia majini na mafundisho ya ibada za kimiungu. Mchaguzi wewe...
  8. A

    Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

    Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha kupitia biashara ndogo ndogo ikiwemo kuuza vitafunwa katika migahawa minne karibu na shuleni kwangu hapa jijini Dodoma 1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS, 2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma) 3. Usafiri...
  9. M

    Umepitia/Unapitia changamoto gani tangu umalize chuo mpaka sasa?

    Kama binadaamu kuna wakati mtu unapitia magumu mpaka hujui nani wa kukusaidia hata kimawazo. Leo nimeanzisha thread hii ili tushare mambo au changamoto mbalimbali ambazo tunapitia sisi viumbe wa Mungu. Orodhesha changamoto na jinsi ulivofanikiwa kutatua ili umsaidie mtu mwingine huko aliko...
  10. R

    SoC03 Nguvu iliyofichwa yenye kuweza kuinua uchumi, wako, ari na hali nyingine za kimaisha

    Kila mtu katika ardhi ana uwezo wake wa kutoa msaada. Msaada unatofautiana kulingana na mtu hadi mtu na uwezo wa kutoa msaada huo. Kuna mafanikio makubwa sana yaliyojificha katika kutoa msaada. Unaweza kujiuliza kwa nini walio wengi hutoa msaada? Kwa nini imeandikwa katika maandiko matakatifu...
  11. Ni kweli ili ufanikiwe kimaisha unapaswa kuwa na roho mbaya?

    Ndugu zangu, kuna ukweli hapa kuwa ukiwa na roho nzuri sana, ni nadra sana kufanikiwa kimaisha? Binafsi kwangu naona ili ufanikiwe kimaisha pale unapopata nafasi, kazi/ biashara inayokupa kipato unapaswa kuwa katili sana. Ukatili huu ni kuwa na roho mbaya kwenye pesa, yaani siyo kila mtu...
  12. T

    Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea. Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
  13. T

    Michikichi fursa inayoweza kuwatoa kimaisha wakulima wengi

    Licha ya Tanzania kuwa na hali ya hewa inayoruhusu uzalishaji wa zao la michikichi, uzalishaji wake uko chini ukilinganishwa na nchi zianzozalisha kwa wingi kama vile Malaysia na Indonesia. Ni kwa sababu hii Tanzania hujikuta ikiagiza karibu tani 400,000 za mafuta ya mawese ili kukidhi mahitaji...
  14. B

    Habari naomba kujua hali ya kimaisha, kimazingira na fusra za Handeni mkoani Tanga

    Kama title inavyojieleza hapo naomba kujua fursa, changamoto na hali ya ujumla ya wilaya ya handeni mkoani tanga, uwe mwenyeji, mzeofu au uliewahi kuishi au kufika Handeni karibu na msaada tafadhali
  15. Jifunze kwa wengine waliofanikiwa nawe utatoboa kimaisha

    Habarini wadau wangu, Natumai mko vyema na mnaendelea na majukumu yenu ya kutafuta ugali wa kila siku. Ni bora leo tukaongelea jambo hususani lenye kuleta tija katika mstakabari wa maisha yetu. Je, kwanini unasema maisha yamekuwa magumu, vitu vimepanda kama ndege angani ilahali bado uko...
  16. Je, umeshawahi kupata mchongo mzuri wa kukuinua kimaisha ila tamaa zako zikakuharibia?

    Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma. Karibuni.
  17. Acha kulea watoto wenu wa kiume kama mayai, acha kuwa bize na harakati za kimaisha

    Sio wenye dini wala wasio na dini wote dhahama hii inakanyaga pote. Cha msingi hofu ya mungu ndo inabidi itawale kwenye ubongo wetu la sivo tunaenda kuwa na wanawake wengi wenye jinsia ya kiume nawambia. TAMAA vijana wengi tamaa zinawaponza kutaka UTAJIRI wa haraka au kutaka kazi yenye mshahara...
  18. Nini faida au hasara za kuiba, katika harakati za kutoka kimaisha

    Msaada jamani 🙏🙏
  19. S

    Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning. Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...
  20. Uzi wa kutaja na kuwashukuru wakazi wa mji au mkoa uliotusua kimaisha

    Sio lazima utaje kazi au shughuli yako. Ila mimi binafsi nawashukuru wakazi wa jiji la mbeya maana ndipo nilipotokea kimaisha baada ya kupuyanga na kuchochola saaaaaaana. Salute kwà mbeya na Wana mbeya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…