kinara

The kinara is a seven-branched candleholder used in Kwanzaa celebrations in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    DC Gondwe: Vodacom kinara kwenye mapinduzi ya teknolojia nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe ameipongeza kampuni ya simu ya Vodacom kwa kuwa mstari wa mbele kwenye kuleta mabadiliko yanayoigusa jamii moja kwa moja. Akizungumza hapo jana Agosti 29,2022 alipotembelewa na washindi wa bajaji na pikipiki kupitia kampeni ya ‘M Pesa...
  2. Frumence M Kyauke

    Ipi njia bora ya kuzuia ujauzito kwa Wanawake?

    Kuna njia nyingi za kuzuia ujauzito kwa wanawake kati ya zifuatazo: Kutenganisha mirija ya uzazi Kuepuka ngono Kutumia kalenda Njiti Vidonge Condom Kwa wataalamu wa maswala ya uzazi njia ipi inayotumika zaidi?
  3. Lady Whistledown

    Ripoti: Sudan Kusini Kinara wa Nchi zenye mazingira hatarishi kwa Watoa misaada Duniani

    Umoja wa Mataifa unasema Sudan Kusini inaendelea kuwa "mazingira yenye vurugu zaidi" kwa watoa misaada ya kibinadamu ikifuatiwa na Afghanistan na Syria baada ya Wafanyakazi 5 wa Mashirika ya Kutoa Misaada kuuawa wakiwa kazini Ndani ya Mwaka 2022 pekee Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya...
  4. MANKA MUSA

    Rais Samia kinara wa kuzalisha ajira Tanzania

    No Joke- Rais Samia Ametengeneza ajira nyingi zaidi ndani ya kipindi cha miezi 18 kuliko Marais wa Tatu waliopita Tanzania. Amerejesha asilimia 90 ya kazi zilizopotea chini ya janga la Corona. Amepandisha madaraja na mishahara kwa Watumishi wa Sekta ya Umma kwa asilimia 23 jambo ambalo...
  5. Kulupango

    Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

    Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani, Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain...
  6. Kasomi

    Mwanza: Tuzo za Mwanamke Kinara kanda ya ziwa

    Tuzo ya Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa Kutoka kwa Waandishi wetu Mwanza; Leo ni siku nyingine tena ambayo ni msimu wa pili wa tuzo hizi kubwa kanda ya ziwa ambapo tutashuhudia Tuzo zikitolewa kutambua michango mbalimbali ya wanawake Vinara Kanda ya Ziwa, waliogusa jamii kwa namna mbalimbali...
  7. Jesusie

    Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi tano kinara kwa uwekezaji Afrika 2022

    Five African countries for investors to watch in 2022 Investment Monitor's African investor guides identify the five countries on the continent that look set for stellar years in 2022 for FDI. tment Monitor‘s Africa investor guides, covering the north, east, west, centre and southof the...
  8. J

    Serikali: Posta muwe kinara utekelezaji wa anwani za makazi na postikodi nchi nzima

    POSTA MUWE KINARA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI NCHI NZIMA ◊ Anwani za Makazi ni Msingi wa Posta ya Kidijitali Prisca Ulomi na Loema Joseph, Dodoma Serikali imelielekeza Shirika la Posta Tanzania (TPC) kuwa kinara na kuongoza jukumu la utekelezaji wa mfumo wa anwani za makazi...
  9. Christopher Wallace

    Mayele ndio kinara wa Magoli mpaka sasa, kuna mshambuliaji kazidiwa na wazawa, aibu

    Huu ndio msimamo, sasa yule straika wenu kazidiwa hata na mzawa George Mpole😂 afu mnataka kusema eti Mayele ajifunze kwake, kueni walau na aibu.
  10. Kasomi

    Iringa kinara wa mimba za utotoni 2021

    Mkoa wa Iringa umeongoza kwa watoto wa kike kupata mimba za utotoni. Zaidi ya wasichana 3,000 wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19 mkoani Iringa, Wamegundulika kupata mimba katika kipindi cha januari hadi Oktoba mwaka 2021, jambo ambalo linarudisha nyuma juhudi za kupata elimu kwa watoto...
Back
Top Bottom