Tanzania ni nchi ambayo imekua na mahusiano mengi na nchi mbalimbali tangu miaka ya mwanzo. Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere aliipa kipaumbele urafiki baina ya nchi yetu na mataifa ya nje.Aidha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendeleza tamaduni hii ambapo mpaka leo tuna...