Wakuu kuuliza Sio Ujinga
.
Niliwahi sikia kupitia Kwa Waziri Mmoja akijinasibu Kwamba local Channel Zote za Tz zimerudishwa kwenye Decoder ya DStv.
.
Na Hata Kama Kifurushi chako kikiisha zile local channels zinaendelea kuonekana.
.
Lakini Cha ajabu kifurushi chako Cha DStv kikiisha na kama...
Habari ya mchana ndugu zangu, samahani kwa yeyote anaejua au mwenye taarifa za kutosha kuhusiana na DVB t2 Satellite Receiver anisaidie plz.
Maana nmeckia kuwa ni kin'gamuzi kisichokuwa na malipo ya mwezi ni free channels yaaani una access channels zaidi ya 100 inategema na location Yako lkn...
Naona Western Bloc wanataka kubaki peke yao wanapiga propaganda vita ya Urusi na Ukraine ambapo Multichoice Afrika maarufu kwa kisimbusi chake cha DSTV imeiondoa chaneli ya Urusi ya Russia Today(RT) ambapo kwenye tamko lake wakisema hatua hiyo wamelazimika kuichukua kutokana na vikwazo...
Kwanini Watanzania wa leo tunaamini kwenye inflation? Kwanini tunaamini Sana kwenye ushindi wa asilimia 100%? Kwanini tumepumbazika na cooked data? Kwanini tunawaza sana kwamba tukishinda kwa kishindo tutaleta maendeleo kwa kishindo?
Nimepokea taarifa kwamba upon uwezekano mkubwa 100% isiwe...
Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
Kuna mdau wangu mmoja tunafahamiana naye anafanya kazi DSTV kitengo cha R&D.
Anasema sasa hivi DSTV wako kwenye mchakato wa kushusha mzigo mpya robo ya kwanza ya mwaka 2022.
Wanaleta antena badala ya dishi. Pamoja na hilo pia wataleta decoder mpya ndogo saizi ya simu ya mkononi ambayo badala...
Bilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana. Najaribu kukushawishi uanzishe king'amuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara. Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari...
Wakuu, sasa hivi Tumaini TV haipo kwenye king'amuzi cha Startimes ilihali waliiweka sasa najiuliza ni kitu gani kilichopelekea kuondolewa?
Sasa hivi Tumaini TV ipo kwenye king'amuzi cha Azam.
Kwasasa mteja anaetaka kununua King'amuzi cha Azam anatakiwa kutaja tarehe yake ya kuzaliwa, ingawa sijafahamu kuna uhusiano gani kati ya tarehe ya kuzaliwa na kununua King'amuzi.
Kama Azam Media Ltd wanahitaji taarifa kamili za mteja kwanini wasimuombe mteja kitambulisho cha taifa au kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.