king'asti asprin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Inasikitisha wazungu wakulima wa amerika wawauwa simba wa bara la afrika ukisikiliza video utasikia ni simba wa Tanzania

    Amazing: How Do American Hunters And Farmers Deal With Million Of Wild Boar And Lion By Guns. Baada ya Miaka 20 Tanzania kutakuwa hakuna Simba.Watalii Wakija sijuwi watakuja kuona kitu gani? hatari sana.
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Utafiti: Je, wajua kuosha mdomo ni dawa ya kisonono?

    Maelezo ya picha,Dawa inayotumiwa kuosha mdomo Kuosha mdomo kunasaidia kupunguza maambukizi ya kisonono,watafiti wanaamini. Utafiti wa hivi majuzi umeonyesha kwamba binaadamu wanaweza kubeba magonjwa ya zinaa katika koo zao kwa mda wa wiki moja ama hata miezi bila ya kupata dalili zozote. Na...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hospitali ya chini ya ardhi ya Israel inayojiandaa kwa mashambulizi

    Chanzo cha picha,Reuters Maelezo kuhusu taarifa Ndani kabisa ya mji wa kaskazini mwa Israeli wa Haifa, kuna hospitali kubwa ya chini ya ardhi. Mamia ya vitanda vimepangwa ndani ya kuta zake za zege. Kuna vyumba vya upasuaji, wadi ya wajawazito, na vifaa vya matibabu vilivyowekwa kwenye kona...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Je, ni kweli mifuko ya plastiki inasababisha saratani?

    inasababisha saratani? Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania imekuwa ikitumiwa na baadhi ya wananchi katika kufungashia chakula na hasa vyakula vya haraka kama chips au wali kwa wale wenye migahawa midogo kabisa. Hata hivyo kuna baadhi ya...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Virusi vya HPV: Unaweza kupata virusi hivyo kupitia ngono salama

    Maelezo ya picha,"Nilidhani mpenzi wangu anaenda nje nilipouguzwa HPV" Utafiti mpya umebaini kuwa viwango vya juu vya ukosefu wa kujua pamoja na fedheha inayohusishwa na virusi vinavyosababisha magonjwa ya zinaa yaani HPV, huathiri 80% ya watu. Serikali ya Uingereza imezindua vipimo vya HPV...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Magonjwa manne mapya ya zinaa yanawatoa jasho wataalamu

    Magonjwa mapya huibuka kila uchao, na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono nayo ni miongoni mwao. Hawa ni bakteria wanne ambao husababisha magonjwa makali ya zinaa ambayo yanaweza kuleta tishio la afya ya jamii. 1. Neisseria meningitides Neisseria meningitidis, pia hufahamika kama meningococcus...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ni nini kinachosababisha shida ya mkojo kwa wanaume na jinsi ya kuitibu

    Katika miaka ya hivi karibuni, huduma ya afya inayolenga kudumisha hali nzuri ya afya ya uzazi imekuwa maarufu. Lakini suala hili sana sana linahusu afya ya wanawake wakati wa uja uzito, baada ya kujifungua na kuzeeka. Ukweli ni kwamba wanaume pia wanahitaji kuyapatia umuhimu masuala...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nigeria: Watu kadhaa wauawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya kulalamikia gharama ya maisha

    Nigeria: Watu kadhaa wauawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya kulalamikia gharama ya maisha Watu kadhaa wameuawa kwa kupigwa risasi nchini Nigeria katika mji wa Kano, kaskazini mwa Nigeria wakati wa maandamano ya kulalamikia gharama ya juu ya maisha.Baadhi ya waandamanaji walijeruhiwa...
  9. Frank Wanjiru

    Israel yathibitisha kumuua Mkuu wa Kijeshi wa Hamas mwezi Julai

    Jeshi la Israel leo limethibisha kuuawa kwa mkuu wa jeshi la Hamas bwana Mohammed Deif kilichotokea 13 July 2024. Hamas wamekaa kimya kuhusu kifo cha huyu kamanda wao Mkuu. --- Israel's military says it has confirmed that Hamas's military chief Mohammed Deif was killed in an Israeli air strike...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wanigeria wakabiliwa na marufuku ya kutotoka nje ya saa 24 kufuatia maandamano

