Naomba kama kuna Mtaalam mwenye Software ya KING'AMUZI aina DVB T-T2 Receiver anisaidie
Kama kuna mtu Mwenye Software ya KING'AMUZI Aina ya DVB - T - T2 Receiver naomba tuwasiliane Inbox.
King'amuzi chenyewe ni hiki cha kwenye picha hapa Chini
Kinataka Ku - Update kinanipa taabu kimekuwa...
Habari wana jamvi,
Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi.
Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi...
Habari wakuu!
Kuna zaidi ya channels 100 karibia katika kila King'amuzi
Kwangu mimi mtumiaji wa DStv japo tunakosa uhondo wa channel za nyumbani lakini moja kati ya channel zangu Bora ni Maisha Magic East & Maisha Magic Bongo. Ukiondoa na chanel za michezo, basi utanikuta kwenye channel za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.