Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani yetu hususan miji ya Lindi,Mtwara,Dar es salaam,Unguja,Mombasa,Malindi
Chanzo kinasema upepo huo unatarajiwa kati ya tarehe 21/4/2021 na 26/4/2021.
Hivyo tuchukue tahadhari na bahari kwa siku hizi,na kufuatilia utabiri...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.
Kimbunga Jobo kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya nchi yetu ambapo leo usiku wa kuamkia tarehe 23/4/2021 kimbunga hiki...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) imetahadharisha mikoa ya mwambao wa Bahari ya Hindi hasa mikoa ya Lindi na Mtwara kuhusu kimbunga cha Jobo ambacho kipo kaskazini mwa Madagascar
Kimbunga kitasababisha ongezeko la upepo na mawimbi katika bahari ya Hindi. TMA wanaendelea kufuatilia kuangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.