Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii.
Mosiria amesisitiza umuhimu wa kanisa hilo kuhakikisha kuwa viwango vya kelele vinazingatia sheria na...
Ebu skilizeni niwaambie kabla sijalewa.....
Mwanangu:
Usije ukadanganywa na ukakubali kwamba pesa zako ndio ishara ya upendo wa kweli.
Binti zangu skilizeni....
Mwanaume akikununulia gari, nyumba or any goods haimaanishi kwamba huo ni upendo kwako.
Yawezekana Mudi amepata pesa ya urithi na...
Kama ulidhani ulielewa somo la fraction au decimal jitafakari
Kuna robo ta robo
Watu wa mikoani huwa wanashangaa watu wa mjini kula miguu,utumbo na vichwa vya kuku,ule sio umasikini bali ni utamaduni tu.ndiomaana mtu wa pwani yuko tayari kuacha kula wali akala matandu au ukoko.
Kuna kabila moja...
Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu!
Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna...
Wanajukwaa ni mimi tu au wote! Jana nilimtuma mtoto akaninulie Azam Ukwaju zile za Jero Jero na kumwmabia aniwekee kwenye fridge! Cha ajabu naona kama ujazo umepungua! Ice Lolly za Ukwaju za Azam zimepugua kipimo sio kawaida, karatasi zimejaa upepo tupu.
Mwanzoni ulianza vizuri sana Kimfuko...
Uongozi wa simba kuna mda unashangaza sana
Unaenda kufanya pre season kwenye nchi ambayo unajua kabisa ni ngumu sana kupata timu ya maana ya kujipima kwa sababu kubwa ligi haijaisha
Kwanini wasingeenda moroco ambako nako ligi imeisha na wananafasi kubwa sana ya kupata kipimo kizuri kuliko...
Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho?
Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa...
Mara nyingi hili tukio huwa linanijia kichwani. Sidhani kama nitaisahau Ile siku. Mgonjwa alikuwa baba yangu mzazi. Ni mtu mzima sana Kwa mwaka huo alikuwa na miaka 90+. Alikuwa na hali mbaya sana kiasi kwamba hata kuongea alikuwa hawezi. Hata kuinua tu mkono hakuwa na nguvu hiyo.
Hospitali...
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha kumekuwa na mahususiono mengi ambayo yamejawa na kutokuaminiana ndani yake, maana yake nini? Tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu suala la kutokuamiana hasa kwa viumbe hai limekuwa sugu sana na hasa kwa kiumbe aitwaye mwanadamu.
Mwanadamu huyu aliyeumbwa kwa...
Kama hutaki njoo Niue nipo tandale huku naishi chumba Cha Giza Cha Kodi ya TSH 25,000/= ( simu zangu naachaga Kwa mangi kipindi Cha mvua maana mafuriko yakitokea huenda yakaondoka na simu zangu ๐๐๐ )
Sikia rafiki ikiwa unafanya kazi ya ulinzi kama Mimi๐ ya kulipwa 120k per month siyo case...
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.
Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana.
Sasa kuna mtu mmoja...
Kwa mara nyingine siasa zimeingilia hii game tutaona kama ni team zitafungiwa au ni nchi zitafungiwa jumla
Au wataogopwa vile ni waarabu maana ingekuwa nchi kama tz Motsepe na genge lake wangeandika barua ya adhabu usiku huu huu
Hii mechi haipo Dreams
Zamaleki atangazwe bingwa
Tofauti yako na yule ambaye unaona anamfaidi Mungu na nguvu zake iko kichwani na kinywani mwako.
Wote ambao akilini mwao wanaamini katika ufinyu na uhafifu wa uwezo wa Mungu watafaidi uhafifu na ufinyu huo.
Wale wanaoamini katika na kusadiki kabisa kuwa kwao Mungu ananguvu na uweza wote kuliko...
Rais Jakaya Kikwete amesikika mara kadhaa akisema kuwa "mgombea urais kupitia ccm 2025 atakuwa mama Samia labda mambo yaharibike sana hapo katikati".
Sasa swali langu ni je, mpaka sasa, bado mambo hayajaharibika sana? Au kipimo cha kuharibika sana kwa mambo ni kipi?
Kama mwanamke anapika chakula anajaza chumvi nyingi kwenye mboga basi kuna uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo akawa na akili ndogo ama hana akili kabisa.
Na kama chumvi inayo tumika ni chumvi hii ya kemikali ( ya dukani) basi uwezekano wa mwanamke huyo kutokuwa na akili unakuwa Mara dufu...
Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.
Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:
1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material.
2. Mwanamke...
Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema.
1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka.
2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi...
Niliwahi ambiwa na wataalamu wa hospital DOCTORS AND NURSES..Kuwa ukipima HIV/AIDS
kwa kutumia kipimo cha Bioline ukikosa maji yake..unaweza kutumia hata water for injection na majibu yakatoka sahihi
Nakiri ni kweli baadhi ya sample niliwajaribu kuzipima kwa kutumia buffer pia sample izo izo...
Na kaniambia hii Mvua isiyoisha Koki yake ataisahau wa Makusudi kwa muda mpaka tushike Adabu kisha atarejesha Jua lake na Joto.
Ndani ya Wiki Mbili nzima kila Mtu anamlaumu tu Mwenyezi Mungu kwa Joto na Jua Kali na Wengine hata Kumchukia wakati Yeye alikuwa na lengo lake Jema tu na sasa baada...