kimataifa

  1. L

    Mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha wakosolewa na nchi za Afrika

    Mkutano wa kilele wa katikati ya mwaka wa Umoja wa Afrika ulifanyika hivi karibuni mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Viongozi wa nchi za Afrika walioshiriki kwenye mkutano huo kwa mara nyingine tena walitoa wito wa mageuzi ya mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha. Rais William Ruto wa Kenya...
  2. H

    SoC03 Mfumo wa elimu ya Tanzania una cha kujifunza kutoka mitaala ya kimataifa?

    Kutoka katika fukwe za Bahari ya Hindi hadi katika kilele cha mlima Kilimanjaro, Tanzania imejawa na utajiri wa asili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye upeo mkubwa. Lakini katikati ya haya yote, kuna hazina isiyoweza kulinganishwa na chochote: elimu ya Tanzania. Elimu, kama msingi wa maendeleo...
  3. R

    Wawekezaji baada ya kutengeneza faida lukuki wameamua kutufilisi kwa kufungua kesi huko Mahakama za kimataifa. Wanasheria wetu wanafanya nini?

    Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa Kinachoendelea sasa hivi; mwekezaji akigombezwa kidogo tu na serikali anakwenda kufungua kesi nje. Akifungua kesi...
  4. SoC03 Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa

    Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi: Elimu ni muhimu kwa maisha na maendeleo ya binadamu. Elimu inawezesha wananchi kuelewa na kushiriki katika masuala ya kitaifa na kimataifa...
  5. The Emirate of Dubai siyo nchi na uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano ila ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwa mujibu wa Katiba

    Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano. Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The...
  6. Mzee Butiku aigeuza Mwalimu Nyerere Foundation kutoka kuwa taasisi kubwa ya kimataifa mpaka level ya kikao Cha ukoo wa Nyerere. Ikabidhiwe UDSM

    Mwalimu Nyerere Foundation wakati inaanzishwa, ilikuwa na malengo makubwa sana. Ilivutia wafadhili, ilivutia serikali kuweka fedha. Na Kila mtu alitarajia kwamba itakuwa ndio kisima Cha mawazo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidiplomasia kwa Kila namna. Mwanzoni ilianza vizuri, kabla haijawekwa...
  7. MOI yaendesha Mafunzo ya Kimataifa ya Saratani ya Mifupa na Misuli, Madaktari 200 wanashiriki

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imezindua mafunzo ya kimataifa ya matibabu ya Saratani ya Mifupa na Misuli yanayofanyika kwa siku tatu ambapo zaidi ya madaktari 200 kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza, Australia, Malaysia wanashiriki. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Lemeri...
  8. B

    Benki ya CRDB yatunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora na Taasisi ya Umoja wa Ulaya

    Benki ya CRDB kwa mara nyingine imetunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora na Taasisi ya Umoja wa Ulaya ijulikanayo kama ESQR (European Society for Quality Research). Tuzo hiyo imetolewa Jumapili, t Julai 9, 2023 jijini Brussels Ubeligiji, yalipo makao makuu ya Umoja wa Ulaya ambao hivi karibuni...
  9. DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    MAKUBALIANO YA KISERIKALI KATI YA: ΤHΕ UNITED REPUBLIC 0F TANZANIA AND THE EMIRATE 0F DUBAI https://www.jamiiforums.com/attachments/dar_port_contract_mkataba-pdf.2682567/ UTANGULIZI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, iliyowakilishwa ipasavyo na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (“Tanzania”) na...
  10. Wadau wakaribishwa kupata taarifa namna ya kushiriki jukwa la kimataifa sekta ya madini mwezi oktoba 2023

    Wananchi na wadau wanaotembelea maonesho ya Sabasaba wamekaribishwa kupata taarifa kuhusu namna ya kushiriki katika Jukwaa la Kimataifa la Sekta ya Madini kwa kujisajili katika tovuti maalum ya mkutano. Mratibu wa Jukwaa la Mkutano wa Kimataifa kutoka Wizara ya Madini Bi. Jacqueline Aloyce...
  11. Kituo Cha Kimataifa Cha Biashara Afrika Mashariki (Ubungo), Kufunguliwa June 2024