    Wanigeria wakabiliwa na marufuku ya kutotoka nje ya saa 24 kufuatia maandamano Maelezo ya picha,Waandamanaji wanapinga gharama ya juu ya maisha na kile wanachosema ni "utawala mbaya" Mamilioni ya wakaazi kaskazini mwa Nigeria wanakabiliwa na amri ya kutotoka nje ya saa 24 huku kukiwa na...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Bomu lililotegwa Tehran miezi miwili iliyopita lilimuua Haniyeh

    Bomu lililotegwa Tehran miezi miwili iliyopita” lilimuua Haniyeh - New York Times Chanzo cha picha,AFP Maelezo ya picha, Ismail Haniyeh, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, akiwasili kushiriki katika hafla ya kuapishwa kwa Rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian katika bunge la Tehran Julai 30, Saa...
  12. W

    Kenya kuripoti Kisa cha kwanza cha virusi vya Homa ya Nyani 'Mpox'

    Wizara ya Afya imethibitisha kesi ya kwanza ya ugonjwa wa virusi vya 'Mpox' mpakani mwa Taita Taveta na Tanzania baada ya kugunduliwa kutoka kwa mtu mmoja aliyekuwa akisafiri kutoka Uganda kuelekea Rwanda Mamlaka hiyo imetoa tahadhari kwa raia wa Kenya Julai 31, 2024 kujilinda dhidi ya mlipuko...
  13. Heparin

    Pre GE2025 Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba radhi wananchi na wapenda demokrasia nchini kutokana na kauli aliyoitoa kuwa si lazima CCM ishinde kura kwenye boksi, bali kuna njia nyingine zikiwemo alizosema za haramu. Akizungumza kupitia video aliyorekodi, leo...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Huyo mtoto ameokotwa Mozambique (Msumbiji) akiwa na Mmalawi anapiga kelele kwamba huyo mtu aliyemchukua hamfahamu

    Huyo mtoto ameokotwa Mozambique (Msumbiji) akiwa na Mmalawi anapiga kelele kwamba huyo mtu aliyemchukua hamfahamu. Mtoto anaongea kiswahili pure na anasema kwao Mbeya but haijulikani ni Mbeya sehemu gani tumeombwa ku-share kwenye magroup kama kuna uwezekano wa kumpata mhusika wa mtoto.
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kutupeleka Rwanda hakuwezi kutuzuia kufika Ulaya

    Kutupeleka Rwanda haukutuzuia kufika Ulaya Maelezo ya picha,Bahabelom Mengesha, ambaye kwa sasa anaishi Zurich, alipelekwa Rwanda na Israel mwaka 2014 Huku Uingereza ikiendelea na mpango wake wa kuwatuma waombaji wa uhamiaji nchini Rwanda, BBC imesikia Ushahidi kwamba, mwaka 2017, wakimbizi...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hatupaswi kulipa Uingereza kwa mkataba uliovunjwa - Rwanda

    Hatupaswi kulipa Uingereza kwa mkataba uliovunjwa - Rwanda Rwanda imesema haitakiwi kuirudishia Uingereza pesa baada ya makubaliano ya mamilioni ya pauni ya wahamiaji kati ya nchi hizo mbili kufutiliwa mbali. Waziri Mkuu mpya wa Uingereza na kiongozi wa Chama cha Leba Keir Starmer alitangaza...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Utapeli Mpya umeingia Mjini Matapeli Wanajifanya TCRA Muwe Waangalifu sana Kwenye Simu zenu wanakuibieni Pesa zenu

  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ifahamu Historia ya Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania: Kutoka Special Branch Hadi TISS

  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    “90 killed and 300 injured” in Israeli strike on Gaza “humanitarian area” | BBC News

    https://www.youtube.com/watch?v=NpffXXQvnes&ab_channel=BBCNews
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kibiblia ndoa ni agano Ukimkuta mwanamke hana bikra sio wa kwako

Back
Top Bottom