ReutersCopyright: Reuters
Wawaniaji wa urais wa chama cha Republican wameshiriki jukwaa moja kwa mara ya kwanza katika kinyang'anyiro cha Ikulu ya Marekani 2024 kwenye hafla ya kampeni ya Iowa.
Wapinzani wakuu Donald Trump na Ron DeSantis waliongoza hafla ya wa kila mwaka ya chama cha...
Wapiganaji wa Wagner nchini Belarus wanaweza kujifanya wahamiaji na kuingia EU, Waziri Mkuu wa Poland Mateusz Morawiecki ameonya.
Wagner pia wanaweza kunaweza kuchangia uhamiaji haramu kutoka Belarus, ambayo Poland inaelezea kama "vita vya mseto", anasema.
Takriban wapiganaji 100 wa Wagner...
CHANZO CHA PICHA,EPA
28 Julai 2023
Wafuasi wa mapinduzi ama watu wanaounga mkono mapinduzi nchini Niger wameyashambulia makao makuu ya chama cha rais aliyepinduliwa na kuyachoma moto, kurusha mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje.
Kikundi kidogo cha wachomaji moto kilikuwa kimejitenga na kundi...
CHANZO CHA PICHA,AFP
Maelezo ya picha,
Rais wa Niger Mohamed Bazoum
Maelezo kuhusu taarifa
Author,By Tchima Illa Issoufou & Cecilia Macaulay
Nafasi,BBC News, Niamey & London
29 Julai 2023, 10:27 EAT
Marekani imetoa "uungaji mkono wake usio na kikomo" kwa rais aliyepinduliwa nchini Niger...
Mkutano wa Urusi na Afrika: Putin anataka kuongeza ushawishi
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
28 Julai 2023
Wakati Rais Vladimir Putin akifungua mkutano wa kilele wa Urusi na Afrika mjini St Petersburg leo Alhamisi, orodha ya waliohudhuria inatazamwa kwa karibu - huko Paris, Washington, London, na...
Na Murugesh Madkannu, BBC Tamil
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Nilipokuwa mtoto, kulikuwa na miti na vichaka vingi kuzunguka nyumba yetu. Jioni moja kulitokea tukio. Umeme ulikatika wakati tunakula. Baada ya kumaliza chakula kilichobaki tukiwa gizani, nilienda kwenye bomba lililokuwa karibu na...
Na Beatrice Kimaro
Mchambuzi, Tanzania
CHANZO CHA PICHA,HABARI LEO
Ikiwa na bandari tatu kubwa upande wa bahari ya Hindi na nyingine kadhaa upande wa maziwa, Tanzania imekuwa kiungo muhimu kwa nchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati.
Bandari zake za Dar es Salaam...
Turkish 5th Gen Fighter TF-X prototype on the final assembly line.
20+ meters in length and powered by 2 GE F110 engines. This puts the TF-X in the same league as F-22 Raptor, J-20 Mighty Dragon and Su-57 Felon in terms of size. source. Military Tactics
Ndege ya 5 Kivita ya Kituruki TF-X ipo...
Jinsi ya kuiandaa dawa ya Mbaazi
Chukua Majani, au maua au mizizi kiasi cha nusu kilo (Ni vizuri kama utachanganya vyote) Pondaponda na uloweke kwenye maji safi kiasi cha lita mbili (2) kwa muda wa masaa ishirini na nne au siku moja.
Chuja na uweke dawa hii mbali na jua/joto ni vizuri kama...
Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti.
Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
amavubi gfsonwin
amkeni
basata
ccm
dhidi
king'asti asprin
kuacha
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mama samia
maua
mpya
nani
ney wa mitego
nigeria
roma
roma mkatoliki
samia
serikali
ujasiri
ujinga
ukweli
ukweli mchungu
wimbo
wimbo mpya
yangu
Lori la mafuta lalipuka na kusababisha vifo vya watu wanane kusini magharibi mwa Nigeria
AFPCopyright: AFP
Takriban watu 8 wamethibitishwa kufariki kutokana na mlipuko wa lori la mafuta katika jimbo la Ondo Kusini Magharibi mwa Nigeria baada ya wakaazi kuchota mafuta kutoka kwa lori hilo...
Na Humpo Lakaje, BBC
CHANZO CHA PICHA,NHLANHLA MOSHOMO
Maelezo ya picha,
Kuanzia kushoto ni Lithabo, Fletcher na Lunia. Na mtoto huyo ni wa Fletcher na Lithabo
Mtindo mpya unaoitwa 'Polyamory' unaibuka miongoni mwa vijana wa Afrika Kusini. Polyamory inamaanisha kuwa katika uhusiano wa...
MKATABA NDIO HUO KWA LUGHA YA KISWAHILI USOME NA UELEWE.
TAFSIRI NA UCHAMBUZI MKATABA WA BANDARI TANZANIA NA DUBAI.
UTANGULIZI; Februari 28, 2022, Rais Samia alipokwenda UAE kuhudhuria Maonesho ya Dubai 2020, ilisainiwa hati ya makubaliano (MoU), baina ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na...
Aprili 27, 2023, akaunti ya Mtandao wa Twitter inayotumia jina la MainLandAfrica iliweka chapisho linalodai kuwa Bilionea wa Marekani Dan Friedkin amekodisha takriban Ekari 6,000,000 za ardhi nchini Tanzania.
Chapisho hilo lilienda mbali zaidi kwa kudai kuwa Friedkin ni mmiliki wa Ekari zingine...
Mwenyekiti wa Chama cha ADC, Hamad Rashid.
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital
Chama cha Alliance for Democrating Change (ADC ), kimetoa rai kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kuchukua hatua kwa vyama ambavyo vitashindwa kufuata katiba yake.
Akizungumza na MTANZANIA DIGITAL Julai 20, 2023...
Kamasi ni sababu ya magonjwa yote. RIP DR.SEBI
Hili ndilo swali nililoulizwa mahakamani, kwamba kwa nini tunatoa madai haya na kwa nini tulifanikiwa sana na kinachoendelea ni kwamba ugonjwa huo haukutambuliwa kwetu.
Ikiwa ingetambuliwa swali lisingeulizwa sasa na kisha sisi sote, sisi wote...
Dar es Salaam. Mchoraji katuni wa Tanzania, Masoud Kipanya amezindua rasmi gari lake ambalo ni la kwanza la umeme kutengenezwa hapa nchini.
Kipanya, amesema gari hilo la umeme ni wazo lake binafsi la ubunifu ambalo lilimchukua miezi 11 kukamilika.
Gari hilo ambalo ni rafiki kwa mazingira kwa...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
amavubi gfsonwin
baraza
faini
jirani
kibali
kifungo
king'asti asprin
kufunga
kukamatwa
kutoka
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
marufuku
miezi
milioni
milioni 1
nchi
nchi jirani
nywele
sheria
tanganyika
wanaume
wanawake
zanzibar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.