MWAMBA HUYU HAPA...
BLUCE LEE alivunja rekodi ya dunia Mara 10 ndani ya miaka miwili tu.Bluce Alivunja rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 2000 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja,kupiga Push up 15000 kwa mikono miwili bila kupumzika,Push up 4000 kwa mkono moja na Push up 1000 kwa...
DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii.
Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani na Mke baada ya kuchukua mchanganyiko huu usijali utaongezeka muda mpaka kufika dakika 30 Kumaliza...
Tizama dunia hii. James Woods, muigizaji maarufu wa Hollywood ambaye alishabikia Wapalestina wote wa Ghazza wateketezwe, Mungu kamtahini kwa kuunguliwa na nyumba yake katika moto mkubwa unaoendelea kuiteketeza California, sasa analia kama mtoto mdogo! Ama kweli mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi
A NEW CHINESE VIRUS LOOM. HUMAN METAPNEUMOVIRU OR HMPV OUTBREAK. HMPV HAS NO VACCINE SA OF NOW
BAADA YA MIAKA 5 YA KORANA VIRU KUTOKEA NCHINI CHINA SASA KUMEREPUKA VIRUS MPYA INAYOITWA KWA JINA (HMPV) NCHINI CHINA DALILI YA MARADHI HAYA MAPY NI INAYOSABABISHA USHINDWE KUPUMUWA VIZURI , MAFUA...
Kama una ndugu yako yupo Msumbiji mwambie aondoke haraka sana hali sio nzuri . Hao wote utakaowaona kwenye video walifariki kwa kupigwa risasi. Kama unampango wa kwenda Msumbiji basi jua hii ndio hali halisi.
MBEGU ZA MBONO AU MNYONYO
Mara nyingi katika mada zangu nimekuwa nikizungumzia namna ya kutibu maradhi mbalimbali yanayomkwamisha mwanadamu kushiriki ipasavyo kazi za ujenzi wa taifa.
Tiba ninazozungumzia ni zile asili zisizoacha athari mbaya kwenye mwili wa mgonjwa. Leo nimeona nizungumzie...
FAIDA ZA MMEA WA MSEGESEGE
KUMTIBU MTU ALIYEROGWA UCHAWI USIOTIBIKA KIRAHISI
1. Kama unahitaji kumtibia mtu aliyerogwa uchawi
usiotibika kirahisi au amezunguka sana kutafuta
matibabu mbalimbali basi utakwenda katika mti huu kwa kufuata adabu za kuchukua mti kitiba kisha
utachukua majani yake...
Nakubalina na Rostam Aziz, Wawekezaji wa Nje waje ku compliment pale ambapo Wawekezaji wa Ndani wamekwama tena Kwa Ubia.
Sasa taasisi zetu zikisia uwekezaji wao wanaweza Wazungu na hata Sasa wako busy kutafuna posho Kwa visingizio vya kuandaa majukwaa ya uwekezaji na mataifa ya Nje...
Hiii ni dawa nzuri ya Vidonda
Wengi mna sikia hadithi tu
Kua kuna mti.huo wa nyoka
Yani nyoka wakipigana mmoja ikatokea kamjeruhi mwenzake au kuzimia
Huenda kwenye mti flani uchuma jani na kumtemea mwenzake na kuamka
Basi dawa hii NI nzuri kwa mwenye vidonda vyovyote vile ambavyo vya ndani na...
FAIDA YA TUNDA LA FENESI KWA AFYA YA MWILI WAKO NA NGOZI.
Najua unalijua fenesi, pengine unakula bila kujua faida zake au hujawahi kula kabisa. Fenesi linaweza kuwa tunda ambalo halina washabiki wengi, lakini ukisoma hapa na kujua faida zake mwilini.
Mwenyewe utaanza kulipenda tu. Maana fenesi...
Rosela ni ni maua yanayo julikana kabisa pia huoteshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya watu huyaita maua damu.
Zifuatazo ni faida za kutumia Rozela.
Maua ya...
Anaitwa NASSORO IDDY IGALAWA ni dereva amepatwa na umauti leo maeneo ya mbangamawe alikuwa na gari NOAH amby bado haijasajiliwa lakini documents zinaonyesha alikuwa anapeleka gari msumbiji.
Mwili upo hospital ya mkoa ruvuma (HOMSO) mpaka sasa hivi hatujapata mawasiliano ya ndugu kwasababu...
UFUTA au kitaalamu Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya mkoa wa Ruvuma, Tunduru.
Hata hivyo, tafiti mbalimbali za ndani na nje ya nchi, zinaonesha kuwa ulaji wake ni kinga na tiba ya magonjwa katika mwili wa binadamu
Baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.