Masoud kipanya ni moja ya watu wenye jicho la tatu wanaotumia katuni kujenga ujumbe na kuona mbele kuhusu hii nchi.
Mimi ni mpezi wa katuni za masoud kipanya na kila ukizirudia unaona zimebeba ujumbe unaofika mpaka leo.
Kuna kipindi fulani masoud alitoa kumuhusu huyu bashe na kumbuka kipindi...
Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya kuondolewa.
Baada ya mbinyo toka Kwa Wakenya Kwa zaidi ya wiki Moja hatimaye serikali imekubali yaishe...
A /Alaykum ..! Nachukua nafasi hii kukutaka radhi my brother kwa kukukosea na kukuvunjia heshima .! Kijana wako nimeghafilika kwa jazba .
M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako...
Pia Soma:
https://www.jamiiforums.com/threads/mwijaku-amuomba-msamaha-masoud-kipanya-baada-ya-kumtuhumu-kuwa-anafanya-biashara-haramu-na-kutukana-viongozi-akiwemo-rais.2223427/
Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia.
Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa...
Huu ndo mtizamo wa mchora vibonzo nchini Masood kipanya.
Baada ya kupotea majimboni kwa miaka minne hatimae sasa wabunge wameanza kurudi na kibaba cha sukari.
Wao wanalamba Asali wananchi wanalambishwa sukari. 😂😂😂
Source: TBC Television.
Aliyewahi kuwa Miss Dar City centre na Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.
Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa...
Nina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.
Leo Juni 19, 2023, Taasisi ya The Chanzo imeandaa tukio lilipewa jina la #TheChanzoSpecials, ambapo kunatarajiwa kuwa na mijadala mbalimbali itakayowakutanisha Wadau tofautitofauti.
Tukio hili linalenga kujadili masuala matatu muhimu, kwanza tufanye nini ili kujenga tamaduni ya uwajibikaji...
Mwana katuni maarufu nchini leo tena ameamua kutuwacha kwenye mataa.
Ametupia picha ambayo binafsi nimeshindwa kuisoma na kulazimika kwaomba wataalam wa kusoma picha.
Naombeni tusaideni sisi tusiyo na utaalam husika.
Salam wana jamvi.
Ni siku chache tu waliowengi tuliona post ya mjasiriamali mbunifu wa gari la umeme Bw. Kipanya akisambaza sauti ya vikao vya ndani vya maafisa wa serikali wakijadili kuhusu gari lake. Wadau waliowengi walisikitishwa na maongezi ya maafisa wale na kukemea kwa nguvu kitendo kile...
Heri ya idd ndugu zangu.
Tanzania ni moja ya nchi chache Sana duniani ambazo tunatengeneza Magari halafu official state car bado tunatumia gari za nchi nyingine.
Viongozi wakuu wa nchi za Marekani, ujerumani, Japan na Uingereza viongozi wao wanatumia kampuni za nyumbani.
Bibi la Bibi...
Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.
Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji...
Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye kwa sasa ni marehemu alifikia hapo baada ya kunyamaziwa kwa muda mrefu akaona anayo haki ya kuchora...
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Kiukweli sipendi kulishwa maneno, sipendi kulishwa taarifa, na sipendi Kukashifu. Sipendi kauli mbichi [Generalities] kwani huwa zinapotosha au kupotosha maana halisi iliyomo kwenye maudhui. Nimekutana na mijadala mitatu tofauti, ikimaanisha maudhui matatu tofauti, lakini kwa kauli na misemo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.