Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Kiongozi wa Upinzani huko Israel bwana Yair Lapid ameishutumu serikali ya Israel chini ya Benjamin Netanyahu kwa kuunda kundi jingine la wanamgambo huko Gaza na kuwapa Silaha. bwana Yair amesema kuwa kitendo hicho kinahatarisha maisha ya wanajeshi wa IDF maana silaha zitakuja kuishia kwa Wapalestina wakiwemo HAMAS
Serikali ya Netanyahu imeupongeza mpango huo kuwa mbinu hiyo itaokoa maisha ya wanajeshi wa IDF kwa sababu kundi hili ndo litakuwa msitari wa mbele kupambana na HAMAS.
Bwana Yair amemshutumu Netanyahu kuwa baada ya yeye kuwapa HAMAS mamilioni ya dola huko nyuma, leo anatengeneza kundi jingine na kuliwezesha silaha.
Hii taarifa unaweza kuisoma hapa:
www.ynetnews.com
Hii habari unaweza kuikuta hapa
www.jpost.com

Netanyahu says Israel 'activated some clans' to fight Hamas
Prime minister defends measure, which he says was recommended by the security establishment, as life-saving; officials say operation meant to challenge terror group's hold on enclave
Hii habari unaweza kuikuta hapa
Palestinian groups fighting Hamas in Israel’s interest | The Jerusalem Post
"What are ‘criminal groups’ when it comes to Hamas-run Gaza?" the official said.