Nauza king'amuzi cha Startimes kikiwa na dish lake, remote controller, waya wake wa kutoka kwenye dish hadi kwenye decoder pamoja na power adopter yake kwa Tshs 35,000
Kimetumika miezi 4 tu
Nipo Mbezi Luis
Mawasiliano 0767696021
husika na maada tajwa hapo juu,
Tunaomba wahusika waendelee kuchakata namna nyingine yakisasa zaidi ya ving'amuzi, kama inawezekana hata majumbani tutumie mfano wa vile vung'amuzi vya kwenye mabasi maana haya madishi imekuwa kero sana hasa kwenye swala la kuyumba, unaweza kuta umelipia leo kwa...
Nauza king'amuzi cha Startimes kwa Tshs 20,000 tu. Kipo na Adapter yake ya umeme pamoja na remote controller yake.
Kimetumika miezi mitano peke yake
Nipo Mbezi Luis karibu na Stand ya mabasi ya mkoani ya Magufuli
Karibu upate kilicho bora
Mawasiliano: 0767696021
Naitaji dish la Azam na King'amuzi chake
Nataka used kutoka kwa mtu ambae anauza
Nataka Kwa ajili ya sehemu ya biashara
Niko Dar es salaam
Mtu yoyote ambae anauza then nipm
Ukiwa na risit ya manunuzi itakuwa Bora zaidi
Au uwe na udhibitisho wa kuonesha hivyo vifaa ni vyako
Je King'amuzi chako kimepoteza CHANNEL?? Au Kuna channel ambazo hazipo kwenye ORODHA?? Unapata Ujumbe wa NO SIGNAL....Usijali piga 0789200181 Fundi aje mpk ulipo kwa gharama ya Tsh 25000/= Matengenezo ndani ya Dar es salaam tu.
Ufike wakati makampuni ya Ving'amuzi wafanye utafiti kwenye biashara zao, kwanini watazamaji wa Televisheni wanapungua?
Huwa najiuliza mbona baadhi ya makampuni yanayotoa huduma za Internet wanatoa vifaa bure na gharama za ufundi, mteja analipia gharama za kifurushi tu tena kwa mwezi tu.
Kwa...
Hawa jamaa walikuwa hawako hewani siku nyingi. Wakarejea na kutuma meseji Kwa tuliokuwa wateja wao. Cha ajabu ukiwapigia hawapokei simu, na ikitokea bahati mbaya wakapokea wanajibu utumbo na kukata simu.
Hii meseji yenu nyie continental mnatutumia ya nini?!
Ndugu mteja,kama bado unapata shida...
King'amuzi ninacholipia ni kile cha Tsh 25,000/= napenda sana kuangalia NBC PREMIER LEAGUE na vipindi vingine, lakini sasa huu mchuano mkali wa mgao wa umeme imebidi niombe Suluhu.
Wasomi wa Tanesco na wasomi wa Azam kaeni chini msugue BONGO zenu mje na suluhisho Tanesco mnanisaidia sana BILL...
Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne,
Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu.
So nimekuja hapa kwa wanajf...
Kwanza ninawashukuru wote mlionishauri kubadili king'amuzi baada ya kile cha zuku kuwa kinaniandikia no signal kila siku hasa mawingu yanapotanda!Nilihamia huku kwa Azam! Sasa baada ya kukizoea toka juzi wingu limetanda na mvua inanyesha kama ilivyotabiriwa!
Ajabu toka juzi naandikiwa "No or...
Ndugu wajuzi njooni hapa mnielimishe!
Mahali nilipo kuna upepo balaa.King'amuzi cha zuku kilishindwa muda, nikahamia StarTimes nao ni walewale! Wingu likija tu basis mawasiliano byebye! Imefikia hatua namaliza siku hakuna cha taarifa ya habari wala nini! Nimesikia azamu wakijinadi kuwa inyeshe...
Wakuu habari zenu.Mimi siyo mwanasiasa japo siasa naona inanishindisha giza na kunilaza giza.Ndani ya siku 30 nilizolipitia king'amuzi changu cha AZAM nakadiria kutumia bandle hilo kwa siku 11 tu. Siku zingine umeme hakuna.
Sijui wenzangu mnaiona hiyo hasara wanayonipatia TANESCO
Hatimae chaneli za Kiswahili zaanza kupatikana katika king'amuzi cha Canal+ ambacho pia kinarusha mechi mbalimbali za soka za ulaya kwa lugha ya kifaransa.
King'amuzi hiko ambacho kinapatikana kwa connection hapa Tanzania, kimetokea kujizolea umaarufu mkubwa kwa wapenda kandanda.
Habari wajumbe,
Naomba kujuzwa kama wanaomiliki ving'amuzi vya Azam vya Antena , wanaweza kuona mechi kadhaa zinazorushwa na TBC1 za Kombe la Dunia. maana nimekuwa nikisikia taarifa zinazokinzana, kuna wale wanaosema , unaweza ukaona na wengine wanasema Azam wanablock TBC1 wakati wa mechi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.