kinana

  1. ChoiceVariable

    Kinana: Rais wa Tanzania aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake

    Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka. Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya...
  2. saidoo25

    Mzee Kinana mbona hazungumzii Mkataba wa Bandari

    Tangu mjadala wa BANDARI kuanza sijamsikia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana akizungumzia Mkataba wa Bandari, au ameshagundua hili ni bomu linaloweza kuua Chama. au kama kuna clip mnayo ya Mze Kinana akisifia mkataba wa bandari. muiweke hapa kwa ajili ya rejea
  3. benzemah

    Mzee Kinana: 2025 Njia nyeupe kwa Rais Samia

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema 2025 njia itakua nyeupe kwa chama hicho kushika Dola kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya makubwa ndani ya miaka miwili ya uongozi wake. ===
  4. MSAGA SUMU

    Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini? Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika. Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
  5. Mmawia

    Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

    Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi. Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote. Msaada jamani ili tupate ufahamu. --- Abdulrahman Kinana, akiwa Waziri wa Ulinzi mwaka 1993 alimsindikiza Sheikh Mohammed kama mwakilishi wa serikali ya...
  6. Mwande na Mndewa

    Tunatengeneza Tanzania gani kwa kudhihaki waliokufa?

    Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee nikamkumbuka Hayati Rais John Pombe Magufuli aliyekufa akilitetea Taifa kwa damu na nyama hakulala...
  7. UmkhontoweSizwe

    Yuko wapi mzee Kinana?

    Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi? Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu. Nawasilisha UMK @ Nkotokwiana.
  8. S

    Membe, Kinana, Nape, Makamba kwanini hawakumzika Rais Magufuli?

    SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli? Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika? Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe...
  9. D

    Rais Samia, Mzee Kinana mmemponza Bernard Membe!

    Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu...
  10. T

    Kinana ndiye aliye karibu zaidi na Urais. Je, ndiye namba 1 ajaye?

    Kila nikimtazama na kumtathmini Kanali Kinana namuona karibu zaidi na Urais kuliko mwanasiasa yeyote yule kwa sasa kwa sababu kuu zifuatazo: 1. Kinana ni mpatanishi kiasili na hata Neno la Mungu kwenye Biblia linasema 'Heri walio wapatanishi maana hao watairithi nchi". Kama Mwenyekiti wa kamati...
  11. M

    Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani

    ~ Tozo kandamizi. ~ Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani. ~ Maisha kupanda bei, leo hii kula mlo mara mbili ni anasa. Maana maharage tu ni Tsh. 3,000. ~ Kufutia mafisadi makosa huku wasio na urafiki nae wakisota gerezani ~ Ndege za waarabu kushusha makontena hifadhi za taifa.
  12. B

    Abdulrahman Kinana uso kwa uso na Balozi wa Marekani nchini

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na Kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo Machi 14, 2023. Wamejadili masuala...
  13. F

    Yuko wapi Kanali Comredi Kinana?

    Ni kipindi kirefu sana sijamuona, nafikiri mara ya mwisho kumuona ni kwenye kikao Cha kamati kuu kilichoteua sekretarieti mpya mwezi wa kwanza mpaka leo sijamuona wala kumsikia popote na sio kawaida yake. Yupo wapi mzee wetu? Mimi FPT natamani kumsikia kwenye majukwaa tena.
  14. J

    Kinana aendelea kukutana na mabalozi wa nchi mbalimbali rafiki wa CCM, akutana pia na Balozi wa Algeria kwa mazungumzo Ofisi ndogo ya CCM Lumumba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023.
  15. saidoo25

    Naomba Clip ya Kinana, Chongolo au Shaka inayompongeza SSH kuruhusu mikutano ya hadhara

    Sikuwa kwenye eneo la mtandao ila hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM wala Shaka Hamdu Shaka Mwenezi wa CCM wakimpongeza Rais Samia kwa uamuzi wa kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara. Kama ndugu zangu kuna yeyote mwenye nayo...
  16. K

    Je, Kinana ni mzalendo?

    Nikiwa mdogo mwaka 1986 jirani yetu ambaye alikuwa anakaa kwenye nyumba za msajili njia ya Sanawari. Alikuwa mpole, mrefu na anaonekana tofauti sana kulinganisha na vijana wengine pale. Mzee wangu ambaye alikuwa mmoja wa viongozi wakuu wa mkoa wa Arusha alialikwa kwenye harusi ya Kinana! Cha...
  17. BestOfMyKind

    Mwaka mmoja wa mzee Kinana madarakani, vijana wanagawana rushwa hadharani

    Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM? Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano...
  18. GENTAMYCINE

    UVCCM kabla ya kukurupuka Kumshambulia Dk. Bashiru Ali mliipitia hii Kauli ya Boss wenu Kinana?

    GENTAMYCINE naweka hapa Nukuu ya Kauli ya Makamu Mwenyekiti CCM Bara Abdulrahman Kinana baada ya Kutangazwa Mshindi wa Cheo hicho Mkutanoni Dodoma mbele ya wana CCM wote akiwemo Mwenyekiti Taifa CCM na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan....... "Niwaombe wana CCM wote Kukubali...
  19. BARD AI

    Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

    Nini kinaendelea? Hili ni swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi wenye shauku ya kujua majadiliano baina ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yatahitimishwa lini. Jana vigogo wa vyama hivyo wasiozidi 15 walijifungia kwa saa nne katika...
  20. Jidu La Mabambasi

    Haki ya Faragha: Waliodukua Mawasiliano ya Kinana na Makamba washitakiwe

    Miaka kadhaa iliyopita mawasiliani binafsi kati ya Comrade Kinana na Makamba yalidukuliwa. Hiki kilikuwa si kitendo cha kistaarabu na heshima. Sina uhakika lakini kumfuatilia mtu nyendo zake inahitaji kibali cha mahakama. Hawa wazee wetu Kinana na Makamba walikuwa watumishi wa ngazi za juu...
Back
Top Bottom