king'asti asprin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kitu Usicho Kijua Kuhusu Juisi Boksi

    KITU USICHO KIJUWA KUHUSU JUISI YA BOKSI BILA shaka unapoingia dukani au supermarket kununua juisi ya box, huwa unaamini kuwa iliyoandikwa ‘100% Puer Juice’ huwa ni halisi na ndiyo bora. Kwa kukuongezea imani zaidi, watengenezaji wameweka na neno ‘No Sugar Added’ au ‘No preservatives’...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    My birthday is today. Leo ndio sikukuu yangu ya kuzaliwa, karibuni marafiki zangu

    My birthday is today. Leo ndio sikukuu yangu ya kuzaliwa, ninamshukuru Mungu kwa kunifikisha kuiona siku yangu ya leo ya kuzaliwa. Karibuni wote tupate kushereheke sikukuu yangu ya kuzaliwa.
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ajali kama hii ingelitokea Barani Afrika au Asia watu wengi wangelikufa, kwakuwa imetokea Ulaya wamepona

    Hapa ingekuwa Afrika au Asia watu wengi wangekufa. One of the things I admire Western nations ni kuwa wanajiandaa na balaa kabla halijatokea. Sisi huwa tunamwachia Mungu na kuomba sana dua!
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ukiangalia video hizi unajifunza nini kuhusu wasichana wa kazi?

  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Haya Kwa wale wanaotaka kwenda kuishi Amerika sikiliza hiyo video hapo chini

  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Faida ya Pilipili Kengele Kiafya

    Ikilinganishwa na pilipili zingine, pilipili za kengele hujulikana kwa kiwango cha juu cha spiciness(viungo).Pilipili za kengele nyekundu huwa ni tamu, kama aina nyingine za manjano na rangi ya machungwa. Kiwango cha joto cha pilipili kengele (pilipili hoho) kinapimwa katika vitengo vya joto...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kwanini maharage yanaweza kuwa suluhisho la matatizo mengi duniani?

    CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Maharage huwa na rangi na aina mbali mbali Binadamu wanakabiliwa na vitisho vingi, kuanzia mabadiliko ya hali ya hewa, utapiamlo hadi kupanda kwa gharama ya maisha. Je, maharage yanaweza kuwa jibu la matatizo ya kimataifa? Jamii hii ya kunde ni...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Je, dawa za antibiotiki zina madhara gani kwa utumbo wako?

    CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Miili yetu ina matrilioni ya bakteria ambayo hatuwezi kuishi bila kuwa nayo idadi kubwa ya bakteria hao wakiishi zaidi katika matumbo yetu. Lakini je, tunaharibu kabisa sehemu hii muhimu ya mwili wetu kila wakati tunapotumia dawa za antibiotiki? "Viini vya bakteria...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Faida za kushangaza ambazo pengine hukuzijua za kutumia papai

    Faida za kushangaza ambazo pengine hukuzijua za kutumia papai Papai ni tunda la kushangaza na lenye afya. Ina 'antioxidants' ambayo hupunguza kuvimba na kupambana na magonjwa na kusaidia mtu kuonekana na umri mdogo. Virutubisho katika papai Kalori, Wanga, Nyuzinyuzi, Protini, Vitamini C...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Je kunywa mkojo kuna faida au madhara kwa afya?

    CHANZO CHA PICHA,ISTOCK/BBC THREE Inawezekana ukafikiria kuwa ni jambo la ajabu kunywa mkojo wako kama 'kipimo cha kuishi' katika dharura kama hiyo lakini watu wengi katika maeneo mbali mbali duniani wanaamini kwamba kunywa mkojo wako kuna manufaa kwa maisha 'ya kiafya'. Lakini Je, kuamka...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Je uongezaji wa makalio ni hatari inayopuuzwa?

