Hii ni habari kubwa na nzito.
Mahakama ya Makosa ya Jinai duniani wamefungua portal maalum kwa kila mwenye ushahidi kuthibitisha mauaji ya maangamizi ya halaiki dhidi ya Wapalestina atume. Ushahidi unaweza kuwa sauti, video au nyaraka.
Ingia kwenye website hii utume.
==========•••••••
This is...
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo kuhusu taarifa
Author,Na Laith Issam
Nafasi,BBC News Arabic
9 Januari 2024
Madai kwamba vuguvugu la Hamas ulikuwa mradi wa Israel yamekuwa yakisambazwa kwenye vyombo vya habari na wasomi - tangu wapiganaji hao wawaue na kuwateka nyara Waisraeli tarehe 7...
10 Januari 2024
Na Charlie Northcott, Helen Spooner & Tamasin Ford
BBC Africa Eye
BBC inafichua jinsi kiongozi wa kanisa kuu marehemu TB Joshua, ambaye anatuhumiwa kwa uhalifu wa kingono kwa wingi, alimfungia bintiye mwenyewe na kumtesa kwa miaka kadhaa kabla ya kumwacha bila makao katika mitaa...
CHANZO CHA PICHA,EPA
Watafiti nchini Ufaransa wanasema kuna uhusiano kati ya vyakula vilivyosindikwa na maradhi ya saratani.
Watafiti hao wameainisha vyakula ikiwemo keki,kuku na mikate kuwa vinasindikwa sana.
Utafiti uliofanywa kwa watu 105,000 umeonyesha kuwa vyakula hivyo huliwa zaidi, hivyo...
Share
IMAGE SOURCE,MENNA JONES
Image caption,
Mnyama wa mwituni ajulikanae kama Tasmanian devil
Uchunguzi wa geni wa Tasmanian devils umebaini uwezo wa haraka wa kutibu maambukizi ya saratani ya uso inayotishia wanyama hao.
Ikiwa ni moja kati ya aina tatu za maambukizi ya saratani yanayoweza...
Maelezo ya picha,
Jitihada zinashinikizwa kung'amua mapema maradhi ya saratani na kuyashughulikia ipasavyo
Kampeni kubwa imesambaa duniani wakati dunia leo inaadhimisha siku ya saratani duniani - #WorldCancerDay - kupiga vita saratani kwa kuongeza uhamasisho kuhusu umuhimu wa kutambua mapema na...
Maelezo ya picha,
Laura Everley,ambaye alipatikana na saratani ya mfuko wa mayai ya uzazi(ovari) mwaka 2014, akiwa pamoja na mwanae wa kiume Harry
Ni theluthi moja tu ya wanawake wanaomuona daktari licha ya kuwa na dalili kubwa, wasema utafiti shirika la kupambana saratani ya Ovari-Target...
Aspirini huenda inaweza kusaidia kupambana na saratani sugu ya matiti kwa kufanya uvimbe mgumu kutibika kuitikia tiba ya dawa za kupambana na saratani, madaktari wanasema.
Kundi la wataalamu wa Wakfu wa Christie NHS Trust, mjini Manchester, limeanza kufanyia majaribio wagonjwa wa saratani ya...
10 Januari 2022
Maelezo ya picha,
Hadithi ya dhahabu, ubani, inahusishwa na Yesu Kristo
Mapambo yanayotengenezwa katika onyesho la Krismasi huonyesha vitu vitatu vikitolewa kama zawadi. Hadithi inaelezea kuwa wanaume wenye busara walikuja na kumpatia mtoto Yesu dhahabu, ubani na manukato...
TBC HABARI 2030: Ndugu Tundu Lissu aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama cha Upinzani.
GAZETI LA MWANASPOTI 2054: ujeruman yasema walistahili kutolewa na taifa stars kwenye michuano ya kombe la dunia, kwani Taifa stars...
Hapa Rais Samia Suluhu awaambia Wananchi watalipa elfu 27 kuunganishiwa umeme.
Hapa Rais Samia Suluhu hassan abadilisha kauli yake kuhusu kuunganisha Umeme. Mimi huwa siwaamini Wana siasa karibu wote ni wasanii.
Chipsi ni moja kati ya chakula kinanchopendwa zaidi duniani
KIUKWELI katika vyakula vitamu duniani na vinavyopendwa haswaa na watu duniani usiposema chipsi utakuwa mtu waajabu sana. Chipsi haziliki bongo tu ata ughaibuni chips zinalika sana na zinapendwa haswaa, chipsi zinaenda na vitu vingi...
KUNA makundi matatu makuu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo na leo tutajadili kwa kina aina hizo za magonjwa haya ya tumbo kama ifuatavyo:
1. Gastric Ulcers: Aina hii ya vidonda vya tumbo hutokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo.
Vidonda hivi hutokea katika utumbo kwa sababu...
TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwakumba wanawake wengi waliopo kwenye umri wa kuzaa au wale wanaokaribia kufikia ukomo wa hedhi.
Japokuwa wengine huchukulia tatizo hili kama kitu cha kawaida, kuvurugika kwa hedhi ni dalili kwamba kuna tatizo katika mfumo wako wa uzazi hivyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.