kimbunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Kimbunga Chido kimeua watu 94 Nchini Msumbiji

    Kimbunga Chido kimeua watu 94 nchini Msumbiji tangu kilipotua katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki wiki iliyopita, mamlaka za ndani zimesema. Taasisi ya Kitaifa ya Kudhibiti Hatari na Majanga nchini (INGD) imesema watu 768 walijeruhiwa na zaidi ya watu 622,000 kuathiriwa na maafa hayo kwa kiasi...
  2. Suley2019

    Msumbiji: Kimbunga Chido chaua watu zaidi ya 30

    Kimbunga Chido kimegharimu maisha ya watu wasiopungua 34 na kusababisha uharibifu mkubwa kote Msumbiji, Shirika la Kitaifa la Usimamizi wa Majanga na Hatari limethibitisha Jumanne. Dhoruba hiyo yenye nguvu, ambayo ilifika pwani mapema wiki hii, imeacha maelfu bila makazi na kuharibu vibaya...
  3. Donnie Charlie

    TMA yatoa tahadhari uwepo wa kimbunga CHIDO Bahari ya Hindi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa kimbunga ‘CHIDO’ katika Bahari ya Hindi, Kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Taarifa iliyotolewa na TMA imesema mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kinatarajiwa kuelekea maeneo ya Kaskazini mwa Msumbiji katika...
  4. Waufukweni

    Kimbunga chavuruga mechi ya Merseyside Derby kati ya Everton na Liverpool

    Mechi iliyokua ichezeke mapema leo, Merseyside Derby kati ya Everton na Liverpool maarufu Majogoo wa London, imehairishwa. Sababu ya kuhairishwa ni uwepo Kimbunga kikubwa na dalili ya mvua isiyo na kikomo hapo baadae leo hii Soma, Pia: Uhasama wa Everton na Liverpool ulianzia hapa Mamlaka ya...
  5. Waufukweni

    Manyara: Kimbunga kikali kilivyozua taharuki Mjini Babati

    Kimbunga kikali kimezua taharuki katika Mji wa Babati mkoani Manyara, video ikionesha matanki tupu ya maji yakirushwa angani. Huko kwenu kimbunga kama hiki mnakiitaje?
  6. enzo1988

    Angalia kimbunga Milton kilivyotua huko Marekani! Angalia maajabu ya ndege! Angalia urefu wa wimbi!

    Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake! Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake! Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake! https://twitter.com/home Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
  7. State Propaganda

    Jamaa ajizolea umaarufu mitandaoni kwa kuamua kukisubiria kimbunga Milton katika boti yake huko Florida USA

    Joseph Malinowski almaarufu kama 'Lieutenant Dan' amejikuta akitrend toka jana katika mitandao ya kijamii haswa Tik tok na X baada ya kukataa kuondoshwa katika kijiboti chake na askari polisi ili kupelekwa sehemu salama kufuatia ujio wa kimbunga hatari cha Milton (category 5), kinachotarajiwa...
  8. enzo1988

    Vuta picha, hiki kimbunga kingepiga mji wowote hapa Tanzania!

    Huko Marekani hasa katika mji wa Florida kunatarajiwa kupigwa na kimbunga kikubwa kuwahi kutokea kwa karne nzima! Watu wote wameambiwa wahame makazi yao kwani aidha usalimike au ufe! Ukiona mpaka Rais anatoa tahadhari kwa raia wake kwa mamilioni kuhama mji, tafsiri yake kwamba kimbunga kitaleta...
  9. Eli Cohen

    Shirika la Usimamizi wa Dharura na Majanga Marekani (FEMA) linasema kuna uhaba wa fedha kumaliza msimu wa kimbunga

    Jana nilileta uzi wa baadhi ya mambo ambayo yatasababisha kuanguka kwa nchi za magharibi. FEMA ni mfuko wa kusaidia jamii kwa ajili ya majanga na emergency mbali mbali huko Marekani. Sasa Serikali ya democrat imejikuta ikitumia pesa nyingi kuhudumia wahamiaji hadi wa wale walioingia kiholela...
  10. Dalton elijah

