Ilisemwa huko zamani na wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts”. Kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi watu wanavyofikiri ulivyo ndiyo watakavyo kuchukulia.
Kanuni hii inahusika na maisha yetu moja kwa moja...
Kama kawaida, Afrika tunazidi kuiwakilisha kwenye mambo makuu yanayohitaji matumizi ya ubongo.
A Kenyan startup has made it to the finals in an international competition for newly established businesses, where the winner will take home Ksh11,040,000 prize money.
KOA Mobile App, which offers...
Naomba ushauri.
Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje?
Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on line wameweka vikolombwezo na rangi rangi nyingi ila ukitumiwa hela wiki inapita hazijaingia kwenye...
Na Dk Juma Mohammed
Kwa mara ya kwanza, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa kwanza mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Septemba 23 mwaka huu, Rais Samia atahutubia Baraza Kuu linalowakutanisha Viongozi...
Naam mnamo tarehe 25 mwezi august mwaka 2019 Simba ilitoka 1-1 na UD songo ikapelekea simba kutolewa kwa goli la ugenini ikapelekea Simba kuanza ligi tarehe 28 august kwa kuichapa ppolisi 3-0 ikiwa haimo kimataifa, nakumbuka mwaka huo hakukuwa na shida ya viporo
Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi.
Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York pamoja na kuhudhuria Baraza la Umoja wa Mataifa na mikutano mingine, itatumika...
Klabu ya Yanga imeamua kutangaza utalii katika jezi zao katika mechi za kimataifa! Wamefikia makubaliano hayo na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia waziri wa wizara hiyo Dr. Damas Ndumbaro.
Yanga itatangaza bure Mlima Kilimanjaro pamoja na Visiwa vya marashi na karafuu (Zanzibar).
"Tumeamu...
Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini Wazungu hao wameendelea kupuuza wito huo wa Wizara ya mambo ya nje na kuendelea kumiminika kwenye...
Kijana wa chuo cha DIT Amani Simba amemshangaza Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Gabriel Robert kwa uwezo wake wa kufuma mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa alipofanya ziara ya kikazi katika chuo hicho mwishoni mwa wiki hii.
Kwa Maelezo ya Mkurugenzi wa Chuo hicho tawi la Mwanza Dkt...
Ndugu zangu, Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe?
Tuamue kukataa misaada tujipinde wenyewe kama nchi kutafuta vyanzo vya mapato bila kumuumiza mwananchi.
Sasa hivi wametangaza matozo lakini wanazidi kukopa nje na kurequest misaada kitu ambacho ni ujinga wa hali...
Simba imepeleka majina ya wachezaji 31 CAF. Makipa wanne ambao ni chaguo lao la kwanza Aishi Manula, Benno Kakolanya, Jeremiah Kisubi na Ally Salim katika orodha hiyo.
Safu ya ulinzi ina mabeki tisa ambao ni; Erasto Nyoni, Mohammed Hussein, Gadiel Michael, Henock Inonga ‘Varane’, Israel Mwenda...
Anaandika Dotto Bulendu
Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Leo Alhamisi Septemba 02, 2021 Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakati akisalimia wananchi wa eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam amewaeleza Watanzania faida ya kipindi cha filamu maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania Kimataifa kwenye eneo la vivutio vya utalii...
Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji Kimataifa.
Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour'
●Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa...
Habar wa sport,
Leo yanga imetambulisha wachezaji wote, lakin mchezaji anaeliportiwa kisajiliwa na yanga, kutoka uganda kiungo aucho.imekuwaje akuwepo wakati wa utambulisho , na kama kuna sababu nje ya uwezo wao, si angetajwa jina tu. Kwahivyo tuamini, kweli amesajiliwa?.
Talibani Na Afghanistan.
Nini Hatima yake Machoni mwa Kiitwacho Jamii ya Kimataifa (Nchi za Magharibi na Marekani)?
Afghanistan Yenye Majimbo 34, Wilaya 421, Watu Milion 38.
Je, Katika Hii Mikono ya Mapinduzi ya Taliban dhidi ya Rais Ashraf Ghani?
Nini itakuwa Hatima ya Afghanistan...
Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa.
Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano.
Kitendo cha...
Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine.
Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda...
Habari Yenu wakuu
Kuuliza sio ujinga licha yakuwa maswali yakijinga pia yapo.
Sitaki kuwa mjuaji katika hili nataka kuwa "open minded" .
Tunaposema kuwa nchi kutangazwa kimataifa, faida zake uwa ni zipi.
Tumekuwa na watu/taasis mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti ambao wamekua...
Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema.
Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.