Hawa jamaa walikuwa hawako hewani siku nyingi. Wakarejea na kutuma meseji Kwa tuliokuwa wateja wao. Cha ajabu ukiwapigia hawapokei simu, na ikitokea bahati mbaya wakapokea wanajibu utumbo na kukata simu.
Hii meseji yenu nyie continental mnatutumia ya nini?!
Ndugu mteja,kama bado unapata shida...