Mamlaka Nchini humo inasema idadi ya waliopoteza maisha imefikia 111 kutoka 92 iliyoripotiwa siku chache zilizopita. Batsirai kilikuwa Kimbunga cha pili kuathiri Taifa hilo ndani ya siku 14
Kimbunga Ana kilisababisha Vifo 55 na kupelekea Watu wapatao 130,000 kukosa Makazi. Kabla ya Vimbunga...
Kimbunga Tornado kilicho tawanyika na kuyakumba maeneo ya majimbo sita tofauti nchini Marekani kimesababisha watu zaidi ya 70 kupoteza maisha.
Akithibitisha athari hiyo Gavana wa jimbo la Kentucky amesema pamoja na vifo vya idadi hiyo ya watu wanaopindukia 70 upo uwezekano wa idadi hiyo...
Baadhi ya wakazi wamekwama katika maeneo ya chini ya nyumba zao yaliyofurika maji pamoja na ndani ya magari yao
Rais wa Marekani Joe Biden anasema "uwekezaji wa kihistoria " unahitajika kukabiliana na mzozo wa hali ya hewa, huku maeneo ya kaskazini-magharibi mwa nchi yakikabiliwa na mafuriko...
Zaidi ya nyumba Milioni moja Jijini New Orleans hazina umeme kutokana na Kimbunga Ida. Hadi sasa kifo kimoja kimeripotiwa baada ya mti kuangukia nyumba
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Kimbunga Ida kitakuwa tishio na upo uwezekano wa uharibifu mkubwa. Ametangaza janga kubwa katika Jimbo la...
Wakati Kimbunga Ida kinaendelea kusogea, maelfu ya watu wanaondoka Jimbo la Louisiana kwasababu ya usalama
Watabiri wanasema kinaweza kuwa na nguvu zaidi kuliko Kimbunga Katrina ambacho kiliharibu sehemu kubwa ya New Orleans mwaka 2005
Gavana John Bel Edwards ameonya kuwa kinaweza kuwa...
Ilikuwa hatari mida ya saa 10 ukanda wa Kunduchi, Ununio hadi Mbweni upepo mkali ulivuma na pale kwa kondo kuna kijumba kimeezuliwa bati zote.
Wakazi wa maeneo hayo walidhani kimbunga Jobo kimeibuka ghafla.
Ramadhan kareem!
Historia inatuonyesha mara ya mwisho kimbunga kilichowahi kuikumba nchi yetu kilitokea mwaka 1952(miaka 69 iliyopita).Hii maana yake vimbunga kama hivi bado vinaweza kuja kutukumba tena huko mbeleni.
Vimbunga vinavyoendelea kutokea miaka hii ya karibuni kikiwemo hiki cha JOBO kilichotokea siku...
Nipo Pwani ya Kawe na hali ni tulivu kabisa wanajamii wakiendelea na mishe zao.
Tupe taarifa hapo ulipo kama kuna dalili zozote za Jobo kuibuka.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Kazi Iendelee!
Hakika ukimtegemea binadamu akuongoze kwa haki unapoteza mda!
Tishio dogo la kimbunga! Viongozi wengi wamechimba kimya kimya! Wengi wamekinbilia DOM na maeneo mengine!
Tumshukuru sana Mungu kwasababu kaahirisha kimbunga kwa ajili ya wale Raia wema waliobaki wasiokuwa na mbio!
Tumshukuru Mungu...
Tanzania tushazoeshwa na Mambo ya Kishirikina na kienyeji tushakuwa wabishi tu na kuwasingizia Wazungu kuwaita Mabeberu..
IImekuja Corona tumeambiwa Nyungu hadi kukawa na wiki za Nyungu...
Sasa hili la Kimbunga ndio tuendeleze Nyungu na kujifukiza au kuna linginelo la kienyeji Maana tumesoma...
The good news ni kwamba kimbunga JOBO kimeisha nguvu kabisa.Picha ya kwanza ni ya jana Ijumaa saa nne asubuhi kama unavyoona kwenye picha za satellite hapo kimbunga kilikuwa na nguvu sana na picha ya pili ni ya leo Jumamosi saa tisa ya usiku na kama unavyoona kimbunga kilipungua nguvu kidogo...
Kimbunga Jobo chawa dhaifu baada ya kukaribia kuingia Tanzania
Madhara ya kimbunga hicho sasa kupungua hivyo tuendelee kuchukua tahadhari
Mungu ni Mungu
Aksanteni kwa Maombi yenu Watanzania
TMA
UPDATES
Ni ukosefu wa kazi za kufanya au ni nini? Picha ni kama zinavyojieleza hapo chini..
Update:
https://www.jamiiforums.com/threads/updates-kimbunga-jobo-chafikia-kilometa-76-mashariki-mwa-mafia-chasafiri-kwa-kilometa-20-kwa-saa.1863353/...
Tumeambiwa kimbunga hiki hakijatokea eneo la ukanda wa Afica mashariki kwa takribani miaka 70.
Hapa ni sehemu maalum kuhabarishana yanayojiri hasa mliopo fukwe huko.
Tukumbushane pia tahadhari za kuchukua maana siku yenyewe ni leo na kesho tu kwa mujibu wa mamlaka za hali ya hewa.
Matamko na Tahadhari zinapotolewa na wataalam;
Serikali za kiafrika hasa Tanzania kumekuwa na kasumba ya baaadhi ya mamlaka/mashirika kujitoa kuwajibika ipasavyo kwa watu wake!
Je, tahadhari hii ya kimbunga awamu hii Taasisi na mashirika mmejipangaje kupunguza hatari ya kimbunga kiafya na...
Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi.
Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam.
Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
Majirani mjitahadhari dhidi ya Kimbunga Kikali kinachokuja kubamiza Dar juma tatu ijayo. Kimbunga kitakuwa na upepo unaovuma at 100 kph
Rare tropical cyclone is approaching one of Africa's most populated cities
By Pedram Javaheri, CNN Meteorologist
Updated 7:51 PM EDT, Thu April 22, 2021...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.