kimataifa

  1. J

    Rais Samia ni kama Nyerere kimataifa

    RAIS SAMIA ANAMUENZI NYERERE KUREJESHA NAFASI YA TANZANIA KIMATAIFA- KAFULILA ==== Mkuu wa Mkoa Simiyu , Mhe David Kafulila amesema kuwa ziara za Mhe. Rais duniani mbali ya faida lukuki za kiuchumi ni za kimkakati kurejesha nafasi ya Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa. Mhe Kafulila amesema...
  2. Vladmir Putin mbona haonekani kwenye majukwaa ya Kimataifa?

    Tatizo Nini?
  3. Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21.
  4. serikali ipige stop vyombo vya habari vya kimataifa vinavyorusha habari kwa Kiswahili

    Wadau naleta hili kwenu, kwa sababu naona vyombo hivi siku izi watangazaji wake wengi ni wa Kenya, na wamekuwa na kiswahili cha ajabu ajabu sanaa sio kiswahili ichi chetu cha Tz Hawa jamaa wana misamiati yao ajabu ajabu sanaa mfano mufti mufti, venye, n.k ...hii misamiati haipo kabisa hapa...
  5. Zimebaki siku 50 Giniki Gisamoda na Gabriel Geay kutuwakilisha Kimataifa

    Emanuel Giniki Gisamoda na Gabriel Gerald Geay ni Wanariadha Wawili mpaka sasa wanaotarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Dunia yatakayofanyika Eugene, Oregon nchini Marekani, kuanzia Tarehe 15 julai Hadi Agosti 25. Zimebaki takribani siku 50 kabla ya wao kwenda kutupa karata yao ya Kusaka...
  6. Rais Uhuru Kenyatta apata Tuzo ya Kimataifa kwa Kutoa Uongozi Thabiti Bara Afrika

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametunukiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa Mageuzi pamoja na Wakenya wengine saba katika hafla Kongamano la Tuzo za Sekta ya Umma Afrika (APSCA) liliyofanyika Accra, Ghana. Waandalizi wa hafla hiyo walisema kuwa Rais Uhuru alituzwa kwa uthabiti wake wa kutoa uongozi wa...
  7. Marais wateue waliosomea international relations kuwakilisha nchi kimataifa

    Ndg zetu Wanaopata kuwa ambassadors wanaabisha nchi. Mods naomba urekebishe title. Marais wateue waliosomea international relations and diplomacy Mh Rais ateue wenye fani wataalamu wa uhusiano wa kimataifa wawakilishe nchi yetu kimataifa. It's a joke kumuweka MTU kama bosheni
  8. Nchi ambayo Wafanyabishara wanaweza kugharamia safari za Rais za Kitaifa na Kimataifa haiwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

    Juzi tuliambiwa gharama za safari za rais za kitaifa na kimataifa zinagharamiwa na wafanyabishara ambao hawatajwi majina. Katika akili ya kawaida, kama wafanyabishara wanagharamia safari za mkuu wa nchi nje ya nchi na ndani ya nchi maana yake tayari rais ameshakuwa compromised na...
  9. Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

    Wa-TZ wenzangu! Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu; uwezo na udhaifu wao. Ina maana Peter Greenberg alikuja akiwa director wa film lakini naaamini...
  10. Thamani ya Chai ya Tanzania yaendelea kuporomoka kwenye soko la kimataifa.

    Wakati Serikali yetu ikiwa busy kwenye uzinduzi wa filamu yetu huko Marekani. Thamani ya Chai yetu inazidi kuporomoka kwenye soko la kimataifa. Katika mnada uliofanyika Mombasa nchini Kenya hivi majuzi Chai ya Rwanda ili endelea kufanya vyema kwa kuuzwa kwa dola 2.83 kwa kilo moja ilhali ile...
  11. PRST kuendesha Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Maafisa Habari wa Mahusiano APA Tanzania 2022

    Washiriki zaidi ya 300 kutoka mataifa tofauti ikiwemo Bara la Afrika, Ulaya, Amerika wanatarajiwa kuhudhuria mkutano mkuu wa mwaka wa kimataifa wa kitaaluma 'APA TANZANIA 2022', utakaofanyika kuanzia Mei 23 hadi 27, Dar es Salaam. Wakizungumza na Waandishi wa Habari, juu ya utambulisho na...
  12. P

    Royal Tour itampaisha Rais Samia na kuipaisha Tanzania kimataifa

    Wakosoaji wanasema zimetumika zaidi ya shilingi bilioni tano katika kuiandaa Royal Tour huko mbugani. Yameongewa mengi, mengine ni mbwembwe tu kama ile habari ya Samia kuendesha gari kwa mara ya kwanza baada ya miaka 15 siku alipomuendesha yule mzee wa kizungu kule mbugani. Mengine ni habari...
  13. Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) usaidizi wa dharura wa kifedha

    Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa usaidizi wa haraka wa kifedha na mkopeshaji wa kimataifa anaweza kuzingatia hilo baada ya kusita kwa awali, msaidizi wa waziri wa fedha wa nchi hiyo alisema. Maandamano yamezuka katika taifa hilo huku likipambana na mzozo mbaya wa...
  14. Kwenye majukwaa ya kimataifa, Rais Samia atumie akili ya ziada na welevu kujadiliana na kuongea

    Katika majukwa ya kimataifa kuna masuala mengi huwa hayapaswi kuzungumzwa au kauli tata kutolewa hadharani. Majukwaa ya kimataifa ni pamoja na majadiliano na waandishi wa habari wa kimataifa, vikao vya wazi na viongozi na taasisi mbalimbali, makongamano pamoja na mikutano mikubwa na midogo, iso...
  15. Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  16. Hawanipendi kisa najua sana mambo ya Kimataifa

    Siandiki kishabiki napima na sikurupuki, PM zimeanza Kujaa kwa kifupi Urusi Nina Mke , Yaan mama yenu ni Mrusi Irina KOMOVA na mpaka jana ndo nimelazimika kumtoa huko ili hali inayoendelea ya ugumu wa maisha, Nimezitembea nchi Zote hizo na nimekaa uzuri nimekaa Urusi Saratov Miaka 3 na Rostov...
  17. B

    Kuna kosa kuzigawa habari za michezo Kitaifa, Afrika na Kimataifa

    Katika vipindi vya michezo kwenye baadhi ya vyombo vya habari, wamezigawanya habari hizo katika kundi la kitaifa, Afrika na kimataifa. Kwenye za kitaifa mara nyingi huwa wapo sahihi lakini linapokuja suala la habari za Afrika tayari ni za kimataifa sababu zinagusa mataifa tofauti afadhali za...
  18. Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

    Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
  19. ARUSHA: Maonesho ya Kimataifa ya TANZFOOD, fursa muhimu kwa wakulima

    Na Joseph Ngilisho Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela amefungua maonesho ya kimataifa ya kilimo yanayojulikana Kama ‘TANZFOOD Expo’ katika viwanja vya magereza, na kuwataka wadau wa kilimo na wafugaji kuyatumia maonesho hayo kama fursa ya kujifunza na kutangaza bidhaa zao Kimataifa. Akiongea...
  20. J

    Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? 🇬🇧 🇺🇸 🇦🇺

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…