    Kimbunga cha Helene kimeua zaidi ya watu 90 Nchini Marekani

    Kimbunga cha Helene kimeua zaidi ya watu 90 kusini mashariki mwa Marekani, na kusababisha mafuriko na uharibifu mkubwa kwa miundombinu na jamii. Siku chache baada ya kimbunga hicho cha kiwango cha 4 kupiga pwani ya Florida, maeneo mengi yamesalia na mafuriko, huku barabara zilizoharibika...
  11. Waufukweni

    Kimbunga Yagi chaleta maafa Vietnam, zaidi ya 179 Wafariki, mamia hawajulikani walipo

    Zaidi ya watu 179 wamefariki dunia nchini Vietnam kufuatia maporomoko ya ardhi na mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Yagi. Habari kutoka Vietnam zinasema watu wengine zaidi ya 140 hawajulikani walipo kufuatia janga hilo, na juhudi za kuwatafuta zinaendelea. Kimbunga Yagi kinaelezwa kuwa...
  12. Cute Wife

    TMA yatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Ialy Bahari ya Hindi

    UWEPO WA KIMBUNGA “IALY” KATIKA BAHARI YA HINDI KASKAZINI MWA MADAGASCAR Dar es Salaam, 17 Mei 2024: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga...
  13. Pfizer

    Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia baada ya kimbunga Hidaya

    MHE QS KIPANGA SHIDA ZENU SHIDA ZANGU KIMBUNGA HIDAYA MAFIA KILINDONI MAFIA Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia kata ya Kilindoni Kijiji Cha kilindoni Vitongoji kumi na moja kuwa shida zao shida zake juu ya majanga ya Kimbunga...
  14. Mjukuu wa kigogo

    Madhara ya kimbunga hidaya....

    Haya ndio madhara ya kimbunga hidaya,kinadada wavaa mawigi wadhalilika vibaya sana!
  15. Msanii

    Matukio, picha na video kuhusu Kimbunga Hidaya

    Kimbunga Hidaya kimeshafika kwenye pwani yetu. Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA walitoa tahadhari ujio wa kimbunga hiko kwenye pwani ya mashariki. Uzi huu ni maalumu wa kushare matukio, picha na video za maeneo yaliyopitiwa na kimbunga hiki cha HIDAYA. Lengo ni kupashana taarifa na kuzisaidia...
  16. JanguKamaJangu

    TMA: Kimbunga “HIDAYA” kipo umbali wa Kilomita 120+ kutoka Pwani ya Dar es Salaam

    Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 12:00 Asubuhi: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo karibu na maeneo ya pwani ya nchi yetu. Hadi kufikia saa 9 usiku wa kuamkia leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban...
  17. Ncha Kali

    DOKEZO Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

    Ndugu zangu! Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa. Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa...
  18. ngara23

    Tahadhari zipi zinatakiwa kujikinga na kimbunga HIDAYA

    Mamlaka ya hali ya hewa imetutadhalisha juu ya janga la kimbunga hidaya kinachowasili hapa nchini hivi karibu Binafsi sielewi ni tahadhari zipi nichukue 1. Tusisogelee maeneo ya bahari? 2.Tusiwe kwenye misongamano ya watu? 3. Tusikae milimani? 4. Tuandae chakula cha kutosha? 5.mavazi yaweje...
  19. Mshuza2

    Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali ya kimbunga hiki mubashara bofya hapa: Live Weather Satellite Map | Zoom Earth ==== Pia soma...
  20. Chachu Ombara

    TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara

    UWEPO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA MTWARA Dar es Salaam, 02 Mei 2024: Kufuatia taarifa iliyotolewa jana tarehe 01 Mei, 2024 na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusu uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya...
Back
Top Bottom