kipato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jugado

    Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

    Miaka kumi ina miezi 120! Say: 3,000,000×120? = 360,000,000
  2. Meneja Wa Makampuni

    Uhalisi wa bei za bando la internet dhidi ya wastani wa kipato cha mwezi cha kila Mtanzania

    Kwanza kabla ya yote naomba kusema kwamba nchi ya Tanzania ndio yenye bei ya chini zaidi ya bando za internet katika ukanda wa Afrika Mashariki. Pili ukichukua wastani wa mshahara wa kila mwezi, inaonekana watanzania ndio wanalipa asilimia kubwa zaidi ya mapato yao katika kununua bando la...
  3. Mjanja M1

    Kuna umuhimu Mke kujua kipato cha Mume?

    Kuna umuhimu wa Mwanamke kujua Kiasi cha mshahara au kipato cha Mume wake?
  4. Stuxnet

    TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

    Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA". Sheria ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inaruhusu kukagua mapato ya mtu yeyote au kampuni yeyote kujiridhisha kama...
  5. Nyafwili

    Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula. • Dar - - Mwanza • Dar - - Mbeya • Dar - - Kigoma • Dar -- Arusha • Dar --...
  6. D

    Hakuna anayeruhusiwa kuwa Imam bila kuwa na kazi inayomuingizia kipato.

    Huku kwetu tunadanganywa sana eti mtu anakuwa padre, mchungaji au Pastor halafu hatoi sadaka kabisa ispokuwa waumini ndo wanaokamuliwa as if ndo Wana pesa. Mapadre wanashinda Baa wanakunywa pombe lakini kutoa sadaka siyo jukumu lao Bali la waumini wanapwaita walaei. Uislamu ni dini ya haki na...
  7. S

    Eti ninyi waoaji, mnapotaka kuoa huwa mnazingatia kigezo kipi kati ya Uzuri, akili na kipato cha mwanamke?

    Kuna maoni mseto katika kila kigezo. Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali. Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa. Kipato chake kinaweza kutoweka kwasabb zozote zile. Ikiwa kila kigezo kina shida zake, ni kipi basi mtu anapaswa kukizingatia...
  8. Nyafwili

    Ni Kosa Gani La Kawaida • Ambalo Watu Wanalo Kuhusu Wewe?"

    Habari wana JF, Poleni na pilika pilika za hapa na pale 🤝, Binadamu mara nyingine wanaweza kuwa na tabia ya kutoa hisia au sifa za kibinadamu kwa vitu ambavyo havina hisia wala ukweli wowote, yani utakuta mtu au watu wanajiuliza maswali ya namna hii kuhusu wewe:- • Watu wengi wanapata ugumu...
  9. Balqior

    Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

    Hi, Humu jf na nairaland vijana wengi tunasema hatujaoa coz hatuna hela, tunajitafta tupate hela ndo tuoe. Cha kushangaza kuna hii kitu nimeona haswa haswa sehemu ninayofanyia kazi, kijana wa kiume unakuta ana cheo, tena head wa department ya kampuni kubwa, kazi nzuri, wese la kuweka mafuta...
  10. Zanzibar-ASP

    Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

    Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%. Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu...
  11. R

    Kukosa umeme kutwa nzima kwa siku kunaathiri vipi shughuli zako za kujipatia kipato?

    Wakuu, Tunajua "Upungufu wa Umeme" bado upo, na ratiba inafuatwa vilivyo! Wengi wetu shughuli za kutupa michuzi ziko mchana na kwa kiasi kikubwa zinategemea umeme. Hii inafanya kukosekana kwa umeme kwa siku nzima kutupa hasara kubwa na kwa namna fulani kuturudisha nyuma kwenye harakati zetu...
  12. Minjingu Jingu

    Kwa hili la huyu mpenzi wangu acha pesa zangu ziishie kwa mama tu!

    Iliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina Tsh 100,000 nikamtumia. Hakusema hata amepokea, akanyamaza tu. Ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah, akapokea simu nikamuuliza "umeona kuna...
  13. B

    Usipokuwa makini unaweza kujikuta unamhonga mtu anayekuzidi kipato!

    Kwenye nyanja za kupigana vibomu ambavyo kwakweli vinapendezesha mahusiano, unajua bila kuhonga wengine hatujisikii raha na huwa tunapenda watu wanaotuombe hela. Asikudanganye mtu bwana, ukiwa unamhonga anakuwa mtumwa wako. Sasa bwana katika pita pita za hapa napale nikakutana na vijana wana...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukweli ni kwamba watu wengi wa Dar es Salaam wamezidiwa kipato na watu wa mikoani

    Kijana wa Dar akinunua sabufa, sofa la watu 2, kitanda cha chuma na godoro, akipanga chumba kimoja, choo cha jumuia hapo katoboa maisha. Wapo vijana waliofanikiwa wakajenga, kununua usafiri na wengine kumiliki biashara lakini wastani wa vijana wanaoishi kwenye chumba kimoja na vikorokoro vyao...
  15. JanguKamaJangu

    Bei ya kuzoa taka Mbezi Beach inapangwa kutokana na uhalisia wa mazingira na kipato

    Siku chache baada ya malalamiko kuripotiwa kuhusu gharama za uzoaji taka kwenye makazi ya watu kuwa juu katika baadhi ya mitaa ya Mbezi Beach B, ikidaiwa kuwa kuna kampuni inayotoza Tsh. 15,000 kwa mwezi kwa nyumba badala ya Tsh. 3,000 hadi 5,000 kwa mwezi, ufafanuzi umetolewa. Malalamiko yako...
  16. tzhosts

    Ongeze Kipato Chako! Jiunge na Programu yetu ya Reseller

    Je, unatafuta njia mpya ya kujiongezea kipato chako na kuanzisha biashara yako mwenyewe? Tunayo fursa nzuri kwa ajili yako! Jiunge na Programu yetu ya Reseller leo na uanze kujipatia pesa kwa urahisi. Reseller Program ni nini? Programu yetu ya Reseller inakupa nafasi ya kuuza bidhaa zetu za...
  17. Roving Journalist

    Serikali yawataka Wakulima kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao na kuuza ili kujipatia kipato

    Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema Serikali itaendelea kujikita zaidi katika kuongeza bajeti ya kilimo, pamoja na kutatua changamoto za masoko, kuhamasisha matumizi ya taknolojia, pamoja na kuwapatia mitaji vijana, ili kuhakikisha nchi inakuwa na uzalishaji mkubwa wa chakula...
  18. Gulio Tanzania

    Sijapendezwa na uzinduzi wa jezi za Simba kuwekwa majina ya viongozi

    Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo kufanya kuwa kivutio kikubwa kinachotambulika dunia nzima niliona ni jambo jema Leo mida ya asubuhi...
  19. B

    Ongeza kipato chako kwa kupitia simu au PC (Personal Computer) yako

    Leo nitagusia kuhusu Sproutsgigs.Hii ni website ambayo unaweza jiingizia hela yako kwa kufanya task (kazi) utakazo kuta umepewa kwenye dashboard yako.Lakini pia unaweza toa kazi kwa mtu akakufanyia kwa niaba yako kwa malipo mtakayo kubaliana. Nimejiunga Sproutsgigs mwezi mmoja nyuma na...
  20. K

    SoC03 Kipato cha kila siku ni kitendawili cha maisha

    Naam: Kiswali lugha adhimu iliyotukuka kwa semi za wahenga, nahau, methali, hadithi na vitendawili, Mmmh wataka kujua! nisikusimulie sana leo, kuna kitendawili kisemacho "Tega ni kutege" na jibu lake likawa " mwiba" Hahaaa😂 Sote twafahamu kuwa mwiba unachoma , wachoma wapi na saa ngapi? ajua...
Back
Top Bottom