Mibuyu ni miti inayoota huko Dodoma, ile kauli ilisema “Nimesikia huko Dodoma kwa akina Kassim….”. Mbuyu wa kwanza umeshang’olewa.
Fuvu linaangalia lakini sasa halina kauli. Kwakifupi tu ninawasalimu kwa Jina la Muungano- Kazi iendelee.
Navishangaa vyuo vikuu vya Tanzania hasa vyenye kutoa shahada mbalimbali za zinazohusiana na sanaa kutokuona mchango wa huyu mwamba. Masoud amekua akitoa kazi zenye kufikirisha na kutumia akili kwa miaka mingi sana. Binafsi toka nimfahamu ni zaidi ya miaka ishirini sasa.
Natoa wito kwa vyuo...
Nimeona mchoro huu nikajiuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake, Kama iko vivyo mdau alivyosema basi Kipanya ametukosea Sana watanzania, mtu akifa aachwe afe.
Kusema Samaia anajifunza ya JPM ni kukosea sana hasa ukisema anajifunza mabaya tu.
USSR
Msanii Kipanya ameamua kujikita kwenye kuwapigania kimawazo Watanzania.
Leo hii ameibuka na mustakabali wa mapambano ya kuhitaji katiba mpya baada ya kiongozi wa mpambano huo kufunguliwa mashitaka mahakamani.
Tazameni hiyo picha hapa chini ili kwa wenye uelewa zaidi wa habari picha mtupashe zaidi.
Hili tukio limetokea katika kipindi ambacho kuna tuhuma fulani fulani kwa mtu/watu fulani hivyo nawaza mengi sana.
Teyari mitandaoni kuna madi kuwa yule mtu alieuwa alikuwa anatamka maneno fulani, maneno yanyoweza kabisa kubadili sura ya hili tukio iwapo ni ya kweli na kuna uthibitisho wa video...
Yule msanii nguri ameendelea kuonyesha uzareeendo wake kwa watanzania .
Wametuwekea picha inayo waonyesha viongozi wetu wa serikali jjnsi wanavyo jipatia mapato haramu na kuishi maisha ya kifahari.
Tazameni wenyewe hiyo picha ndiyo tutaelewana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.