kinana

  1. R

    Nguvu ya soda: Mzee Kinana agizo lako kuhusu utitiri wa trafiki polisi barabarani liliishia wapi?

    Ulipongexzwa na watumiaji wa barabara hasa wa magari kupunguza vizuizi vya traffic police barabarani kwa vile ilikuwa ni kero na fursa za rushwa kila kituo walipo traffic. That was a good move. Ulisema wawepo lakini si kila baada ya mita chache kama ilivyokuwa na ilivyo sasa. Mzee zuio hilo...
  2. Kindeena

    Kinana: Kagera Maprofesa 666 ila mapato kiduchu

    KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi. “Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana -...
  3. J

    Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

    Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia. "Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia...
  4. Pang Fung Mi

    Hivi Mzee Kinana ameweka bayana tabia zipi za kuigwa za Marehemu Kamanda Mstaafu wa Polisi Zelothe Stephen?

    Katiba ya Nchi ndio inapaswa kuwa muongozo wa kudhibiti tabia na mihemko ya viongozi mahala pa kazi katka nyanja zote. Labda Mzee Kinana ametumia namna mbadala ya kusema umuhimu wa kuboresha katiba ya sasa ili kuondokana na tabia mbaya za baadhi ya viongozi. Nimemsikiliza Mzee Kinana kwenye...
  5. R

    Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

    Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha. Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani? Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini? Karibuni🙏 Source: Kusaga.v TV na IPC Mkombozi.v tv.
  6. Erythrocyte

    Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

    Hii ndio Taarifa ya Gazeti la MwanaHalisi kama ilivyowekwa ukurasa wa mbele .
  7. Boss la DP World

    Maoni Binafsi: Sina imani na Mzee Kinana

    Tukija kwenye mada, si mara moja wala mara 2 nikiwa na watu wa kuaminika na wenye heshima kubwa wanao simamia mali asili zetuhususa ni hifadhi, wakanijuza kuwa tunahujumiwa. Ndiyo, tunahujumiwa. Ikumbukwe kuwa mali asili zilizopo hapa nchini ni kwa manufaa ya umma, hatukatai wananchi wakiwamo...
  8. T

    Wakati Kinana anawapiga biti wanaccm waache kujipitishapitisha majimboni ninyi wapinzani pelekeni watu makini wafanye yao.

    Ccm inajaribu kuiambukiza nchi siasa za kisanii sana, yaani eti unamwambia mtu asifanye siasa hadi mwaka wa uchaguzi!? Sijawahi kamwe kuelewa mantiki ya jambo hilo. Nijuavyo mimi siasa ni maisha. watu wanaishi kwa hiyo. Mfano rahisi ni mataifa yaliyoendelea ambapo unakuja mara tu unapoisha...
  9. Stephano Mgendanyi

    Kinana - Wasaka Majimbo Kinyemela Kubanwa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Abdulrahman Kinana, ameziagiza kamati za siasa za CCM, kuwafuatilia na kuwachukulia hatua wanachama walioanza kupitapita kusaka ubunge na udiwani. Amesema wanaofanya hivyo wanakiuka kanuni, utaratibu na miongozo ya uchaguzi...
  10. Ngaliwe

    Kinana: Wasaka majimbo kinyemela kubanwa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Abdulrahman Kinana, ameziagiza kamati za siasa za CCM, kuwafuatilia na kuwachukulia hatua wanachama walioanza kupitapita kusaka ubunge na udiwani. Amesema wanaofanya hivyo wanakiuka kanuni, utaratibu na miongozo ya uchaguzi...
  11. Stephano Mgendanyi

    Kinana Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Wilaya ya Hai

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Ndugu Abdulrhamn Omar Kinana anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Hai ambao Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe atawasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM kuanzia Oktoba 2020 - 2023. Mkutano wa CCM Wilaya ya...
  12. Simba mnyama

    Kinana: Tusipendeleane, tusibebane

    Ule usemi wa "nyani haoni kundule" umedhihirika pale Katibu Mkuu wa CCM, Abdallahaman Kinana alipowachana wanachama wa CCM katika mkutano alioufanya hapo jana mjini Kigoma kwa kuwaambia wanachama wa chama hicho waache kupendeleana wala kubebana kwani kwa kufanya hivyo tutazalisha makundi mengi...
  13. B

    Kinana: 2020 tungeona wabunge wengi wa upinzani wamechaguliwa, ila kulikuwepo changamoto

    22 August 2023 https://m.youtube.com/watch?v=jOoXIZ27tUA Abdulrahman Kinana anasema toka mfumo wa vyama vingi idadi ya wabunge na wawakilishi imekuwa ikipanda na hata uchaguzi wa 2020 idadi ingekuwa kubwa zaidi ya namba za wabunge kutoka vyama vya upinzani ila changamoto mbalimbali ikiwemo...
  14. Analogia Malenga

    Kinana: Demokrasia Inaendelea Kukua Tanzania

    Dar es Salaam, Agosti 22, 2023 Abdulrahman Omari Kinana, mwanasiasa maarufu nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, ametoa maoni yake kuhusu maendeleo ya demokrasia nchini humo. Akizungumza na katika mkutano wa wadau wa demokrasia...
  15. BARD AI

    Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  16. Notorious thug

    Mzee Kinana ataka Wabunge waongezewe mshahara

    Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa. Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
  17. R

    Huu moto wanaowasha CHADEMA unatisha, umemkumbusha Kinana aliamini Maridhiano yatawafunga mdomo

    CHADEMA wanavyoendesha siasa nchini utadhani walikimbia maridhiano kumbe wameamua kung'ata na kuyaelekeza maridhiano kwenye haki ya watu siyo haki kisiasa. Mzee Kinana aliamini wakitoka kwenye maridhiano basi CHADEMA watanyamaza kusema kumbe ndio kwanza wamefungulia kusema. Kinana aliamini...
  18. R

    Mzee Kinana yeye na familia yake wamewahi kupanda bodaboda?

    Let us be serious hata kidogo na maisha ya hawa watoto wetu; tujaribu kufanya yale tungependa kufanyiwa. Gharama za matibabu nchini ni kubwa sana, tuwaonee huruma hawa wasiojitambua. Kama boda boda ni nzuri lini tumewahi kumwona Mzee Kinana au mtoto akiendesha au kubebwa mishikaki kwenye hizo...
  19. Muwa mtamu

    Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

    Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3. Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda. Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe...
  20. saidoo25

    Kinana atofautiana na Chongolo mkataba wa bandari

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana ametofautiana msimamo na Katibu Mkuu wa CCM kuhusu mkataba wa bandari. Kinana anasema wamejitokeza watu wameanza kuhoji, wako wanaohoji kwa nia njema ya kujenga ya uzalendo, hatuwezi kusema kila anayehoji anania mbaya, wako wanaotetea mkataba na wametoa...
Back
Top Bottom