Salam wanajamii hasa jukwaa hili la michezo, niende kwenye mada moja kwa moja.
Timu zetu pendwa watoto wa kariakoo wako kimataifa wameshacheza mechi tatu kila mmoja na matokeo tunayo yote. Tukiwa kama mashabiki wa hizi timu utani wetu unaenda hadi huko kimataifa hakuna wakumshangilia mwenzake...