king'asti asprin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Rostam Aziz Bilionea waTanzania anayemiliki LPG

  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mafuta ya mbegu ni hatari kwa afya ya moyo

    Mafuta mazuri ya kupikia yenye kukulinda na magonjwa ya moyo, hayana cholestrol ndani yake yenye jina la kibiashara “Vegetable oil” kitalamu huitwa “Seed oils” au Polyunsaturated Fatty Acid oils (PUF Oils). Je Kuna ukweli kuhusu hilo? Kwamba Mafuta yenye jina la kibiashara “Vegetable oil” Je:–...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nawakumbusha tu: Miaka hiyo tuliimba tu kama kujifurahisha wala hatukujua maana yake

    NAWAKUMBUSHA TU 1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafae maishani. 2. Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli, Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali, Roho naona yachinjwa, kifo...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kwanini polisi nchini Urusi wanaacha kazi na kujikita katika nyanja zingine?

    Imeandikwa na OLESYA GERASIMENKO / Ikahaririwa na LORNA HANKIN / Ikahakikiwa na BY SAM HORTI CHANZO CHA PICHA,AFP Katika nyakati za alfajiri mnamo tarehe 14 Januari mwaka 2020, vilio vilisikika katika jumba la ghorofa katika wilaya ya kusini mwa Urusi Leningradsky. Akiwa ameshtuka na kuogopa...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Siri za ndoa: Siri 5 ambazo mke hafai kumwambia mume wake licha ya utamu wa penzi lao

    Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi. Hata hivyo siku hizi, ndoa nyingi huishia kuvunjika kutokana na sababu moja au nyingine, hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ujumbe wa leo

  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kipanya nuksi Duuhhh

  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Basi nikilileta hapo bongo Nauli kutoka Dar kwenda Mwanza unafikiri itakuwa kiasi gani?

  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hadithi Ya Kusisimua Majuto Mjukuu

    MAJUTO NI MJUKUU Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mwanamke wangu nimemfundisha kuzungumza Kiswahili

  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Picha ya Katuni ya leo hebu ipe neno moja

  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hiyo Picha ya Katuni hapo chini inakufundisha kitu gani?

  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hizi Ndio njia Salama za Kulinda Afya Yako

    HIZI NDIZO NJIA SALAMA ZA KUILINDA AFYA YAKO Mazozi ni jambo muhimu sana ili kuulinda mwili kutokana na magonjwa. Mtu mwenye kuthamini mwili afya yake hawezi kupuuza kufanya mazoezi kwa sababu zifuatazo; 1) Mazoezi hupunguza kiwango cha sumu mwilini (2) Mazoezi huzibua mishipa ya damu na...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ipe neno moja picha yangu ya leo

  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mercedes-Benz S Class generation 1965-2020

    Hizi ndio generations za Mercedes-Benz S Class kuanzia mwaka 1965 hadi 2020. Utoto wangu naikumbuka Mercedes-Benz S Class ya Bob Makani, Sea View Upanga. Ilikuwa model ya 1979 S 500. Mbeya nikakutana Mercedes-Benz kali mpya ya mwaka huohuo 1993 ya tajiri Fresh ya Shamba, daily nilikuwa...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Psychology: Saikolojia ishara 7 kuwa mkeo anahitaji umsikilize

    PSYCHOLOGY: SAIKOLOJIA ISHARA 7 KUWA MKEO ANAHITAJI UMSIKILIZE Wakati fulani kitu pekee ambacho mwanamke anakihitaji ni mtu wa kumsikiliza. Njia maridhawa ya kumsaidia mkeo katika matatizo yake, kwanza ni kumsikiliza na kumakinika kwa anachosema kisha utoe maoni yako juu ya suluhisho la tatizo...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nimeamuwa Kunyamaza kimya na nitaendelea kunyamaza kimya Rais Samia Suluhu

    USHAURI KWA WATUMISHI WOTE 1. Jenga nyumba mapema. Iwe mjini au kijijini . Kujenga katika umri wa 50 sio mafanikio. Usizoee majengo ya serikali. This comfort is so dangerous. Wape nafasi watoto wako kutanua nyumbani kwao. 2. Nenda nyumbani (Kwenu). Usigande kazini mwaka mzima. Wewe sio nguzo...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ukipoteza Passport, garama yake ni laki tano

    Huku ni kukomoana aka kuwakomoa wananchi wenye nia ya kuwa na Passport ya kusafiria lohhh Majangaa kweli ya nchi yetu.
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Egypt: ‘Decade of shame’ since hundreds killed with impunity in Rabaa massacre

    The 10-year anniversary of the Rabaa massacre is a stark reminder of how impunity for the mass killing of over 900 people has enabled an all-out assault on peaceful dissent, an erosion of any fair trial safeguards in the criminal justice system, and unspeakable cruelty in prisons over the past...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    June 24, 2023 Palestine: Justice remains elusive two years after the killing of Nizar Banat

    Two years after Palestinian dissident Nizar Banat died in the custody of Palestinian security forces, Palestinian authorities have failed to effectively investigate his death and ensure those responsible are held to account, Amnesty International said today. The ongoing trial of 14 officers...
Back
Top Bottom