    Mkurugenzi Mkuu wa kituo Kituo Cha Kisasa Cha Biashara Afrika Mashariki Cathy Wang akizungumza kwenye maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam amesema kituo hicho kinatarajiwa kufunguliwa mwezi June mwakani...
  12. Angola walitangaza zabuni na DP World ikashinda na sasa yasimamia kitengo cha makontena bandari ya Luanda

    Naam, ni DP World Luanda Port. Bandari ya Luanda ni moja ya bandari kubwa nchini Angola kati ya bandari zake zikiwemo za Lobito na Benguela ambazo zipo pembezoni mwa bahari ya Atlantic. Lakini serikali ya Angola kwa kuona ufanisi mdogo uso na tija kwa uchumi wake ikaamua kutafuta mzabuni ambae...
  13. H

    Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

    Utangulizi: Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
  14. F

    Mkopo wa trillion 1 kujenga uwanja wa kimataifa wa ndege Pemba na barabara kilometer 800 Zanzibar pekee, uwiano wa kibajeti upo wapi?

    Maelezo ya mkopo huo mkubwa kuwahi kutokea kwa Zanzibar yapo mwisho kabisa mwa uzi huu. Hoja yangu kubwa ni uhitaji wa kujenga kiwanja kikubwa cha kimataifa katika kisiwa cha Pemba wakati tayari upo uwanja kama huo Unguja ambapo ni kilometer 100 tu kutoka Pemba. Pia kujenga kilometer 800 za...
  15. J

    TANTRADE yapokea vizimba vya mabanda ya kisasa kwa ajili ya maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam (Sabasaba)

    TANTRADE yapokea vizimba vya mabanda ya kisasa kwa ajili ya maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam (sabasaba) Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE) Bi. Latifa Khamis leo tarehe 22 Juni, 2023 amepokea udhamini wa viti, meza na vizimba 170 vya...
  16. M

    SoC03 Ushirikiano wa Kimataifa unawezaje kusaidia kupambana na Mabadiliko ya tabianchi?

    Na: Mr Potocal Kwa sababu ya athari mbaya inayoonekana katika kuchukua hatua juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, ushirikiano wa kimataifa unahitajika ili kuleta mabadiliko ya kina ambayo yatapunguza uzalishaji wa hewa chafu na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mabadiliko hayo ya...
  17. Wafuasi wa International Globalists Elites na malengo yao ya kimataifa

    Kuna kundi kubwa sana la viongozi ambao hawaja chaguliwa kuwawakilisha watu. Kundi hilo wapo wanawake kwa wanaume. Wanajiita illuminati. Kundi hili wanazungukia kila Nchi dunia nzima na kuteka rasilimali. Kundi hili linashambulia wanadamu kwa kisingizio cha mabadiliko ya tabia ya nchi au...
  18. S

    Yafahamu majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusiana na mikataba ya kimataifa

    UANDISHI WA SHERIA Kwa mujibu wa Hati ya Idhini ya Maboresho ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tangazo la Serikali Na.48 la Mwaka 2018 ,Ofisi hii inatekeleza majukumu yafuatayo Kupitia Divisheni ya Uandishi wa Sheria. Kutoa ushauri kwa Wizara, Idara Zinazojitegemea na Taasisi za...
  19. SoC03 Kijana wa Kitanzania na soko la ajira duniani

    Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika ambazo, zina wimbi kubwa la vijana wasiokuwa na ajira hasa , wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Jambo hili likionekana kuchochea sana vitendo vya kihalifu hasa, katika miji mikubwa kama Dodoma, Dar es salaam na Mwanza. Sio kwamba...
  20. Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai ni Batili kwenye sheria za kimataifa

    Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa. Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…