Kufuatia vibonzo vya Masoud Kipanya kupenyeza ujumbe fulani wa muhimu nimependezwa kuona kuwa vibonzo vyake vyote vya kila siku view updated kwenye huu uzi tukijadili ujumbe uliokusudiwa.
My take: Wapinzani wa Uganda walipitia mateso makali wakati wa uchaguzi lakini wamepata wabunge kadhaa japo urais walipoteza, sisi hofu yetu ilikua kubwa tumenyongwa kweli. Tusitegemee matumaini ya ushindi wakati tumejaa woga.
Yule msanii maarufu wa michoro ya katuni au vibwengo kama kwetu sisi uswazi tunavyo viita ameibukia mjengoni kwa Ndugai.
Binafsi nimeshindwa kuitafsiri hiyo picha nini ina maanisha,hivyo wadau wenye ujuzi wa haya mambo tunaomba mtujulishe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.