kimarekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mungu asikia maombi ya wanandoa wa kimarekani na kuikoa nyumba yao dhidi janga la moto

    Hakika Mungu yupo kwa hili lililowatokea wanandoa wawili nchini marekani katika hili janga la Moto linaloendelea,walikuwa na dakika 30 pekee za kuokoa maisha yao lkn kwa maombi na sala Mungu aliwanusuru wao na nyumba yao
  2. Kwanini Dollar ya Kimarekani imeshuka hivi, wachumi tujuzeni!

    Katika siku za hivi karibuni naona Dollar inazidi kuporomoka sijajua sisi tumepunguza importation au Shilling inazidi kuimarika au biashara imekuwa na mwelekeo mzuri watu hawafichi tena dollar?? Au Mama anaupiga mwingi maana hata TRA wamevuka malengo uchumi umekua kwa kwa aslimia 5%+ Hii ni...
  3. TCRA wafungie ama wasifungie Simu Feki? Kariakoo na Makumbusho imejaa Simu za "kimarekani" na "Korea" feki!

    Wauza simu wa Kariakoo mtaa wa Aggrey , Makumbusho na Mwenge wanaongoza kwa kuuza "copy" ya simu halisi! Hawa wauzaji wanachanganya na simu original na feki kuhadaa wanunuzi ambo wengi wanatoka mikoani na kuamini ni original. Simu yeyote ukikuta ina ki-dude kama maskini tape na haipo kwenye...
  4. Mgogoro wa Korea Kusini kuisesha Tanzani Dola za Kimarekani Bilioni 2.5? Tumuombee Samia

    Salaam Wakuu, Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea walishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA). Mkataba ambao utaiwezesha Tanzania kupokea mkopo kutoka Korea wa kiasi cha Dola za...
  5. Sarafu mpya ya BRICS ina umiliki wa Nchi moja wapo au ni mfano wa Sarafu ya EURO ya Ulaya? Itashindana vipi na Dollar isiyo na mipaka wanachama?

    Dollar ni sarafu ya Marekani na inayotumiwa na Dunia nzima licha ya kuwepo sarafu mbali mbali zinazoundwa na baadhi ya umoja wa nchi mbalimbali kama Africa Mashariki, Umoja wa Ulaya n.k na lengo moja wapo ni sarafu hiyo itumike kibiashara kwenye nchi hizo Sarafu mpya ya mataifa ya BRICS, ni...
  6. Thamani ya Uwekezaji Tanzania Yafikia Dolla za Kimarekani Bilioni 1.6

    Thamani ya uwekezaji nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 60 hadi kufikia thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.6. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema thamani ya miradi ya uwekezaji imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 60 hadi kufikia dola bilioni 1.61 katika robo iliyoishia Juni...
  7. Wanaanga walioko ISS washindwa kurudi ardhini. Mlango wa Boeing hautaki kufunguka

    Wanaanga wawili wa kimarekani kutokea shirika la anga la NASA wameshindwa kurudi nyumbani kwa wakati kutokana na chombo walichotumia kufika huko cha Starliner kilichotengenezwa na kampuni ya boeing kuwa na hitilafu kadhaa. Hitilifu kubwa zaidi ni mlango wa kutokea na kuingilia kugoma...
  8. Utume na unabii upo? Case study ya utabiri uliofanywa na prophets wa kimarekani, kuhusu tukio litakalotokea juu ya jaribio la mauaji ya Trump

    Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda...
  9. I

    Kwa mara nyingine tena mfumo wa anga wa Russia aina ya S-500 unashindwa kuzuia makombora ya ATACMS za kimarekani.

    Mvutano kati ya Urusi na Marekani umeongezeka kwa hatari kufuatia shambulio baya la kombora huko Sevastopol, Crimea, ambalo maafisa wa Urusi wanadai lilitekelezwa kwa silaha zilizotolewa na Marekani. Shambulizi hilo lililotokea Juni 23, lilisababisha vifo vya watu wanne, wakiwemo watoto wawili...
  10. Kiingereza cha Kimarekani chamkanganya Ruto

    Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄 Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu hii kakutana na Mkenya aliyeizoea American accent. Alipoona hamwelewi, alimwuliza kama anaweza...
  11. F

    Dola ya Kimarekani inakimbilia 2,600 Tshs muda huu!

