Wananchi wana jambo lao mapema mwezi huu dhidi ya Al Hilal ya Sudan, wenyewe wanasema iwe mvua iwe jua hatoki mtu kwa Mkapa.
Licha ya hamasa kubwa waliyonayo kuelekea mchezo huo Yanga SC kwa miaka ya hivi karibuni wamekuwa na rekodi mbaya wanapocheza uwanja wa nyumbani.
Kwa ujumla viongozi na...
Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya kiongozi mwenye kariba hiyo.
Haya ni baadhi ya mageuzi yanayotekelezwa kwa weledi mkubwa;
1. Mageuzi...
Wakongwe wa tasnia ya habari akiwemo mkuu Pascal Mayalla mtanisaidia kujua ukweli wa hili.
Kwa muda mrefu redio na TV zimekuwa na hizi habari wanazoziita za kimataifa na wakati mwingine wanavuka na kuzichambua kabisa, kiukweli Sina Shaka na hilo, lakini Shaka inakuja wanatuletea habari za...
Ni ushauri tu.
Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa. Tumeona jinsi Tp mazembe alivyopania kuvuka hatua hii maana tayari Jana kacheza...
MICHUANO YA KIMATAIFA KAMA JUKWAA LA FURSA YA KIBIASHARA KWA VILABU VYETU NCHINI
Kuelekea kuanza kwa michuanao ya kimataifa ngazi ya vilabu barani Afrika mwishoni mwa juma hili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mashindano ya Klabu Bingwa tutakua tukiwakilishwa na vilabu vya Simba , Yanga na...
Nani alaumiwe kwa yanayoendelea msimbazi?Tafadhali piga kura yako hapa
A. UONGOZI
B. MWEKEZAJI
C. WACHEZAJI
D. BENCHI LA UFUNDI
Tafadhali piga kura yako hapa
Maonyesho ya Kimataifa ya mwaka 2022 ya Biashara ya Huduma ya China yamefungwa hivi karibuni hapa Beijing. Ikiwa ni moja ya majukwaa matatu makuu ya China kufungua mlango, maonesho hayo yanaonesha nia ya China ya kufungua mlango zaidi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika biashara ya...
Habari Wana Jamvi,
Naandika haya nikiwa na uchungu sana moyoni, yaani watazania sijui tunasimama wapi ndugu zangu kwa upande wa lugha za kimataifa si Kingereza wala Kifaransa (maana naona passport zetu zina lugha ya Kifaransa) tunaweza kuzungumza.
Tunadanganywa na BAKITA kwamba Kiswahili ni...
SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI
Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na maboresho na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika mataifa mbalimbali barani Afrika ili kutoa mwanya wa...
Siku ya Kimataifa ya Hisani inaadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Septemba na iliidhinishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo 2012
Siku hii ilianzishwa kwa madhumuni ya kuhamasisha watu, mashirika yasiyo ya kiserikali, na wadau kote ulimwenguni kusaidia wengine kupitia shughuli za kujitolea...
Kwanza nikiri mechi ya Jana kati ya Simba na Al hilal sikuangalia Kwa lakini kutokana na mazingira nilikuwa sehemu za kugonga vyombo.
Lakini nimejifunza kitu Watanzania tuna ukarimu wa kiboya sana, tunawakarimu wageni wakija kwetu lakini tukienda kwao ni tofauti.
Kwa mechi kama ya Jana tena...
Tanzania ni nchi ambayo imekua na mahusiano mengi na nchi mbalimbali tangu miaka ya mwanzo. Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere aliipa kipaumbele urafiki baina ya nchi yetu na mataifa ya nje.Aidha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendeleza tamaduni hii ambapo mpaka leo tuna...
Bloomberg yasema kuwa Putin kayakusanya mataifa makubwa duniani, China na India, kwenye mazoezi ya kivita ya kimataifa ya Vostok-2022 yanayofanyika Urusi kwa wiki 1.
Bloomberg yasema hatua hiyo ya Putin kuyakusanya mataifa makubwa nchini Urusi inazizodoa na kuzivunjavunja jitihada za Marekani...
Yanga ni klabu kongwe lakini haina chochote mbele ya uso wa soka la kimataifa. Ni kama pilipili hoho tu kubwa lakini haliwashi. Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikichezea vichapo hata kwenye michezo ya kimataifa ya kirafiki. Ikumbukwe tangu kocha Nabi ajiunge hajawahi kifunga mechi yeyote...
UTANGULIZI.
Mnamo mwaka 1980 katika jiji la MOSCOW nchini URUSI, historia isiyoweza kusahaulika na Watanzania iliandikwa. Pale mwanariadha wa kitanzania FILBERT BAYI SANKA aliposhinda medali ya Fedha ( silver) katika mbio za mita 3000, katika Mashindano ya OLYMPICS ambayo ni mashindano makubwa...
UNITED NATIONS CAREERS
https://careers.un.org › lbw › jobfeed
United Nations Job Openings - UN Careers
Posted Date : 8/26/2022 ... Department/Office : Economic Commission for Africa ... UNCTAD Intenship Programme in the International ....
nipende kuchukua fursa hii kuipongeza sana serikali ya Tanzania KATIKA jitihadaa zake za kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu angalau ya sekondari ili kufukuza ujinga ,hii Ni baada ya kuifanya ELIMU ya msingi na sekondari kuwa bure, lakini ELIMU ya Tanzania bado haijafanikiwa kumkomboa...
12 Agosti 2022
Vyombo vya kimataifa vilivyoalikwa na IEBC kuwa waangalizi wa mchakato mzima wa uchaguzi Kenya 2022, vimetoa pongezi kwa jinsi mchakato mzima kuwa kuelekea uchaguzi na zoezi la upigaji kura, utangazaji matokeo pia vyombo vya ulinzi na usalama kutekeleza wajibu wao bila...
Bonus
Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho
Simba 3-0 Merrick
Merick 0- 0 Simba
Dokezo
Hiyo Somalia ni under 20
My Take
Kukosoa huwezi labda uropoke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.