Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku.
Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa...
Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni.
Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata...
Masoud Kipanya na James Gayo hiyo sio poa kabisa naona mnapenda kutukosea sana kwamba sisi ni wengi ila kuchukua nchi tuna nafasi finyu sana au sie tupo wengi ila walamba asali ni wengi sana.
Nitafungua mashtaka kwa James Gayo na Masoud Kipanya maana naona mnaendelea kutukosea sana.
Kwahiyo mkuu Masoud Kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii?
Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa 😃 😀 😄 😁 🤣! Masoud Kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili...
Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
Nguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu.
'...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.'
'....ni muda sasa...
Sasa hata Kipanya na wananchi wameanza kuielewa Force Account na madudu yake. Serikali ifanye Technical Audit kwa hii miradi kabla haijabomoka yenyewe.
"Hivi wale wanaotumia 'tishu' tu kujisafisha chooni, huwa wanashusha mizigo hii hii tunayoishusha sisi au wenzetu mizigo yao inakuwa dry, odourless and sophisticated?"
Nampongeza Masudi Kipanya kwa ubunifu wa kile kigari chake, kuna watu wanajiita wasomi lakini hawajawahi kubuni hata mswaki, watu wengi wenye wivu tabia zao zinafanana yaani badala ya watu kumtia moyo na kumpongeza wanambeza, huku maprofesa wakijikita kukamata wasichana sapu ili wahongwe ngono...
Kitendo alichokifanya Masoud Kipanya ni cha kishujaa na kinastahili kupewa pongezi.
Tunahitaji vijana wengi kuiga alichokifanya kipanya katika bidhaa mbalimbali zinazozalishwa huko ulimwenguni, wabuni kwa brand zao na kutengeneza.
Labda nimshauri Kipanya kuwa gari lake asiliweke makumbusho...
Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako
1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi?
2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.
Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita...
Nimeiona mahali katuni ya mbuzi wa Kipanya aliyekata kamba na kwahiyo anakula bila kuzingatia urefu wa kamba, nimecheka sana.
Ngoja niitafute nitupie mjionee wenyewe.
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.