    Hili nalo jambo gumu kati ya mengi yanayotukabili watanzania kipindi hiki kigumu. Dola ya kimarekani ina shoot kwa kasi na punde si punde tunaweza kujikuta tunazoe mahesabu ya 1:3000. Tuzidi kuipambania nchi yetu kila siku.
  12. Balozi Kairuki asema biashara ya China na Tanzania imepanda thamani kutoka Dola za Kimarekani Milioni 200 hadi 600

    Balozi anayemaliza muda wake Nchini China, Mbelwa Kairuki ambaye kwa sasa amepangiwa Kituo kipya cha kazi Nchini Uingereza, amefanya Mahojiano Maalum na Kituo cha TV Mjini Beijing yenye lengo la kupata ufafanuzi wa yale aliyofanya ndani ya miaka sita ya Ubalozi Nchini humo. Balozi Kairuki...
  13. L

    "Kuacha kutumia dola ya kimarekani" imekuwa maoni ya pamoja ya nchi za Afrika

    Hivi majuzi, video iliyomuonyesha Rais William Ruto wa Kenya akitoa hotuba katika bunge la Djibouti imeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii. Katika video hiyo, Ruto aliuliza kwa kejeli: Kwa nini tunatumia dola ya kimarekani kwenye biashara kati ya nchi za Afrika? Baada ya kauli yake hii...
  14. Kununua Dhahabu kama mbadala wa Dola kutokana na kuadimika kwa Dola ya Kimarekani Tanzania pamoja na Dunia nzima

    Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Kama Mtanzania mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali nimewaza na kuona njia mbadala ya kuwekeza kwa Dunia ya sasa ni kununua dhahabu. Hii imetokana na hizi siku chache kutokana na kuadimika kwa Dollars kitu ambacho sio ishara nzuri kwa wanauchumi...
  15. Cuba wakubali yaishe, warudi kwenye Dola za Kimarekani

    Sio rahisi kuepuka baba lao Marekani, siku zote mnaimba humu "death to America" Cuba's government on Monday announced a surprise lifting of its ban on US dollar deposits in banks, reversing a policy which had been in place across the communist island nation since June 2021. "From this moment...
  16. D

    Tinted za kimarekani kwenye gari tunazipenda lakini zinahitaji uvumilivu tu kwakweli

    Tuseme tu ukweli! Ka tinted! ni kaugonjwa ketu wengi! Sina maana huu uzi niwakuwatambia hapana; siyo lazima niwe na kagari ili kuifurahia tinted, bali hata napopewa lift tu madhila, kero na utamu wa tinted huwa unaonekana! Tinted ni kilevi kama vilevi vingine visivyolewesha! Kupenda kunywa...
  17. L

    Kwanini nchi za Afrika hazina hamu tena na "Demokrasia ya Kimarekani"

    Mkutano wa pili unaojiita kama "Wa kilele wa demokrasia duniani" ulioandaliwa na serikali ya Marekani utafanyika hivi karibuni, na moja ya kumbi ndogo itakuwa barani Afrika lakini hadi sasa, ni nchi 16 tu kati ya 54 za Afrika ambazo zimethibitisha kuhudhuria. Hii imeonyesha kwa mara nyingine...
  18. Mbinu za utatuzi wa migogoro za Uchina ni bora kuliko za Kimarekani

    Baada ya mazungumzo yaliyodumu kwa takriban miaka saba, Iran na Saudi Arabia hatimaye zimeamua kufufua uhusiano wao wa kidiplomasia, huku zikitangaza kwamba balozi zao kwenye nchi hizo pia zitafunguliwa. Hatua hii ilikuja kufuatia mapatano yaliyoongozwa na Rais wa China Xi Jinping jijini...
  19. L

    Rais Samia kukomba Wawekezaji na Wafanyabiashara wakubwa wa Kimarekani kuja kuwekeza Tanzania

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni zaidi ya kiongozi, Ni zaidi ya Mwanasiasa,Ni zaidi ya mwanadiplomasia,Ni zaidi ya jasusi wa kiuchumi,Ni zaidi ya komandoo wa Vita ya kiuchumi, Rais Mama Samia Ni mchanganyiko wa hivyo vyote,Ni mjumuiko wa hayo yote, Ni muunganiko wa hayo yote, Ndani yake utayaona hayo...
  20. L

    Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani

    Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…