    CHANZO CHA PICHA,SCOTT FRANKS Maelezo ya picha, Leah Cambridge alikumbwa na mshtuko wa moyo mara tatu alipokuwa amedungwa sindano ya ganzi katika kliniki ya Uturuki. Mwanamke wa miaka 23 amefariki baada ya kuripotiwa kuelekea Uturuki kwa aina ya upasuaji kwa jina Brazilian Butt Lift [uongezaji...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kifo cha upasuaji wa kuinua makalio chasababisha Uturuki na Uingereza kufanya mkutano

    CHANZO CHA PICHA,NATASHA KERR Maelezo ya picha, NATASHA KERR Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, kufuatia vifo kadhaa. Melissa Kerr, 31, alikufa katika Hospitali ya kibinafsi ya Medicana Haznedar mjini Istanbul...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Watu wa jinsi mbili: ‘Nimefanyiwa upasuaji mara 39’

    Hakuna kitu kinachokatisha tamaa kama mtu kuteseka kwa jambo ambalo liko nje ya uwezo wake. Nazungumzia jamii ambayo imekuwa nadra sana kuzungumziwa hasa kwa Afrika Mashariki. Watu wa jinsi mbili, ni watu wa kawaida kama wale wengine ila madhila wanayopitia ni ya kuvunja moyo hata ingawa hali...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Je, Israel iko tayari kwa taifa huru la Palestina?

    Je, Israel iko tayari kwa taifa huru la Palestina? Vita vya kutisha vinaendelea kati ya Israel na Hamas kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa. Maelfu ya watu kutoka pande zote mbili wamepoteza maisha. Mwisho wa vita hivi haujuulikani. Vizuizi vya kufikia makubaliano ya kumaliza vita vimekuwepo kwa...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Waisrael Wamewachukuwa Raia kutoka nchini Malawi ili waje kuwasaidia kupigana Vita na Hamas

  16. Nyendo

    Chakula kinachodaiwa kuwa na sumu chaua watoto 5 wa familia moja

    Watoto watano wa familia moja Kijiji cha Nyakanazi wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wamekufa baada ya kula chakula kinachohofiwa kuwa na sumu huku mmoja akiwa anaendelea kupatiwa matibabu hospitali teule ya Biharamulo. Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera Brasius Chatanda amesema kuwa...
  17. Suzy Elias

    Ndugai: TANESCO ni kikwazo kikuu kwa maendeleo ya Watanzania

    Spika aliyeondolewa kwa uonevu ndugu Job Yustus Ndugai amelitupia lawama Shirika la umeme la Tanzania kwa kuwa ndilo hasa linalo kwamisha maendeleo ya Watanzania kwa desturi yake ya kukata umeme hovyo hovyo. ----- Spika wa Bunge Mstaafu Job Ndugai, ameitaka Serikali kuboresha taratibu zake...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Antonio Guterres: Kwanini Israel imekasirishwa naye?

    CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE/REX/SHUTTERSTOCK 26 Oktoba 2023 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, alielezea wasiwasi wake kuhusu "ukiukwaji wa wazi wa sheria ya kimataifa ya kibinadamu huko Gaza," na kusisitiza kwamba "hakuna upande wowote katika mgogoro wa silaha ulio juu ya sheria...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Sababu nne kwanini Palestina haijakuwa nchi huru

    Ilikuwa mwaka wa 1948. Tangu wakati huo, vita vya Waarabu na Waisraeli vilianza. Tangu wakati huo, vita vya Palestina havijakoma. Chini ya miaka hamsini iliyopita mnamo 1973, vita vya tatu vya Waarabu na Israeli vilifanyika. Tangu wakati huo Israeli haijapigana moja kwa moja na mataifa ya...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    'Ninapiga simu kutoka shirika la ujasusi la Israel. Tunarusha bomu, una saa mbili kuondoka’

    Maelezo kuhusu taarifa Simu ya Mahmoud Shaheen iliita alfajiri. Ilikuwa Alhamisi tarehe 19 Oktoba karibu saa 12:30, wakati Israel ikiendelea kuishambulia Gaza kwa siku 12 mfululizo. Akiwa katika ghorofa ya tatu, kwenye nyumba ya vyumba vitatu vya kulala huko al-Zahra. Ghafla alisikia kelele...
Back
Top Bottom