Kama unatarajia kuoa kijana,na mke anakuzid kipato;
(I) Hiyo ndoa haiwezi kudumu sana kama utamtegemea mwanamke
Ii) Hata kama mwanamke anayo kazi kubwa,make sure matumizi yake unagharamia wewe,nauli na Kila kitu
iii) Usiruhusu mwanamke alipie Kodi ya nyumba Wala ada,pambana wewe mwanamume...