kimataifa

  1. J

    Shaka: Uthubutu wa Rais Samia unaifungua nchi kiuchumi na kimataifa

    SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme kilichopo kata ya Kisarawe II wilaya ya Kigamboni...
  2. S

    Mnaoidharau TMA someni hapa, ndio mjue bila TMA, hata ujio wa ndege za kimataifa ungekuwa wa mashaka na hata Watalii kuwapata ingekuwa mtihani

    Nimesoma thread moja hapa JamiiForums watu wanaiponda TM. Nachowaambia hawa watu waachei kudhrau kazi za watu bila kufanya utafiti wa kutosha. Tambueni, mbali na huduma zingine, unaporuka na kutua salama kwa ndege hapa nchini, TMA inahusika pakubwa. Soma hii: Habari Imewekwa: Jan, 16 2021...
  3. L

    FOCAC yaweka mfano mzuri kwa ushirikiano wa kimataifa na Afrika

    Mkutano wa 8 wa Mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) umefanyika hivi karibuni mjini Dakar, Senegal. Tangu kuanzishwa kwa jukwaa hilo, ushirikiano kati ya China na Afrika umepata mafanikio makubwa, na kuwa mfano mzuri kwa ushirikiano wa kimataifa na Afrika. Ili...
  4. Labani og

    Hii ni list ya wasanii waliotazamwa zaidi nchini Kenya, Mmakonde anazidi kupotea kupotea anga za kimataifa

    Mondi azidi kuonyesha kwamba yeye ndiye mfalme wa East africa 🌍 kutokana na kuwa namba moja kwenye list ya watu walioangaliwa zaidi mjini YouTube ....... Ushauri wangu watanzania tuhamasishe wasanii wetu wafanye muziki na sio kulia lia kwenye media
  5. Kichuguu

    Viwanda Vidogo Katika Level ya Kimataifa

    Kwenye masoko ya kimataifa, kuna bidhaa nyingi ambazo hazitengenezwi na viwanda vikubwa. Mifano michache ni pamoja na spare parts mbalimbali za magari, mipira, viatu, na nguo za kuvaa. Kwa nini Tanzania hatutoboi katika viwanda vidogo vya namna hiyo na kuingia kwenye masoko ya dunia...
  6. Pascal Mayalla

    Live From Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika Day 2: Prof. PLO Lumumba, Mhe. Dotto Biteko Ndani ya Nyumba!

    Wanabodi, Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  7. Pascal Mayalla

    Kutoka Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika. "Bila Uwazi, Hakuna Uwajibikaji" -Ludovick Utouh

    Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  8. BigBro

    Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  9. jingalao

    Waziri wa Michezo na Waziri wa Ushirikiano wa kimataifa wametoa tamko lolote kuhusu kilichojiri Madagascar?

    Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja. TUTAFAKARI
  10. L

    Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China ni fursa inayokua kwa biashara duniani

    Ijumaa hii Shangahi inafungua milango yake tena kwa Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China, ( CIIE). Ikiwa sasa ni mwaka wake wa nne, maenesho hayo yamekuwa jukwaa muhimu la kwa bidhaa za dunia kupata soko nchini China na pia wafanyabiashara kukutana na kubadilishana. Kama mwaka uliopita...
  11. CM 1774858

    Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu

    Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu hivyo kuweni na amani, " Hakuna kama Rais Samia " Deni la Serikali kwa mujibu wa Ripoti ya Hali ya Uchumi ya Taifa iliyotolewa mwezi Jun 2021 na...
  12. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

    Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake. Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa...
  13. Offshore Seamen

    Serikali iangalie upya suala la usajili wa meli za kigeni baada ya kusitishwa mwaka 2018

    Usajili wa Meli (Ship registration) hiki ni kitendo Cha kuipa meli uraia katika nchi Fulani na kurusiwa kutumia bendera hiyo iwapo baharini. Meli iliyosajiliwa na Tanzania italazimika kufata Sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mfano endapo meli itakiuka jambo lolote itaadhibiwa...
  14. M

    Wavulana wa soka wa Jangwani msione vibaya kuwapigia makofi wanaume wa soka wanaokipiga leo, kesho na keshokutwà dimba la kimataifa!

    Baada ya kuangukia pua mapema wavulana wa soka wa utopolo msione vibaya kuwashangilia na kuwapigia makofi wanaume wa soka la Tanzania kuanzia Biashara leo, Azam kesho na kisha baba lao wekundu wa msimbazi siku ya jumapili. Inabidi mfanye hivyo tu maana ushindi wao ndio mbeleko yenu ya...
  15. K

    Rais Samia amteue Tundu Lissu kuwa Waziri wa mambo ya nje & ushirikiano wa kimataifa

    Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa & ujasiri wa kukabiliana na mtawala katili kuliko wote kwenye historian ya Tz
  16. S

    Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

    Hapo kakutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya. Hakuna kurudi nyuma katika mapambano ya kumdhibiti mkoloni mweusi.
  17. L

    Maonyesho ya biashara ya 130 ya kimataifa ya Guangdong yaendelea kujenga picha nzuri ya ushirikiano kati ya China na Afrika

    Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Guangdong awamu ya 130 ambayo ni maarufu kwa jina la Canton Fair yamefunguliwa tarehe 15 Oktoba mjini Guangzhou. Maonyesho haya yanatajwa kuwa ni maonyesho ya muda mrefu zaidi na endelevu zaidi kati ya maonyesho yote ya kimataifa ya biashara duniani hadi...
  18. Lord denning

    Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

    Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana. Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo ya nje jambo lililopelekea Tanzania kutofaidika na Sera Bora ya Mambo ya Nje, Sasa Mabadiliko ya...
  19. kavulata

    Simba na TFF msimchezeshe Kibu Denis mechi za kimataifa kuepuka kujutia

    Uraia alionao na tuliompa after the fact unaweza kupingwa kwenye mahakama za juu za mpira kama timu iliyofungwa na Simba au taifa stars ilimchezesha Kibu Denis kwenye mechi zake. Kibu alisajiliwa na Simba kama raia wa Tanzania na kucheza mechi za ndani na nje ya Nchi kama raia wa tz wakati...
  20. T

    USTADH MGANGA ATABIRI RAIS KUPOKEA TUZO ZA KIMATAIFA

    Ustadh Mganga ambaye ni bingwa wa utabiri hapa Afrika Mashariki ametabiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hivi karibuni ataanza kupokea tuzo za kimataifa kutokana na kazi kubwa ambayo amekuwa akifanya hasa katika nyanja za amani,demokrasia na utawala...
Back
Top Bottom