Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa!
Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP...
Ndugu zangu Rais Samia ameirejesha heshima ya Tanzania Kimataifa, Sasa Tanzania inazungumzwa na kuandikwa kwa Mazuri, Sasa kurasa za mbele za magazeti Ni juu ya fursa ambazo Tanzania imezipata kutokana na kuimarika kwa diplomasia yetu ya kiuchumi iliyoimarishwa na Rais Samia,Sasa Tanzania...
Nabi
Yanga 1-1 Al Hilal
Al Hilal 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Club Africain
Yanga 0-2 Viper
Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana.
Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana ya kimataifa.
Juma Mgunda
Nyasa 0-2 Simba
Simba 2-0 Nyasa
Agosto 1-3 Simba
Simba 1- 0 Agosto
Juma...
1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu
2. GSM na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Makamu wake Kujimilikisha Yanga SC na Kuwadharau wenye Yanga SC...
Yanga ni sikio la kufa, halisikii dawa. Janja janja za GSM kwenye ligi letu ni matokeo yake haya. Haiwezikani ushinde kwa mipango mipango na kihuni kihuni halafu uweze kufanikiwa. Nikikumbuka game ya Yanga na Azam au Penalty waliyopewa juzi narudia kusema tena MAREFARII wetu ndiyo wanaoiharibu...
Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Bw. Joel Spicer pamoja na Wajumbe wengine wa Bodi kutoka Afrika; Mheshimiwa Joyce Banda Rais Mstaafu...
Katika siku za hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia maduka makubwa kadhaa yakifungwa, huku la hivi punde zaidi katika orodha likiwa ni Game Stores, ambalo kufungwa kwake kutaathiri vibaya zaidi ya kazi 100 za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. Kuondoka kwa Game kunaikumbusha nchi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa - Msalato, Dodoma leo tarehe 30 Oktoba, 2022
Inashangaza sana mara baada ya beki aliyeisha makali yake, Joash Onyango kupeleka ombi la uhamisho kwa uongozi wa Klabu ya Simba, mambo yakaanza kubadilika kwa beki gwiji raia wa Ivory Coast Mohammed Ouatara, akaanza kusugulishwa benchi mfululizo.
Yaani toka kocha "Mzawa" Juma Mgunda atue...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ametembelea Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili lililoanza leo jijini Dar es Salaam akiwa ameambatana na Naibu Waziri wake ,Mhe. Mary Masanja(Mb).
Lengo kuu la Onesho hilo ni kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini...
Habari wakuu.
Naomba niwaeleze ukweli, japo ukweli ni mchungu.
Bado NALIA na kamati ya usajili ya Simba. Simba bado ni underdog kwa YANGA.
Tunawachezaji Baadhi wa KIMATAIFA nadhani uongozi uwaangalie kwa jicho la tatu.
1. Peter Banda.
2. Mohamed Ottara
3. Dejan aliyeondoka.
4. Okwa Nelson...
Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au kupewa majibu halafu mtoto wa Jirani yake apewe mtihani mgumu! Ni kweli mtoto anafaulu mitihani ya ndani...
Salam wanajamii hasa jukwaa hili la michezo, niende kwenye mada moja kwa moja.
Timu zetu pendwa watoto wa kariakoo wako kimataifa wameshacheza mechi tatu kila mmoja na matokeo tunayo yote. Tukiwa kama mashabiki wa hizi timu utani wetu unaenda hadi huko kimataifa hakuna wakumshangilia mwenzake...
Bocco anayo rekodi nzuri pale Simba na hakika mchango wake ndani na nje ya uwanja hauwezi kusahaulika.
Ila kwasasa ni vizuri uhalisia ukazingatiwa, John umri umemtupa mkono. Mechi za kimataifa zinataka kasi na umakini mkubwa.
Leo amepoteza mipira mingi sana kwa dakika chache alizocheza...
Kabla ya yote mnaonaje mechi inayofata Simba aende Sudan kucheza na Al Hilal alafu hawa jamaa wabaki hapa kucheza na Agosto?
Ngoja nikujuze, kimataifa mbinu zinatawala siyo manguvu na kukamia, wanacheza mpira wa nafasi, kuachiana nafasi ufundi unatawala.
Simba ni zaidi ya hatari endapo...
Ninawaza kwa sauti kubwa saana hapa, nimeona clip nyingi watu wakipiga kelele kisa ku droo na al hilal 😂😂,
Hivi wana feli wapi? Wana yanga wana imani kubwa sana na kikosi chao lakini wanashangaa walivyotaabika jana almanusura wapasuke wamshukuru diara.
Wana yanga wana amini sana kwamba simba...
Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia.
Juzi baada ya Timu hii...
1. Kuroga kwa kukufuru
2. Kutaka kumhonga refa
3. Kutaka kuwapulizia sumu
GENTAMYCINE nakumbusha tu kuwa safari ya kwenda kwao ikiwepo ombeni hata makomandoo 25 wa JWTZ wawasindikize na wakawalinde mkiwa huko kwani kupigwa, kujeruhiwa na kurushiwa mawe au hata risasi ukiwa (ukienda) kwao ni...
Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Watetezi na Amani kuwa mshindi wa tuzo mbili za kimataifa ikiwemo ya amani duniani 2022.
Tuzo nyingine aliyotangazwa kuwa mshindi ni Rais wa kwanza mwanamke barani Afrika kuipata ni tuzo ya Rais wa Dhahabu ya Malengo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.