king'asti asprin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Why did this lion come and roar every day On Irani President's Grave

    https://www.youtube.com/watch?v=1dzSNBk-IPU&ab_channel=IslamicStreams
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Je, Iran ilitengeneza vipi kombora la hypersonic ambalo linaweza kufika Israel kwa 'sekunde 400' licha ya vikwazo?

    Je, Iran ilitengeneza vipi kombora la hypersonic ambalo linaweza kufika Israel kwa 'sekunde 400' licha ya vikwazo? Maelezo ya picha,Teknolojia ya kombora la Balistiki ilitengenezwa wakati wa Vita vya Pili vya Dunia lakini ni nchi chache ulimwenguni ambazo zina uwezo kama huo.10 Oktoba 2024 Na...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Majangaa Makubwa yaliyoikumba Nchini Oman jana usiku kumetokea Mafuriko Makubwa sana kwa Sababu ya Mvua ilnyesha kwa wingi lakini salama

  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mfalme wa Ubelgiji asikitishwa na unyanyasaji wa wakati wa ukoloni DR Congo

    Maelezo ya picha,Mfalme Philippe ameonyesha kusikitishwa na unyanyasaji wakati a ukoloni katika barua aliyomuandikia rais Félix Tshisekedi wa DR Congo Mfalme wa Ubelgiji Philippe ameonesha masikitiko yake juu ya unyanyasaji wa kikoloni wa nchi yake uliofanyiwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nilichokiona kwenye kisiwa cha siri ambacho hawataki ukione

    Diego Garcia, kisiwa kilicho mbali katika Bahari ya Hindi, ni peponi kwa mimea na fukwe zenye mchanga mweupe, kwenye maji ya buluu. Lakini kisiwa hiki sio kivutio cha watalii. Ni kituo cha kambi ya siri ya kijeshi ya Uingereza na Marekani - kisiwa kilichogubikwa na uvumi na siri kwa miongo...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kwanini mageuzi ya kusitasita ya Rais Samia yanachochea hasira ya kisiasa nchini Tanzania?

    Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha, Kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe amekamatwa mara mbili wiki za hivi karibuni Maelezo kuhusu taarifa Wimbi la hivi karibuni la utekaji nyara, kukamatwa na mauaji ya kikatili ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani nchini Tanzania...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wakina mama kuweni na huruma jamani. Amezaa mtoto kaenda kumtupa porini

  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wimbi la pili la milipuko ya vifaa vya mawasiliano Lebanon laua 20 na kujeruhi 450

    Chanzo cha picha,AFP 19 Septemba 2024 Takribani watu 20 wameuawa na zaidi ya 450 kujeruhiwa na wimbi la pili la milipuko kutoka kwenye vifaa vya mawasiliano visivyo na waya nchini Lebanon, wizara ya afya ya nchi hiyo inasema. Simu za upepo zinazotumiwa kwa mawasiliano na kundi lenye silaha la...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hezbollah 'yasukumwa ukutani' baada ya mashambulizi ya vifaa vya mawasiliano

    Play video, "Watch: Small explosion in Lebanon supermarket", Muda 0,22 00:22 Maelezo ya video,Tazama: Mlipuko mdogo katika duka la jumla la Lebanon 20 Septemba 2024 Wakati umati wa watu ulipokuwa umekusanyika kuomboleza baadhi ya waliouawa katika wimbi la mashambulizi ya bomu Jumanne, mlipuko...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mashambulizi ya Israel Lebanon: Maafisa wa Israel wafichua siri za sifa ya kutisha ya Mossad - Telegraph

    Chanzo cha picha, Getty Images Magazeti ya Uingereza na Kiarabu bado yametawaliwa kwa kiasi kikubwa na taarifa za milipuko ya vifaa vya mawasiliano vya 'pager' nchini Lebanon, huku yakijadili athari za mashambulizi haya kwa sura na sifa ya Hezbollah, na uwezo wa shirika la ujasusi la kigeni la...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Tanzania: Tathmini ya hotuba ya Rais Samia: “Kwenye msiba, huwezi kumpangia mtu alieje”

    Chanzo cha picha, Ikulu ya Tanzania Maelezo ya picha,Rais Samia Suluhu HassanMaelezo kuhusu taarifa Wachambuzi wa siasa wameonesha kushangazwa kwa kiasi fulani na ukosoaji wa Rais Samia Suluhu Hassan juu ya hisia za umma kuhusiana na tukio la kutekwa na kisha kuuawa kwa kiongozi mwandamizi wa...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mpox ni nini na hueneaje?

