kipalestina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yawakamata Polisi wa Kipalestina kwa uhalifu!!

    Vikosi vya Israeli vimewakamata maafisa 3 wa polisi wa Mamlaka ya Palestina wiki hii kwa kuhusika kwao katika kuanzisha kituo cha ukaguzi kisichoidhinishwa karibu na Beitunia katika Eneo C na kumkamata mwanajeshi wa akiba wa Israeli huko mwezi uliopita. Mwanajeshi huyo wa akiba alikamatwa kwa...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IDF yakiri kuwawekea alama za namba Magaidi wa kipalestina!!

    IDF yakiri kuwawekea alama wafungwa wa Kipalestina kwa nambari, yasema: ‘Masomo Yamejifunza’ IDF yajibu picha zilizochapishwa jana zikimuonyesha mwanamume Mpalestina akiwa na nambari kwenye paji la uso wake. “Jana, wakati wa operesheni ya ngazi ya brigedi katika kijiji cha Qabatiya katika eneo...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Baada kushindwa kupambana na Hamas Israel inapambana na raia na watoto ililenga moja kwa moja waokoaji wa Kipalestina hospital Nasser. Khan Younis

    Wanaukumbi. Israel directly targeted Palestinian rescue workers at the Nasser Medical Complex in Gaza's Khan Younis. Journalists Mohammed Salama, Hussam Al Masri and Mariam Abu Dagga were among those killed, along with at least eight others ================ Israel ililenga moja kwa moja...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Israel yaunda kundi jingine la wanamgambo wa Kipalestina huko Gaza na kulipa silaha

    Kiongozi wa Upinzani huko Israel bwana Yair Lapid ameishutumu serikali ya Israel chini ya Benjamin Netanyahu kwa kuunda kundi jingine la wanamgambo huko Gaza na kuwapa Silaha. bwana Yair amesema kuwa kitendo hicho kinahatarisha maisha ya wanajeshi wa IDF maana silaha zitakuja kuishia kwa...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mama wa kipalestina akifurahia kuletwa maiti za watoto Kfir na Ariel Bibas kwenye Jukwaa

    Ni kitu cha kushangaza na kusikitisha kuona akina mama na watoto wakifurahia kipindi majeneza ya Mama na watoto Kfir mwenye miezi 10 na Kaka yake Ariel Bibas miaka 8 yakiwekwa jukwaani kipindi kile wanabadirishana Mateka na mafungwa. Ndiyo maana unasema hakuna aside na hatia huko Gaza wote ni...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji wa Israeli waandamana kupinga 'haki ya kubaka' wafungwa wa Palestina

    Taifa la kiyahudi kila siku zinavyokwenda linazidi kujipambanua rangi zake zilizokuwa zimejificha mwanzoni mwa vita kati yake na wapalestina. Wako mawaziri ambao wameandamana na wafuasi wao wakaitaka waruhusiwe kufanya ibada ndani ya msikiti mtakatifu wa Aqsa jambo ambalo halikutajwa hapo...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania VIDEO: CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina

    Wanakumbi. CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina katika kambi ya Sde Teiman katika jangwa la Naqab, ambapo Israel inatekeleza uhalifu mkubwa dhidi ya wafungwa wa Kipalestina waliotekwa nyara kutoka Gaza. Wafuasi wa Israel walikuwa wanasema Al Jazeera...
  8. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Katika harakati za uhuru wa Palestine Wakristo wa kipalestina kazi yao nini? Mbona Waislam wa kipalestina wamechachamaa zaidi ?

    Katika harakati za uhuru wa Palestine ukisoma zaidi taarifa mbalimbali utaona mchango mkubwa wa waislam wa Kipalestina katika kupambana dhidi ya manyang'au wakoloni wa kiyahudi. Hata vikosi mbalimbali vinavyo ongoza mashambulizi dhidi ya wakoloni wa kiyahudi ni vikosi vya waislam wa Kipalestina...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Urusi kukutana na makundi yote ya kipalestina kwa mashauriano. Ni mchakato wa kuundwa taifa huru la Palestina

    Urusi baada ya kupata ushindi mnono kule Advidika dhidi ya Ukraine imejiona ina wajibu wa kushauriana na makundi yote ya kipalestina wakati ambapo vita vya Gaza navyo viko ukingoni kumalizika. Inawezekana harakati hizo za Urusi ni kupiga hatua za mbele za mbele katika mchakato wa kuundwa kwa...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa Kipalestina waingia barabarani wakilaani HAMAS

    Kumekucha, wameanza kutia akili, kimsingi haitokuja waue Wayahudi wote, hivyo lazima wakubali kuishi kwa amani. Kila nikikumbuka picha ya huyu mwamba huwa nacheka sana, alidhani vita ni zile movie za kihindi https://www.instagram.com/reel/Cz_c9SDt4TH/ https://www.instagram.com/reel/Cz_c9SDt4TH/
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania BBC na Media za Magharibi wamekataa kuwaita watoto wa Kipalestina, watoto.

    Wanaukumbi. BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, watoto. BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, mateka. Inavyoonekana, ni wakoloni wakatili wa Ulaya, pekee walio na watoto, na Waisraeli pekee ndio wanaoweza kutazamwa kama mateka. Hawa ni "wafungwa" wa Kipalestina wanaobadilishwa...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA. Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15. Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel. Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

    Wanaukumbi Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli. Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia CHANZO; ALJAZERA
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

    Wanaukumbi. Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema. Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa. Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
  15. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Liberman: Jeshi la Israel lianze operation ya kuwaua viongozi wa Kipalestina

    Lieberman atoa wito wa kurejeshwa kwa sera ya mauaji ya kigaidi Ukanda wa Gaza Jun 20, 2023 07:36 UTC Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amelitaka jeshi la utawala huo kutekeleza tena sera ya kuwaua kigaidi makamanda wa harakati za mapambano ya ukombozii ya Palestina...
Back
Top Bottom