Ripoti ya benki ya dunia Desemba, 31, 2023. Juu ya mauzo ya bidhaa katika Jumuia ya nchi za Afrika mashariki. Jikite pale tunauza kiasi gani, nasi tunanunua kwao kiasi gani.
Tanzania kwenda DRC (Kongo) -Tzsh 769.6 bilioni. DRC kwenda Tanzania tzsh 6.79 bilioni
Tanzania kwenda Burundi-Tzsh...
Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani yenye Mbunge wake Ridhiwani Kikwete, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, leo Ijumaa Novemba 24, 2023 imetunukiwa hati ya pongezi kwa ukusanyaji wa mapato ya ndani kimkoa.
Hati hiyo imetolewa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
https://twitter.com/WBTanzania/status/1724805228581781607?t=rIJGgp2j31MJan_0GHtG-w&s=19
Tanzania imetajwa kuongoza Duniani kwa upelekaji wa huduma ya maji ya bomba Duniani kupitia program ya Lipa kwa Matokeo.
Kupitia programu hiyo jumla ya miradi 1,500 imetekelezwa vijijini na inafanya kazi na...
Ni wiki nyingine kwa wapenzi wa soka Africa, kuendelea kushuhudia radha ya soka katika mashindano ya AFL baada ya kutamatika kwa mzunguko wa kwanza(The first leg round).
Hakika mzunguko wa kwanza ulikua ni bora sana, wenye mengi ya kuvutia bila kusahau kero za hapa na pale. Nitatoa baadhi ya...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amefunguka mazito kuhusu maelekezo ya Rais kufanikisha Dk. Samia Suluhu Hassan katika mapambano shisi ya vifo vitokanavyo na uzazi kwa mama na moto.
Amesema hatua zilizochukuliwa na Rais Dk. Samia ndizo zilizofanikisha matokeo ya sasa ya ongezeko la uzazi salama na...
Ujuha wetu ni kuendelea kudanganywa kwamba ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo tutauanza hivi karibuni; kama tunavyozimwa akili na kutengwa kwa Bajeti ya kazi hiyo kulikowasilishwa na Waziri Mbarawa Bungeni.
Hivi hawa watu hata kudanganya waziwazi hawana uwezo nako?
Au sasa watageuza habari na...
Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa
Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu.
Tumezoea kuishi kwa hofu.
Mkuu wa chama ndiye amiri
Amiri anaapa kwa kutii...
Makampuni ya simu ya VODACOM na AIRTEL yameonekana kufanya vizuri kwa simu za nje ya nchi , yaan international incomming calls na out going calls , TIGO inafuatia pia kwa karibu , huenda VODACOM wanaongoza kutokana na kuwa na partner companies nyingi chini ya mwamvuli wa vodafone , au wana...
Katika mambo yanayofikirisha sana , kwa mara zaidi ya tatu mfululizo mikoa ya Rukwa na Morogoro imeongoza kwa utapeli kwa njia ya simu.
Swali la kuijiuliza ni:
1. Mikoa hii inakaliwa na wajanja wengi sana yaani matapeli?
2. wakazi wengi wa mikoa hii ni washamba sana kiasi cha kutapeliwa...
Kutoka kukataa chanjo Hadi kuwa Kinara, shujaa ni SSH aliyeongoza na kuzindua zoezi Hilo.
=====
Until early 2021, Tanzania was a Covid-19 denier, but two years later, the World Health Organisation (WHO) now ranks the country as the best performer in Africa in increasing Covid-19 vaccination...
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini katika Mamlaka 19 za Seri kali za Mitaa, , wanafunzi 23,009 wamekatisha masomo yao shule za sekondari kutokana na ujauzito, huku Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ikiongoza.
Katika shule za msingi...
Mkoa wa Arusha unaongoza nchini kwa kupatikana na kuchukuliwa kwa matumizi ya huduma za simu, posta na utangazaji; kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni na matokeo ya utafiti mdogo.
Arusha inaongoza kwenye matumizi ya mfumo wa anwani za makazi na postikodi. Ni mkoa wa i kwa uwiano wa idadi ya...
Katika kundi hili gumu miamba ya Afrika Young Africans wanaongoza kundi D,Kwa tofauti ya goli moja huku ikimuacha nyama Monastir aliye nafasi ya pili
Yanga na Monastir wameachana goili moja huku wakilingana point 10 na mechi za kesho zote mbili dhidi ya hizi timu mbili Zina maslahi makubwa...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA), imetoa takwimu za maeneo vinara ya utapeli kwa njia ya simu ikionesha kuwa mkoa wa Rukwa ni kinara kwa wananchi wake kutapeliwa
Katika kipindi cha robo ya mwisho ya mwaka uliopita 2022, kuanzia mwezi Oktoba 2022 hadi mwisho mwa mwezi Disemba matukio ya...
Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi.
Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na...
Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Nchini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera amesema visa vya ubakaji vimekua kinara katika matukio yaliyo ripotiwa ya ukatili wa kijinsia Mkoani Mbeya.
Homera ametoa takwimu hizo katika mkutano na waandishi wa habari ambapo amesema Kwa...
Huo ndiwo ukweli.
Haji anaweza kuunda jambo na likakua kwa kimo cha kutisha na kwalo hata kusababisha madhara makubwa na yenye kuleta sintofahamu ndani ya jamii.
Haji ndiye binadamu wa kwanza nchini kufanya kazi kwenye vilabu vikubwa vya kisiasa kwa maana ya Yanga na Simba na kote amekubalika...
Mara nyingi ninapokutana na wamiliki au wakurugenzi wa makampuni (Business Executives), huwa nawauliza ni njia ipi huwa wanatumia kujijenga sokoni "market leading branding" wengi wanasema kufanya matangazo (advertising) ndio njia muafaka, kwa sababu; matangazo hujenga uelewa wa huduma au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.