    Mpox ni nini na hueneaje? Aina mpya ya virusi vya mpox inaenea kwa haraka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na wataalamu wanasema ni aina hatari zaidi waliyoishuhudia. Mpox, ambayo zamani iliitwa monkey pox, imeenea katika sehemu za magharibi na kati mwa Afrika na kesi zimekuwa...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Homa ya Nyani: Kwa nini Mpox inaenea kwa kasi Afrika Mashariki na Kati?

    Homa ya Nyani: Kwa nini Mpox inaenea kwa kasi Afrika Mashariki na Kati? Maelezo ya picha,Homa ya Nyani ilianza kwa wanyama kwenda kwa binadamu huko Afrika ya Kati na Magharibi, sasa inaenea kupitia wanadamu.Maelezo kuhusu taarifa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imekumbwa na ongezeko la...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Homa ya Nyani: Watoto waathiriwa zaidi na mlipuko wa mpox

    Homa ya Nyani: Watoto waathiriwa zaidi na mlipuko wa mpox Maelezo ya picha,Watoto wote wa Nzigire Kanigo wameambukizwa mpox, akiwemo Ansima wa miaka miwiliMaelezo kuhusu taarifa Baada ya Homa ya Nyani ama mpox kutangazwa kuwa dharura ya afya ya umma na Shirika la Afya Duniani kutokana na...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Utafiti: baadhi ya vyakula husababisha ukomo wa hedhi mapema

    Maelezo ya picha,Utafiti umebaini ulaji wa tambi na wali kwa wingi husababisha ukomo wa hedhi mapema Vyakula vyenye wanga kwa wingi husababisha wanawake kukoma hedhi mapema, utafiti umeeleza. Ulaji wa tambi na wali kwa wingi kwa wanawake nchini Uingereza kunasababisha kuwahi kukoma kwa hedhi...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Vyakula visivyo vya wanga vinaweza kukupunguzia maisha kwa miaka minne

    Vyakula visivyo vya wanga vinaweza kukupunguzia maisha kwa miaka minne Maelezo ya picha,Vyakula vyenye kiwango kidogo cha wanga vina mafuta na protini nyingi Lishe yenye kiwango kidogo cha wanga inauwezo kupunguza kiwango cha maisha ya binadamu ya kuishi, Utafiti umebaini hilo. Lishe yenye...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Fenesi: Ulijua kuwa tunda hili linaweza kutibu aina tatu ya saratani na maradhi ya moyo?

    Fenesi: Ulijua kuwa tunda hili linaweza kutibu aina tatu ya saratani na maradhi ya moyo? Fenesi au kwa jina la kisayansi (Artocarpus heterophyllus) ni tunda la kitropiki ambalo hukua Asia, Afrika na Amerika Kusini na linajulikana kuwa tunda kubwa zaidi linaloweza kuliwa ulimwenguni. Mbegu na...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Tuliingia kwa urahisi, wasema wanajeshi wa Ukraine waliohusika katika uvamizi dhidi ya Urusi

    Chanzo cha picha,Reuters Ingawa "Z" inaweza kuwa ishara ya Urusi ya uvamizi wake, pembetatu inawakilisha jaribio la ujasiri zaidi la Ukraine la kuiondoa. Zimepachikwa au kupakwa rangi kando ya kila lori la usambazaji, tanki, au magari ya kubeba wanajeshi ambao wanaelekea mpaka wa Urusi katika...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wako wapi hawa? Simulizi za waliopotea katika mazingira ya kutatanisha Tanzania

    Maelezo ya picha,Baadhi ya watu walipotea katika mfululizo wa matukio ya utekaji nchini Tanzania Maelezo kuhusu taarifa Author,Sammy Awami Nafasi,BBC Swahili Akiripoti kutokaTanzania Saa 3 zilizopita “Alinipigia kuniuliza mchana nimepika nini, nikamwambia nimepika ugali. Akasema atakuja muda...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mwanaume aliyeanza kupata hedhi akiwa mvulana mdogo

    Mwanaume aliyeanza kupata hedhi akiwa mvulana mdogo Chanzo cha picha, Iryna Kuzemko Katika umri wa miaka 22, niligundua kuwa mimi ni mtu mwenye jinsia mbili. Tangu wakati huo maisha yangu yamekua ya furaha kuliko awali ,"anasema Iryna Kuzemko. Ni mmoja wa watu wengi ambao ''wana jinsia mpya''...
Back
Top Bottom